HOME IMAGE 6
View
Unahusisha ujenzi wa paneli elfu 82 zenye uwezo wa Wati 605 kila moja. Mradi huu utakua na manufaa makubwa kutokana na umuhimu wake kwenye utunzaji wa mazingira unaoepuka uzalishaji wa hewa ya ukaa na umeajiri Watanzania wengi kwa kipindi chote cha utekelezaji wake. Mpaka sasa mradi umefikia zaidi ya asilimia 89
View
Ujenzi wa matanki ya kuhifadhia mafuta katika Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki {EACOP} yaliyopo Chongoleani Tanga
View
KITUO MAMA CHA KUJAZA GESI KATIKA MAGARI- CNG
View
Mradi wa kufua umeme kwa maji wa Julius Nyerere umejengwa katika maporomoko ya mto Rufiji umekamilika na una uwezo wa kuzalisha umeme Megawati 2,115.
View
KITUO CHA KUZALISHA UMEME KWA GESI KINYEREZI II
View
e