WANAFUNZI NA WAZAZI TULIWAITA… NA WAMEITIKA!
Banda la Wizara ya Nishati linaendelea kupokea watoto na wazazi wanaofika kujifunza, kuburudika na kupata uzoefu wa kipekee kuhusu sekta ya nishati.Nawe mlete mwanao apate elimu kuhusu nishati kwa njia rahisi na ya kuvutia, aondoke na zawadi yake, pa...
TAASISI 300 KUFUNGIWA MIFUMO YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2026/2027.
Katika juhudi za kuhakikisha kuwa Tanzania inafikia asilimia 80 ya matumizi ya nishati safi ya kupikia ifikapo 2034, Serikali katika mwaka wa fedha 2026/2027 itasambaza mifumo ya nishati safi ya kupikia katika taasisi 300 zinazolisha watu zaidi ya 10...
MRADI WA NJIA YA UMEME CHALINZE - DODOMA WAFIKIA ASILIMIA 89.
Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovoti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma wenye urefu wa kilometa 345 umefikia asilimia 89 ya utekelezaji na unatarajiwa kukamilika ifikapo Agosti 21, 2026. Kukamilika kwa mradi huo kutaimarish...
MLETE MWANAO BANDA LA WIZARA YA NISHATI.
Watoto ni viongozi wa kesho, na kujenga uelewa wao kuhusu masuala ya nishati kunaanza leo.Mlete mwanao atembelee Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), ambapo atapata elimu kwa njia rahi...
BADO HUJACHELEWA!
Tabasamu, huduma bora na elimu sahihi vinakusubiri katika Banda la Wizara ya Nishati kwenye Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba).Fika uzungumze moja kwa moja na wataalamu wetu, upate majibu ya maswali yako, ujifunze kuh...
SIKU 4: SABASABA YA DHAHABU.
Ni siku njema tena katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba)Leo, Julai 1, 2026, Banda la Wizara ya Nishati limeanza siku kwa kumpokea mgeni wake wa kwanza, Bi. Ester Mashaka Msengi, mkazi wa Kibaha Mjini, mkoani Pwani...
SERIKALI KUTUMIA SH. BILIONI 22 KUJENGA VITUO VYA CNG VINAVYOHAMISHIKA.
Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imetenga sh.bilioni 22.06 katika mwaka wa fedha 2026/2027 kwa ajili ya kujenga vituo vinavyohamishika vya kusambaza gesi asilia iliyoshindiliwa (Mobile CNG Stations).Lengo la kujenga vi...
WAZIRI NDEJEMBI: EACOP YAZALISHA AJIRA 7,500 KWA WATANZANIA, KAMPUNI 200 ZA NDANI ZANUFAIKA NA KANDA...
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amepongeza kiwango kikubwa cha ushiriki wa Watanzania katika utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), akisema mradi huo umeendelea kuwa chachu ya ajira, uhamishaji wa ujuz...
KENYA, NIGERIA, POLAND, CONGO DRC NA RWANDA KATIKA BANDA LA NISHATI SABASABA.
Ujumbe unaojumuisha nchi mbalimbali ikiwemo Poland, Nigeria, Kenya, Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umetembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam.Katika Banda la Wizara y...
ELIMU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAFIKIA WANAFUNZI SABASABA.
Wizara ya Nishati imeendelea kutoa elimu ya Nishati Safi ya Kupikia kwa makundi mbalimbali katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (SABASABA) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwl. Nyerere jijini Da es Salaam.Wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya St...
WIZARA YA NISHATI YAANZA KUTOA HUDUMA MAONESHO YA SABASABA.
Wizara ya Nishati pamoja na taasisi zake zimeanza kutoa huduma kwa wananchi wanaoshiriki Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba).Maonesho hayo yameanza Juni 28, 2026 na yatahitimishwa 13 Julai 2026 katika Viwanja vya Mwl.N...
WAZIRI NDEJEMBI AAGIZA UKARABATI WA KITUO CHA KUFUA UMEME HALE UKAMILIKE JULAI 31, 2026.
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius J. Ndejembi amemtaka Mkandarasi anayetekeleza mradi wa ukarabati wa Kituo cha Kufua Umeme Hale kukamilisha kazi ifikapo Julai 31, 2026, akieleza kuwa Serikali haitaongeza muda wa ziada iwapo atashindwa kukamilisha k...
REA ZAMBIA YAHITIMISHA ZIARA YAKE NCHINI.
Viongozi wa Mamlaka ya Umeme Vijijini (REA) kutoka nchini Zambia Juni 29, 2026 wamehitimisha ziara yao ya Siku 9 ya kujifunza na kubadilishana ujuzi nchini kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwamo miradi ya kufikisha umeme Vijijini inayotekele...
KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI MRADI WA JNHPP.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Wizara ya Nishati pamoja na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa usimamizi mzuri wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), ikieleza kuridhishwa na maendeleo ya mradi huo wenye uwe...
NDEJEMBI: UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA WAFIKIA ASILIMIA 86; MELI YA KWANZA KUBEBA MAFUTA JANUARI 2027.
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius J. Ndejembi amesema mradi wa kimkakati wa kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima, Uganda hadi Chongoleani, mkoani Tanga nchini Tanzania wa EACOP (East African Crude Oil Pipeline), umefikia asilimia 86 ya utekelezaji,...
WAZIRI NDEJEMBI AWASILI TANGA KWA ZIARA YA KIKAZI.
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius J. Ndejembi (Mb.), amewasili mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian, Juni 29, 2026.Akiwa mkoani Tanga, Waziri Ndejembi alitembelea na kukagua utekele...
WAZIRI NDEJEMBI AAGIZA KUUNDWA KWA KAMATI YA UCHUNGUZI WA HITILAFU YA GRIDI YA TAIFA.
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi (Mb.), amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu kuunda kamati ya uchunguzi itakayobaini chanzo cha hitilafu iliyojitokeza katika Gridi ya Taifa, Juni 27, 2026,...
ZAMBIA YAJIFUNZA UBUNIFU WA TANZANIA KATIKA MATUMIZI YA GESI ASILIA.
Nchi ya Tanzania imetajwa kuwa mfano wa kuigwa barani Afrika katika matumizi ya rasilimali zake za asili kuleta maendeleo jumuishi na kutoa suluhisho la nishati safi kuanzia mijini hadi vijijini.Hayo yamebainishwa Juni 27, 2026 na ujumbe kutoka Zambi...
MHE. SALOME AHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUPITIA MARATHON.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, Juni 27, 2026 alishiriki Mbio za Nishati Safi ya Kupikia (Clean Cooking Marathon) zilizofanyika katika Viwanja vya St. Peters Oysterbay jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kitaifa ya kuham...
NAFUU YA MAFUTA KUANZA KUONEKANA JULAI - NDEJEMBI.
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Watanzania wataanza kushuhudia kushuka kwa bei za mafuta kuanzia mwezi Julai mwaka huu kufuatia kuanza kushuka kwa bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia baada ya kusitishwa kwa mapigano ya Mashar...