TANGAZO LA MNADA WA HADHARA
TANGAZO LA MNADA WA HADHARA
Wizara ya Nishati inapenda kuwaalika wananchi wote kwenye mnada wa hadhara wa vifaa chakavu. Mnada huo utafanyika siku ya Ijumaa tarehe 23 Novemba, 2021 kuanzia saa 4 :00 asubuhi kwenye eneo la Ofisi za Wizara ya Nishati Mtaa wa Samora Jengo la TANESCO. (karibu na Jengo la British Council)
Vifaa vitakavyouzwa ni pamoja na Viti, Meza, Steel Cabinets, Microwave, Air Condition, fax Mchine, Telephone receivers, Printers, Scanners, Computers, na UPS.
Mashariti ya Mnada :
- 1.Mnunuzi atatakiwa kulipa asilimia mia moja ya bei ya kifaa atakachonunua papo hapo siku ya mnada ;
- 2.Mnunuzi atatakiwa kuhamisha kifaa atakachonunua ndani ya siku ya mnada na
- 3.Mali zote zitauzwa kama zilivyo na mahali zilipo.
NYOTE MNAKARIBISHWA
IMETOLEWA NA :
KATIBU MKUU- WIZARA YA NISHATI
08 NOVEMBA, 2021