The United Republic of Tanzania
Ministry of Energy

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogra...

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya kikao na Menejimenti ya Wizara ya Nishati pamoja na Wakuu wa Taasisi na Mashirika yanayosimamiwa na Wizara hiyo Januari 17, 2026 katika Of

Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya kikao na Menejimenti ya Wizara ya Nishati pamoja na Wakuu wa Taasisi na Mashirika yanayosimamiwa na Wizara hiyo Januari 17, 2026 katika Ofisi za Wizara jijini Dodoma.

Lengo la kikao hicho ni kupitia na kujadilia taarifa zote zitakazowasilishwa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Januari 20 hadi 22, 2026 ambapo Wizara ya Nishati na Taasisi zake zitawasilisha taarifa hizo.

Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, Katibu Mkuu, Mhandisi Felchesmi Mramba, Naibu Katibu Mkuu, James Mataragio, Menejimenti ya Wizar pamoja Wakuu wa Taasisi na Mashirika.

#KaziNaUtu

#TunasongaMbele

#TabasamuLaUtu

#NishatiTupoKazini