The United Republic of Tanzania
Ministry of Energy

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogra...

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi akitoa maelezo ya Mradi wa Kituo cha Kupooza na Kusambaza Umeme cha Msongo wa Kilovati 132/33 kilichopo Mkata wilayani Handeni kwa Waziri Mkuu wa J

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi akitoa maelezo ya Mradi wa Kituo cha Kupooza na Kusambaza Umeme cha Msongo wa Kilovati 132/33 kilichopo Mkata wilayani Handeni kwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba wakati wa ukaguzi wa kituo hiko pamoja na uwekaji wa jiwe la msingi leo Januari 13, 2026 mkoani Tanga.