Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Ministry of Energy

News

Dec 13, 2023
UMOJA WA ULAYA WATOA MAGARI 21 KWA AJILI YA KUIMARISHA MIRADI YA NISHATI VIJIJINI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo, tarehe 12 Desemba, 2023 a...
Dec 13, 2023
TANZANIA YAPIGA HATUA UTEKELEZAJI WA AJENDA YA AFRIKA 2063, ASEMA DKT. BITEKO
Gaborone - BotswanaImeelezwa kuwa, Tanzania imepiga hatua kubwa kwenye utekelezaji wa makubaliano ya Ajenda 2063, ya kuifanya Afrika kuwa mahali pa nd...
Dec 11, 2023
Mhe. Kapinga; REA na TANESCO msibebe changamoto za Wakandarasi wabovu wachukulieni hatua
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amewataka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kutobeba changamoto za wak...
Dec 11, 2023
Wizara ya Nishati yatoa lita 14,500 za Petroli na Diseli huko Katesh
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga, kwa Niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Doto Biteko amesema Wizara ya Nishati imetoa Ma...
Dec 06, 2023
DKT. BITEKO AAGIZA WAKURUGENZI, MAMENEJA TANESCO KUKEMEA RUSHWA KWENYE MAENEO YAO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefanya kikao kazi na Wakurugenzi wa Kanda na Mameneja wa Mikoa waShirika la Umeme Tanz...
Dec 06, 2023
Mhe. Kapinga: Hatutawavumilia Wasambazaji wa Vifaa vya Umeme walio wazembe
Serikali imeilekeza Idara ya Usambazaji wa Umeme ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuchukua hatua kwa yeyote atakayehusika na kuwapa kazi na mika...
Dec 06, 2023
FEDHA ZA NDANI ZIWE TEGEMEO KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI-DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wadau mbalimbali wanaohusika na mapambano dhidi ya UKIMWI nchini kwa kushiriki...
Dec 06, 2023
Mhe. Kapinga : Wananchi lindeni miundombinu ya umeme
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewataka wananchi kuhakikisha wanalinda na kutunza miundombinu ya umeme nchini ili itumike kwa muda mref...
Dec 06, 2023
DKT. BITEKO AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Chama cha Kikomunisti cha China...
Dec 06, 2023
TUME YA MIPANGO SHIRIKISHENI WANANCHI UANDAAJI DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2050 - DKT.BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza Tume ya Mipango nchini kuweka uratibu wa ushiriki wa makundi mbalimbali ya wana...
Nov 27, 2023
KATENI UMEME KWA WADAIWA WA UMEME- DKT. BITEKO AIAGIZA TANESCO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kukata umeme kwa wadaiwa wote wasiolipa g...
Nov 27, 2023
DKT.BITEKO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingji...
Nov 27, 2023
DKT. BITEKO AKAGUA MAJENGO YA WIZARA YA NISHATI; SERA, URATIBU NA BUNGE MJI WA SERIKALI- MTUMBA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko leo amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi za Wizara ya Nishati na Ofisi ya Waziri Mkuu (S...
Nov 27, 2023
Wizara ya Nishati yaongoza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini katika ziara ya kikazi nch...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imewasili Jijini New Delhi, nchini India kwa ziara ya kikazi na kujifunza namna Serikali ya India ilivy...
Nov 27, 2023
DKT. BITEKO AIAGIZA TPDC KUANDAA MPANGO WA MUDA MREFU WA UPATIKANAJI GESI NCHINI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuja na...
Nov 16, 2023
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAKAGUA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASH...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imetembelea kituo Bandari Chongoleani cha Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi (EACOP) na kujiridhisha na mae...
Nov 15, 2023
MALALAMIKO YA WANANCHI MSIMBATI YAPELEKEA DKT. BITEKO KUMUONDOA MENEJA MAWASILIANO TPDC
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza kuondolewa kwa Meneja Mawasiliano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (...
Nov 10, 2023
MHE.KAPINGA AZINDUA JUKWAA LA UZIDUAJI 2023
Asema vyanzo vya umeme hasa Sekta ya Gesi ina uhusiano wa moja kwa moja na Sekta ya UziduajiNaibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga asema kuwa vy...
Nov 10, 2023
TANZANIA NA UGANDA ZATIA SAINI MKATABA MAHSUSI KWA AJILI YA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BOMBA LA GES...
DKT BITEKO ASEMA NI KIELELEZO CHA USHIRIKIANO WA NCHI HIZO MBILI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda zimet...
Nov 09, 2023
HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME YAIMARIKA.
Sasa upungufu wa umeme wabakia 218 MW kutoka 421 MW.Hali ya upatikanaji umeme nchini imeimarika na sasa upungufu wa umeme umebakia 218 MW.Hayo yameele...