Dira na Dhima

Dira

Kuhamasisha, kuwezesha na kusimamia maendeleo na matumizi endelevu ya rasimali za Nishati kwa manufaa ya Watanzania.

Dhima

Kuwa Taasisi yenye ufanisi itakayo hakikisha kuwa rasilimali za Nishati zinachangia ipasavyo katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwa maendeleo ya Wananchi wa Tanzania.

.