Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, akizungumza na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Stephen Byabato, ofisini kwake katika mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma.
Mhandisi Mkazi ambaye pia ni mshauri wa mradi wa JNHPP, Mhandisi Mushubila Kamuhabwa( kulia) akitoa maelezo kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, (pili kulia), wakati akiwasili eneo la ujenzi wa mradi wa Julius Nyerere.
Baadhi ya Viongozi wakuu wa Wizara ya Nishati, (waliosimama) wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ( waliokaa katikati) wakati wa uzinduzi wa uchepushaji wa maji ya mto Rufiji.