MAKONDA: SHIMIWI IWE NAMBA MOJA NCHINI
Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda, amesema dhamira yake ni kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuhakikisha mashindano ya Michezo ya Wizara, Taasisi na Mikoa (SHIMIWI) yanakuwa n...
NISHATI NI MBABE DHIDI YA RAS-DSM KATIKA MPIRA WA PETE – SHIMIWI
Timu ya wanawake ya Wizara ya Nishati imeibuka na ushindi wa mabao 15-12 dhidi ya RAS-Dar es Salaam katika mchezo wa mpira wa pete uliochezwa leo, Septemba 25, 2026, katika viwanja vya CCP mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, wakati michuano ya SHIMIWI i...
NISHATI YAICHAPA WAZIRI MKUU – SERA, BAO MOJA KWA BUYU
Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Nishati imeendeleza imeendeleza ubabe katika michuano ya SHIMIWI baada ya kuicharaza timu ya Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge na Uratibu kwa bao 1-0.Mchezo huo umechezwa Septemba 25, 2026, katika viwanja vya Shul...
TIMU YA PETE YA WANAWAKE YA WIZARA YA NISHATI YAENDELEA KUNG’ARA SHIMIWI 2026
Timu ya Pete ya Wanawake ya Wizara ya Nishati imeendelea kuonyesha ushindani katika Michuano ya SHIMIWI 2026, baada ya kutoka sare ya mabao 25–25 dhidi ya Timu ya Mashitaka katika mchezo wa leo.Katika mchezo wa jana, timu hiyo iliibuka na ushindi wa...
NISHATI YAIBUKA NA USHINDI DHIDI YA TIMU YA BUNGE KATIKA MICHUANO YA SHIMIWI
Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Nishati leo leo tarehe 24 Septemba imeibuka na ushindi wa mabao 2–0 dhidi ya timu ya Bunge katika michuano ya SHIMIWI inayoendelea mkoani Kilimanjaro.Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Fadhili Msigwa, amesema ushindi huo...
WIZARA YA NISHATI YATWAA TUZO YA WIZARA BORA KWA UTENDAJI MEL 2026
Wizara ya Nishati imeibuka kinara kwa kutwaa Tuzo ya Wizara Bora kwa Utendaji (Best Performing Ministry Award) katika eneo la Ufuatiliaji, Tathmini na Kujifunza (MEL), katika Kongamano la Tano la Kitaifa la Ufuatiliaji, Tathmini na Kujifunza (MEL 202...
KITENGO CHA UFUATILIAJI NA TATHMINI WIZARA YA NISHATI CHASHIRIKI KONGAMANO LA MEL 2026
Arusha Wataalamu kutoka Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini cha Wizara ya Nishati, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Kitengo hicho, Bi. Anitha Ishengoma, wameshiriki katika Kongamano la Tano la Kitaifa la Ufuatiliaji, Tathmini (5th Tanzania Monitoring, Ev...
DKT. MATARAGIO AKUTANA KAMPUNI YA UWEKEZAJI YA CNOOC KUTOKA CHINA
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta Dkt. James Mataragio amekutana na kufanya mazungumzo na kampuni ya uwekezaji ya inayojihusisha masuala ya mafuta na Gesi kutoka China( CNOOC) kujadili maendeleo ya ushiriki wa kampuni hiyo katika...
KITUO KIKUBWA CHA KUSAFISHA MAFUTA GHAFI KUJENGWA NCHINI TANZANIA
Serikali ya Tanzania na Uganda zinatarajia kujenga Kituo Kikubwa cha Kusafisha Mafuta Ghafi katika Mkoa wa Tanga nchini Tanzania na kuifanya Tanga kuwa kitovu cha Nishati (Energy Hub).Hayo yameelezwa na Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Kabuta Museveni wak...
SHIMIWI 2026; WACHEZAJI NISHATI WASISITIZWA NIDHAMU, UZALENDO NA USHINDI
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Bw. Petro Lyatuu, amewataka watumishi watakaoiwakilisha Wizara katika Michezo ya SHIMIWI 2026 kuonesha nidhamu, uzalendo, mshikamano na ari ya ushindi, huku wakidumisha heshima ya Wizara na Serikali kwa ujumla....
TANZANIA NA UGANDA ZAJADILI UTEKELEZAJI WA MIUNDOMBINU YA PETROLI
Serikali za Tanzania na Uganda zimekutana kujadili utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya mafuta na gesi kati ya nchi hizo mbili.Hayo yamebainishwa tarehe 17 Septemba 2026 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia masuala ya Mafuta na Ges...
GASTECH 2026: GESI YA TANZANIA KUIWEKA NCHI KATIKA RAMANI YA DUNIA.
Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuchukua nafasi muhimu katika kuunda kizazi kijacho cha uzalishaji na usambazaji wa gesi asilia duniani, kwa kuendeleza rasilimali zake kwa viwango vya juu na kujenga mnyororo jumuishi wa thamani wa gesi.Kauli hiyo i...
TUME YA UTUMISHI WA UMMA YAIPA KONGOLE WIZARA YA NISHATI KWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI.
Tume ya Utumishi wa Umma imeipongeza Wizara ya Nishati kwa kuzingatia sera, sheria, kanuni na taratibu zinazoongoza Utumishi wa Umma katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku.Pongezi hizo zimetolewa Septemba 14, 2026, na Kamishna wa Tume ya Ut...
MHE. SALOME ASHIRIKI UFUNGUZI WA GASTECH 2026 BANGKOK.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, leo Septemba 14,2026 ameshiriki katika ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati wa Gastech 2026, unaofanyika Bangkok, Thailand, ukiwakutanisha viongozi wa Serikali, wataalamu, wawekezaji na wadau...
KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA MRADI WA UMEME IGANJO - SAZA.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Subira Mgalu, ameipongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa hatua ya kuanza kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovo...
MHE. SALOME ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA SH. BILIONI 198 KUIMARISHA UMEME SONGWE, CHUNYA.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wenye thamani ya shilingi bilioni 198.67 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Iganjo mkoani Mbeya h...
MHE. SALOME AWASILI SONGWE KWA UZINDUZI WA MRADI WA UMEME.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amewasili Mkoa wa Songwe, Wilaya ya Songwe kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 kutoka Iganjo mkoani Mbeya hadi Saza mkoani Songwe, pamoja na uje...
KAMATI ZA MAADILI ZATAJWA KUWA NGUZO YA KUBADILI TABIA ZA WATUMISHI.
Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala (ADA), Wizara ya Nishati, Bw. Wilson Nyamanga, amesema Kamati za Maadili zilizopo katika Wizara hiyo na taasisi zake zina nafasi muhimu katika kubadili tabia na mienendo ya watumishi na kuwawezesha kuzingatia misingi ya...
BEI ZA MAFUTA DUNIANI ZAPANDA, BRENT YAVUKA DOLA 100 KWA PIPA.
Bei za mafuta duniani zimeendelea kuonyesha mabadiliko makubwa, huku bei za petroli na dizeli zikiongezeka katika masoko mbalimbali kufuatia kuvurugika kwa usafirishaji kupitia Mlango Bahari wa Hormuz na kupanda kwa bei ya mafuta ghafi ya Brent hadi...
MHANDISI MRAMBA AMSHUKURU MAKAMU WA RAIS KWA KUACHA ALAMA SEKTA YA NISHATI.
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mha. Felchesmi Mramba, amempongeza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, kwa mchango mkubwa alioutoa katika kuendeleza Sekta ya Nishati w...