emblem

The United Republic of Tanzania

Ministry of Energy

Biography

Hon. Dr. Medard Matogolo Kalemani
Hon. Dr. Medard Matogolo Kalemani
Minister

Nakukaribisha kwenye tovuti rasmi ya wizara ya Nishati.Ni matumaini yangu utapata taarifa muhimu zinazohusu masuala ya nishati kwa ujumla katika sekta ya Umeme, Gesi na Mafuta.

Aidha katika tovuti hii utafahamu kuhusu sera na miongozo mbalimbali inayosimamia sekta nzima ya Nishati, taarifa mbalimbali za utekelezaji wa miradi ya maendeleo, na nyingine nyingi zinazohusu Wizara yetu.

Hivyo ninaamini utafurahia na kufahamu mengi kwa kutembelea tovuti hii.

Ahsante.

Dkt. Medard Kalemani