KITUO KIKUBWA CHA KUSAFISHA MAFUTA GHAFI KUJENGWA NCHINI TANZANIA
Serikali ya Tanzania na Uganda zinatarajia kujenga Kituo Kikubwa cha Kusafisha Mafuta Ghafi katika Mkoa wa Tanga nchini Tanzania na kuifanya Tanga kuwa kitovu cha Nishati (Energy Hub).Hayo yameelezwa na Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Kabuta Museveni wak...
SHIMIWI 2026; WACHEZAJI NISHATI WASISITIZWA NIDHAMU, UZALENDO NA USHINDI
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Bw. Petro Lyatuu, amewataka watumishi watakaoiwakilisha Wizara katika Michezo ya SHIMIWI 2026 kuonesha nidhamu, uzalendo, mshikamano na ari ya ushindi, huku wakidumisha heshima ya Wizara na Serikali kwa ujumla....
TANZANIA NA UGANDA ZAJADILI UTEKELEZAJI WA MIUNDOMBINU YA PETROLI
Serikali za Tanzania na Uganda zimekutana kujadili utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya mafuta na gesi kati ya nchi hizo mbili.Hayo yamebainishwa tarehe 17 Septemba 2026 na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia masuala ya Mafuta na Ges...
GASTECH 2026: GESI YA TANZANIA KUIWEKA NCHI KATIKA RAMANI YA DUNIA.
Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuchukua nafasi muhimu katika kuunda kizazi kijacho cha uzalishaji na usambazaji wa gesi asilia duniani, kwa kuendeleza rasilimali zake kwa viwango vya juu na kujenga mnyororo jumuishi wa thamani wa gesi.Kauli hiyo i...
TUME YA UTUMISHI WA UMMA YAIPA KONGOLE WIZARA YA NISHATI KWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI.
Tume ya Utumishi wa Umma imeipongeza Wizara ya Nishati kwa kuzingatia sera, sheria, kanuni na taratibu zinazoongoza Utumishi wa Umma katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku.Pongezi hizo zimetolewa Septemba 14, 2026, na Kamishna wa Tume ya Ut...
MHE. SALOME ASHIRIKI UFUNGUZI WA GASTECH 2026 BANGKOK.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, leo Septemba 14,2026 ameshiriki katika ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati wa Gastech 2026, unaofanyika Bangkok, Thailand, ukiwakutanisha viongozi wa Serikali, wataalamu, wawekezaji na wadau...
KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA MRADI WA UMEME IGANJO - SAZA.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Subira Mgalu, ameipongeza Wizara ya Nishati kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa hatua ya kuanza kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovo...
MHE. SALOME ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA SH. BILIONI 198 KUIMARISHA UMEME SONGWE, CHUNYA.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wenye thamani ya shilingi bilioni 198.67 kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme wa Msongo wa Kilovoti 220 kutoka Iganjo mkoani Mbeya h...
MHE. SALOME AWASILI SONGWE KWA UZINDUZI WA MRADI WA UMEME.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amewasili Mkoa wa Songwe, Wilaya ya Songwe kwa ajili ya uzinduzi wa mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 kutoka Iganjo mkoani Mbeya hadi Saza mkoani Songwe, pamoja na uje...
KAMATI ZA MAADILI ZATAJWA KUWA NGUZO YA KUBADILI TABIA ZA WATUMISHI.
Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala (ADA), Wizara ya Nishati, Bw. Wilson Nyamanga, amesema Kamati za Maadili zilizopo katika Wizara hiyo na taasisi zake zina nafasi muhimu katika kubadili tabia na mienendo ya watumishi na kuwawezesha kuzingatia misingi ya...
BEI ZA MAFUTA DUNIANI ZAPANDA, BRENT YAVUKA DOLA 100 KWA PIPA.
Bei za mafuta duniani zimeendelea kuonyesha mabadiliko makubwa, huku bei za petroli na dizeli zikiongezeka katika masoko mbalimbali kufuatia kuvurugika kwa usafirishaji kupitia Mlango Bahari wa Hormuz na kupanda kwa bei ya mafuta ghafi ya Brent hadi...
MHANDISI MRAMBA AMSHUKURU MAKAMU WA RAIS KWA KUACHA ALAMA SEKTA YA NISHATI.
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mha. Felchesmi Mramba, amempongeza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, kwa mchango mkubwa alioutoa katika kuendeleza Sekta ya Nishati w...
SALOME: - MHE. NDEJEMBI, TUNAOMBA UENDELEE KUWA MLEZI WA WIZARA YA NISHATI.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amemshukuru Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, kwa uongozi, malezi na ushirikiano alioutoa katika kipindi cha zaidi ya miezi kumi walichofanya kazi pamoja katika...
KUELEKEA UZALISHAJI WA MEGAWATI 8,000 IFIKAPO 2030; MHE. SALOME AKARIBISHA WAWEKEZAJI.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amesema Tanzania inalenga kuongeza uwezo wa uzalishaji wa umeme hadi kufikia megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030, hivyo kuna fursa kubwa kwa wawekezaji kushiriki katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya n...
MAKAMU WA RAIS AAGWA RASMI NA WIZARA YA NISHATI.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagwa rasmi na Menejimenti ya Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zilizo chini yake katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Kambarage Treasury Square, Dodoma. Jumatano...
UMEME WA UHAKIKA MIGODINI WACHANGIA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 340 KWA MWAKA.
Mkuu wa Wilaya ya Geita, Mhe. Hashimu Komba, amesema upatikanaji wa umeme wa uhakika katika migodi una mchango mkubwa kwa uchumi wa Taifa, ambapo sekta hiyo huchangia zaidi ya Shilingi bilioni 340 kwa mwaka kupitia mrabaha, kodi na tozo mbalimbali.Mh...
KILWA YATAKA UWEKEZAJI ZAIDI KATIKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilwa, Yusuph Mwinyi, amesisitiza umuhimu wa Serikali kuendelea kuwekeza katika nishati safi ya kupikia ili kuongeza upatikanaji wa nishati hiyo kwa wananchi na kuharakisha utekelezaji wa ajenda ya Taifa ya nishati safi ya...
HAIDROJENI YA KIJANI KUONGEZA WIGO WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KILWA.
Mkurugenzi wa Nishati Safi ya Kupikia kutoka Wizara ya Nishati, Bw. Nolasco Mlay, ametembelea Mradi wa Haidrojeni ya Kijani (Green Hydrogen) unaotekelezwa na Taasisi ya Bora Women Go Green wilayani Kilwa, mkoani Lindi, kwa lengo la kutathmini hatua z...
WIZARA YA NISHATI YAPONGEZWA KUTEKELEZA MAAGIZO YA KAMATI.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Subira Mgalu, ameipongeza Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kutekeleza maagizo ya Kamati hiyo ya kuwataka Wizara ya Nishati na Wizara ya Madini kushirikiana...
UKUWAJI WA SEKTA YA MADINI WAONGEZA MAHITAJI YA UMEME MIGODINI –TWANGE.
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ameeleza kwamba ukuaji wa sekta ya madini nchini unahitaji umeme wa kutosha na wa uhakika hii inatokana na kasi ya ukuaji wa sekta ya madini ambapo imeongeza mahitaji makubwa ya umeme wa uhak...