Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Ministry of Energy

WATAALAM AFRIKA MASHARIKI WAJA...

WATAALAM AFRIKA MASHARIKI WAJADILI NISHATI SAFI YA KUPIKIA JIJINI ARUSHA

Leo tarehe 7 Mei, 2025 ambayo ni Siku ya Pili ya Kongamano, Wataalam kutoka Tanzania, Rwanda, Kenya, Burundi, Uganda na Malawwanaendelea na majadiliano kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mbinu bora za utekelezaji wa Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia, maarifa na kupata uzoefu jinsi kila nchi inavyotekeleza ajenda hiyo.

Majadiliano hayo pia yanaangazia masuala yauvumbuzi wa teknolojia za Nishati Safi ya Kupikianamasoko.

Katika kongamano hilo Wataalam pia wamefahamu hali ya matumizi yaNishati Safi ya Kupikia katika eneo la Afrika Mashariki, changamoto zilizopo, fursana hatua za kuchukua ili kufikia malengo yaliyowekwa katika kila nchi.