Visiting Hot Spring Water 6
View
Picha ya pamoja ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko na Wakuu wa Idara ya Wizara ya Nishati jijini Dodoma wakati akizindua Mkakati wa Muda Mrefu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) wa miaka 25 (2024/2025 hadi 2049/2050)
View
Ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba umefikia asilimia 94%.
View
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, akisoma maelezo yaliyoandikwa katika mashine umba zilizojengwa katika Kituo cha Kupoza Umeme cha Singida ambacho kimejengwa kupitia mradi wa umeme wa Singida-Namanga wa kV 400.
View
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) pamoja viongozi na watendaji mbalimbali wakipiga makofi mara baada ya uzinduzi rasmi wa kitaifa wa mradi wa usambazaji wa Umeme Vijijini, Awamu ya Tatu, Mzunguko wa Pili, uliofanyika, Machi 15, 2021 katika kijiji cha Ugaka wilayani Igunga mkoani Tabora. Wa Nne kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato na Wa Pili kutoka kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja.
View
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akigusa maji ya moto katika mojawapo wa chemchem ya majimoto ambayo ni chanzo cha nishati ya jotoardhi katika enelo la Majimoto mkoani Songwe, katikati ni Meneja Mkuu TGDC Mhandisi Kato Kabaka na Kaimu Mkurugenzi Maendeleo ya Biashara TGDC Mhandisi Shakiru Kajugus (kushoto).