DKT. BITEKO ASHIRIKI MKUTANO WA NISHATI WA MAWAZIRI EAPP NCHINI UGANDA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 17, 2025 jijini Kampala nchini Uganda ameshiriki katika Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Nishati wa nchi Wanachama wa Umoja wa Soko la Pamoja la Kuuziana Umeme katika Ukanda wa...
DKT. BITEKO AONGOZA MAELFU KUMZIKA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TANESCO MHA.GISSIMA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe.Dokta.Doto Biteko leo Aprili 16,2025 ameongoza maelfu ya wananchi pamoja na viongozi mbalimbali kwenye shughuli ya maziko ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mha. Gissima...
NAIBU KATIBU MKUU NISHATI AONGOZA MAZISHI YA MUHAJIRI HAULE MLANDIZI-PWANI
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Dkt. Khatibu Kazungu ameongoza viongozi na wananchi mbalimbali waliojitokeza katika maziko ya aliyekua dereva wa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la umeme Tanzania, TANESCO, Muhajiri Haule Mlandizi Mkoani Pwani.Mareh...
TPDC, ZPDC ZAENDELEA KUSHIRIKIANA UENDELEZAJI SEKTA YA GESI NCHINI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) mwezi Februari, 2022 liliingia makubaliano ya ushirikiano na Shirika la Maendeleo ya Petroli Zanzibar (ZPDC) ambapo kupitia ushirikia...
RAIS SAMIA AIWEZESHA REA BILIONI 96.8 UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME VIJIJINI DODOMA
Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imetoa jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 96.8 ili kuhakikisha miradi ya umeme vijijini inatekelezwa katika mkoa wa Dodoma na wananchi wanapatiwa huduma ya umeme ili kuwapatia maendeleo ya kiuchumi n...
KAPINGA ASEMA KIPAUMBELE CHA SERIKALI NI KUFIKISHA UMEME KWENYE TAASISI ZOTE.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kipaumbele cha Serikali ni kuhakikisha Taasisi zote zinazotoa huduma za kijamii, kiuchumi na kidini zinafikiwa na nishati ya umeme wakati wa utekelezaji wa miradi ya umeme Vijijini.Mhe. Kapinga amey...
SERIKALI INAENDELEA NA UKARABATI WA MIUNDOMBINU YA UMEME
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inaendelea na ukarabati wa miundombinu ya kusambaza umeme ili kuondokana na changamoto ya kukatika kwa umeme nchini.Mhe. Kapinga ameyasema hayo l...
DKT. BITEKO ATAKA WANANCHI WAPEWE MAJIBU YA HUDUMA KWA HARAKA NA HAKI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka watendaji wa sekta ya nishati kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa ufanisi ikiwa ni pamoja na kutoa huduma bora kwa wananchi.Pia, ameipongezaBodi ya Wakurugenzi na Wafanyaka...
VITONGOJI 9000 KUSAMBAZIWA UMEME MWAKA 2025/2026
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha kazi ya kupelekaumeme kwenye Vijiji vyote Tanzania Bara nanguvu sasa inaelekezwa kwenye vitongoji.Mhe. Kapingaameeleza kuwa, pamoja na...
KAPINGA ASEMA KAZI YA KUPELEKA UMEME KWENYE MIGODI MIDOGO INAENDELEA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inaendelea na utekelezaji wa miradi ya kupeleka umeme kwenye maeneo ya migodi midogo yakiwemo maeneo yanayozalisha chumvi wilayani Bagamoyo.Mhe. Kap...
MRADI WA KUFUA UMEME WA JNHPP WAKAMILIKA RASMI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kutegemea kupata umeme wa uhakika baada ya Mradi wa kufua umeme kutoka Bwawa la Julius Nyerere uliokuwa ukisubiriwa kwa shauku kubwa na Watanzania kukamilika rasmi. Waz...
DKT. KAZUNGU AKUTANA NA BALOZI WA DENMARK NCHINI
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mhe. Jesper Kammersgaard naMakamu wa Rais wa Mfuko wa Uwekezaji wa Serikali ya Denmark (IFU)Bw. Theo Ib Larsen.Katika m...
DKT. BITEKO AWAPONGEZA WABUNGE KWA KUWASEMEA WATANZANIA
Asema Serikali itaendelea kuwawezesha wazawa kushiriki miradi ya nishatiAsema sekta ya nishati imepiga hatua kubwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewapongeza waheshimiwa wabunge kwa kuihimiza Serikali kuendelea kuweze...
WIZARA YA NISHATI YATAJA VIPAUMBELE VYA BAJETI YA MWAKA 2025/2026
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametajavipaumbele vya Wizaraya Nishati katika Bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026 ikiwemo kuendelea kutekeleza miradi ya uzalishaji, usafirishaji,usambazajiumeme na kufikisha gridi ya Taifa...
DKT. SAMIA AMETENDA MAAJABU SEKTA YA NISHATI MIAKA MINNE YA UONGOZI- DKT. BITEKO
Mashine ya 9 yakabidhiwa, yakamilisha MW 2115 -JNHPPAitaka Jumuiya ya Wazazi ieleze Watanzania mafanikio ya SerikaliAsema kuongezeka kwa mahitaji ya umeme nchini kunachochea ukuaji wa viwandaAtoa wito kwa Watanzania kuzingatia matumizi bora ya umemeN...
BARAZA LA SABA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA NISHATI LAKUTANA DODOMA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. Khatibu Kazungu leo Machi 22, 2025 amefungua Baraza la saba la Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati ambalo limepitia pamoja na mambo mengine Rasimu ya bajeti ya Wizara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 na kupitia hoja...
WIZARA YA NISHATI YATAJA MAFANIKIO UTEKELEZAJI MAJUKUMU 2024/2025
Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametajamafanikio yaliyopatikana katika Wizarakwa mwaka2024/2025 mojawapo ikiwa ni kuimarika kwa uzalishaji wa umeme.Akiwasilisha mafa...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAPONGEZA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA NISHATI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika mji wa Serikali Mtumba na kuipongeza Wizara kwa hatua ya ujenzi iliyofikiwa kwa asilimia 94.Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. David Mathayo amesema hayo...
TANZANIA NA MISRI KUENDELEZA USHIRIKIANO KWENYE MIRADI YA UMEME
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga, amesema Tanzania na Misri zitaendeleza ushirikiano kwenye utekelezaji wa miradi ya umeme na kudunisha ushirikiano uliowekwa na waasisi wa nchi hizo.Mhe Kapinga ameyasema hayo leo tarehe 20 Machi,2025, mkoa...
MRADI WA TAZA MBIONI KUKAMILIKA
📌 Unahusisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Iringa hadi Sumbawanga📌 Kapinga asema Mkoa wa Rukwa kuunganishwa na gridi ya Taifa kupitia mradi wa TAZA📌 Serikali yatoa Bilioni 21.4 kwa ajili ya kulipa fidia wananchi📌 Wananchi Wilaya ya M...