Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Ministry of Energy

JISAJILI SASA ILI KUSHIRIKI MJ...

JISAJILI SASA ILI KUSHIRIKI MJADALA MKUBWA WA KITAIFA KUHUSU NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 1-2 Novemba 2022.

Ili kushiriki kwenye mjadala huo unatakiwa kujisajili kupitia tovuti:

https://www.cleancooking.co.tz