Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiangalia sehemu ya ujenzi wa mradi wa Kuzalisha Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), na kuzindua uchepushaji wa maji ya mto Rufiji, kupisha ujenzi wa tuta kuu la bwawa la kufua umeme mkoani Pwani, Novemba 18, 2020.