Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Ministry of Energy

Wakili Stephen Byabato ashirik...

Wakili Stephen Byabato ashiriki katika Mkutano wa pili wa Kamisheni ya Bonde la Mto Songwe

Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameshiriki katika Mkutano wa pili wa Kamisheni ya Bonde la Mto Songwe uliofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Julai 2023 ukiwajumuisha wajumbe wa Baraza la Mawaziri wanaotokana na Wizara za Kisekta ikiwa ni pamoja na Wizara ya Maji, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wizara ya Kilimo na TAMISEMI.

Mkutano ulijadili masuala mbalimbali ikiwemo mradi wa umeme wa umeme wa Maji kati ya Tanzania na Malawi.