Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Ministry of Energy

Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhu...

Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia; JISAJILI SASA

Wizara ya Nishati imeandaa Mjadala Mkubwa wa Kitaifa kuhusu nishati safi ya kupikia utakaozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 1-2 Novemba 2022.

Ili kushiriki kwenye mjadala huo unatakiwa kujisajili kupitia tovuti:

https://www.cleancooking.co.tz