DKT. BITEKO AKUTANA NA UONGOZI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa juu wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC)ukiongozwa na Mjumbe wa Kamati na Mkurugenzi Mkuu wa Bureau I, Idara ya Oganaizesheni ya Kamat...
TUME YA MIPANGO SHIRIKISHENI WANANCHI UANDAAJI DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2050 - DKT.BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza Tume ya Mipango nchini kuweka uratibu wa ushiriki wa makundi mbalimbali ya wananchi na Wadau wengine katika kutoa maoni kwenye mchakato unaoendelea wa uandaaji Dira ya Maendeleo y...
KATENI UMEME KWA WADAIWA WA UMEME- DKT. BITEKO AIAGIZA TANESCO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kukata umeme kwa wadaiwa wote wasiolipa gharama za kutumia umeme ambapo Shirika hilo linadai jumla ya Shilingi Bilioni 224 kutoka Taasisi mba...
DKT.BITEKO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian ambapo walizungumza masuala mbalimbali ikiwemo uhusiano uliopo kati ya Tanzania na China na uweke...
DKT. BITEKO AKAGUA MAJENGO YA WIZARA YA NISHATI; SERA, URATIBU NA BUNGE MJI WA SERIKALI- MTUMBA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko leo amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi za Wizara ya Nishati na Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) katika Mji wa Serikali- Mtumba jijini Dodoma.Dkt.Biteko katika ziara hiyo ali...
Wizara ya Nishati yaongoza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini katika ziara ya kikazi nch...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imewasili Jijini New Delhi, nchini India kwa ziara ya kikazi na kujifunza namna Serikali ya India ilivyopiga hatua katika matumizi ya Gesi Asilia (CNG na LNG), Nishati Safi ya Kupikia na Uzalishaji wa Um...
DKT. BITEKO AIAGIZA TPDC KUANDAA MPANGO WA MUDA MREFU WA UPATIKANAJI GESI NCHINI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuja na mpango wa muda mrefu utakaoonesha jinsi nchi itakavyoweza kuongeza kiasi cha gesi asilia ili muda wo...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAKAGUA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI LA AFRIKA MASH...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imetembelea kituo Bandari Chongoleani cha Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi (EACOP) na kujiridhisha na maendeleo ya ujenzi wa mradi huo.Kamati hiyo imetembelea Novemba 13, 2023 na kufanya ukaguzi wa mradi h...
MALALAMIKO YA WANANCHI MSIMBATI YAPELEKEA DKT. BITEKO KUMUONDOA MENEJA MAWASILIANO TPDC
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza kuondolewa kwa Meneja Mawasiliano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kutokana na kushindwa kutoa taarifa mbalimbali na kutofanya mikutano na wananchi wanaozunguka...
MHE.KAPINGA AZINDUA JUKWAA LA UZIDUAJI 2023
Asema vyanzo vya umeme hasa Sekta ya Gesi ina uhusiano wa moja kwa moja na Sekta ya UziduajiNaibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga asema kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme vina uhusiano wa moja kwa moja na Sekta ya Uziduaji hususan kwenye Sekta ya...
TANZANIA NA UGANDA ZATIA SAINI MKATABA MAHSUSI KWA AJILI YA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BOMBA LA GES...
DKT BITEKO ASEMA NI KIELELEZO CHA USHIRIKIANO WA NCHI HIZO MBILI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda zimetia saini mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi yakinifu wa Mradi wa Ujenzi wa Bo...
HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME YAIMARIKA.
Sasa upungufu wa umeme wabakia 218 MW kutoka 421 MW.Hali ya upatikanaji umeme nchini imeimarika na sasa upungufu wa umeme umebakia 218 MW.Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, tarehe 9 Novemba, 2023 Jijini Dodoma wakati aki...
DKT. BITEKO AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA BIASHARA WA KOREA KUSINI
Aahidi kuendeleza ushirikiano katika kukuza uchumiKorea Kusini yaahidi kuwekeza zaidi TanzaniaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Biashara kutoka nchini Korea Kusini, Mhe.Ahn Dukg...
EWURA ZINGATIENI MASLAHI YA NCHI KATIKA SHUGHULI ZA UDHIBITI WA MAFUTA NA MAJI - DKT. BITEKO
Awapongeza kwa kushusha gharama za uagizaji mafuta. Asisitiza EWURA kudhibiti vitendo vya urasimu na rushwa mahali pa kazi. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watendaji na Watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Hud...
UJENZI WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA LA HOIMA UNASHIRIKISHA WAZAWA MKOANI KAGERA
#Wakandarasi na watoa huduma 42 wapatiwa kaziDodomaImeelezwa kuwa ujenzi wa Mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani mkoani Tanga unashirikisha wakandarasi wazawa kutoka mkoani Kagera.Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nish...
REA ONGEZENI KASI YA KUUNGANISHIA UMEME WANANCHI KATIKA VIJIJI VYENYE UMEME - MHE. KAPINGA
# Ataka wasimamizi wa miradi ya REA kuongeza ufanisiNaibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewaagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme wananchi vijijini katika maeneo ambayo tayari yamefikiwa na miradi ya u...
NAIBU WAZIRI KAPINGA AFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WA KAMPUNI YA MUFINDI PAPER MILL
*Waeleza Mpango wa kuzalisha Umeme kwa kutumia mabaki ya Miwa.Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekutana na kufanya mazungumzo na watendaji wa Kampuni ya Mufindi Paper Mill inayomiliki mashamba ya miwa wilayani Kasulu mkoani Kigoma ambao...
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Kapinga akutana na Uongozi wa TANESCO
# Awataka kutatua changamoto Sugu zinazowakabili wananchi.# Asema Viongozi wa Chama na Serikali washirikishwe katika miradi iliyo katika maeneo yao.Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amekutana na Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na...
*TANESCO KUJENGA KITUO KIDOGO CHA UMEME USHETU*
*TANESCO KUJENGA KITUO KIDOGO CHA UMEME USHETU**#Kutumia shilingi Bilioni 12.* *Dodoma* Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) lina mpango wa kujenga kituo kidogo cha umeme (Switching Station) kwenye Wilaya ya Ushetu eneo la Nyamirangano ili kuboresha h...
BUNGE LARIDHIA KUJIUNGA NA MKATABA WA NISHATI JADIDIFU
Leo Oktoba 31, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Tanzania kujiunga na Mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (IRENA).Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Tanzania itanufaika na mkataba huo...