REA III mzunguko wa Pili na PERI URBAN kwa Kanda ya Kaskazini, yazinduliwa rasmi
Na Zuena Msuya, ArushaWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amezindua rasmi Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu( REA III) mzunguko wa Pili na ule wa Usambazaji wa Umeme kwa Vijiji vilivyoko Pembezoni mwa Miji (PERI URBAN) kwa mikoa...