The United Republic of Tanzania
Ministry of Energy

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muun...

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasili katika Kituo cha Kupooza na Kusambaza Umeme cha Msongo wa Kilovati 132/33 kilichopo Mkata wilayani Handen-T

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasili katika Kituo cha Kupooza na Kusambaza Umeme cha Msongo wa Kilovati 132/33 kilichopo Mkata wilayani Handen, Tanga ambapo amekagua ujenzi wa kituo hicho pamoja na kuweka jiwe la msingi.

Tukio hilo limefanyika leo Januari 13, 2026 na kuhudhuriwa na Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi pamoja na viongozi wengine.