Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Ministry of Energy

Photo Gallery

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akitambulisha viongozi mbalimbali waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpokea Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Liu Guozhong ambaye amewasili nchini kwa ziara ya siku Tatu. 20