Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Ministry of Energy

DKT. BITEKO AKUTANA NA KATIBU...

DKT. BITEKO AKUTANA NA KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI ZAMBIA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati wa Zambia (anayeshughulikia Huduma za Kiufundi), Peter Mumba (wa Pili kushoto) mara baada ya kikao chao kilicholenga kujadili masuala mbalimbali ya Nishati kati ya nchi hizo mbili.

Kikao kimefanyika jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2024 na kuhudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba ( wa Pili kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio ( wa Kwanza kulia).