Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Ministry of Energy

Announcements

TANGAZO LA MNADA WA HADHARA
10th Nov 2021
Wizara ya Nishati inapenda kuwaalika wananchi wote kwenye mnada wa hadhara wa vifaa chakavu. Mnada huo utafanyika siku ya Ijumaa tarehe 23 Novemba, 2021 kuanzia saa 4 :00 asubuhi kwenye eneo la Ofisi za Wizara ya Nishati Mtaa wa Samora Jengo la TANE...