RAIS SAMIA ANATAKA TAIFA LENYE UPENDO NA MAENDELEO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa akisisitiza upendo na amani miongoni mwa Watanzania sambamba na kufanya jitihada mbalimbali zita...
WAZIRI MKUU MAJALIWA ACHAGIZA SIKU YA TANZANIA MAONESHO YA EXPO 2025, JAPAN
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa amesema kuwa kumekuwa na ongezeko kubwa la biashara kati ya Tanzania na Japan kutoka dola za kimarekani bilioni 7 mwaka 2020, hadi kufikia dola za kimarekani bilioni 37 mwaka...
DKT. BITEKO AWATAKA WAZAZI KUVUMILIANA KUTUNZA FAMILIA ZAO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa rai kwa wazazi nchini kuvumiliana na kushirikiana katika malezi ya watoto wao ambao ndio msingi wa familia yeyote na Taifa kwa ujumla.Dkt. Biteko ametoa rai hiyo leo Mei 24, 2025 ji...
WANAJAMII TUJIPANGE KUEPUSHA MIGOGORO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wanajamii kujiepusha na mazingira yanayoweza kusababisha migogoro baada ya wao kufarikiDkt. Biteko amesema hayo Mei 23, 2025 Jijini Dar es Salaam alipomwakilisha Rais wa Jamhuri...
SERIKALI IMETOA RUZUKU YA ASILIMIA 20 HADI 50 KWENYE MITUNGI YA GESI LAKI 4.4
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali imetoa ruzuku ya asilimia 20 hadi 50 kwenye mitungi ya gesi ya LPG takribani 452,445 kwa watumiaji wa mwisho ikiwa ni jjtihada za kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia.Mhe. Kaping...
KAMATI MPYA YA UKAGUZI WIZARA YA NISHATI YAFANYA ZIARA KATIKA MIRADI YA UMEME MKOANI PWANI
Kamati mpya ya Ukaguzi ya Wizara ya Nishati imefanya ziara katika miradi ya umeme mkoani Pwani ili kujionea utekelezaji wa miradi hiyo hali itakayopelekea Kamati husika kumshauri vyema Katibu Mkuu Wizara ya Nishati juu ya usimamizi wa rasilimali za W...
NISHATI SAFI YA KUPIKIA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI
Katibu Mkuu wa Wizara Ya Nishati Mha. Felchesmi Mramba amesema kuwa, suala la upatikanaji wa nishati safi ya kupikia ni moja ya vipaumbele vya nchi na kwamba Serikali inahakikisha kuwa Mpango Mkakati wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia unatekelezw...
DKT. BITEKO ATETA NA SPIKA WA BUNGE LA MOROCCO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto Biteko ametembelea Bunge la Morocco ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi nchini humo.Akiwa Bungeni hapo, Dkt. Biteko amefanya mazungumzo na Spika wa Bunge la nchi hiyo Mhe. Rachid Talbi El Alam...
TANZANIA, MOROCCO KUONGEZA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ufalme wa Morocco wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa na mchango endelevu nchini.Hayo yamebainishwa leo Mei 14, 2025 na Naibu Waziri...
SERIKALI INAENDELEA KUTEKELEZA MIRADI YA UMEME KWENYE MAENEO YA KIMKAKATI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa kupeleka umeme kwenyemaeneo ya kimkakati nchini ikiwemo maeneo ya migodi midogo,maeneo ya uvuvi, Viwanda nayanayochagiza shughuli za kiuchumi.Mhe. Kapinga ame...
DKT. BITEKO AWASILI NCHINI MOROCCO KWA ZIARA YA KIKAZI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi inayolenga kukuza na kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizi mbili katika Sekta ya Nishati.Akiwa nchini humo, Dkt. Biteko anatarajiwa kukutana n...
ZAIDI YA NYUMBA 800 MTWARA KUUNGANISHWA NA MFUMO WA GESI YA KUPIKIA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) inatarajia kuunganisha mfumo wa gesi ya kupikia katika nyumba takribani 865 mkoani Mtwara kwenye maeneo ambayo yana miundombinu ya bo...
SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA UMEME KIBITI KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME- KAPINGA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya ya Kibiti ili kuondokana na ta...
KANISA ANGLIKANA LASISITIZA UMUHIMU WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Mhashamu Maimbo Mmdolwa amewahimiza Watanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 na kuongeza kuwa nchi inaweza kuingia katika mgogoro mbaya wa kikatiba kama watasikiliza watu wanaotaka kuahirisha...
SERIKALI ITAENDELEA KUIAMINI NA KUIUNGA MKONO RED CROSS - DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuiamini na kukiunga Mkono Chama cha Msalaba mwekundu (RED CROSS) ili kiendelee kufanya kazi yake nzuri ya kuwahudumia Watanzania.Dkt. Biteko Amesema hayo Mei 1...
DKT. BITEKO ASHIRIKI TULIA MARATHON MBEYA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongezaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa mchango wake katika sekta za afya na elimu sambamba na kusaidia...
KAPINGA AZINDUA KITUO MAMA CHA GESI ASILIA ILIYOSHINDILIWA (CNG) JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amezindua Kituo Mama cha Gesi Asilia iliyoshindiliwa (CNG) ambacho kina uwezo wa kujaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa siku huku kikifanya kazi kwa muda wa saa 24.Kapinga amezindua kituo hicho tarehe 9...
MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUFIKIA 75% MWAKA 2030 - DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikaliimeendelea kuboresha, kuimarisha, kurahisisha na kuwezesha upatikanaji wa umeme na nishati safi ya kupikia kwa gharama nafuu ili kupunguza athari za kiafya, mabadiliko...
TANZANIA YADHAMIRIA KUENDELEZA MAGEUZA YA KIDIGITALI KATIKA ELIMU: DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza wadau wa elimu barani Afrika kuendeleza mkakati na ushirikiano utakaowezesha mageuzi ya kidigitalikatika sekta ya elimu.Dkt. Biteko ametoa rai hiyo Mei 8, 2025 jijini Dar es sa...
SHULE 216 ZA SERIKALI ZATUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA-KAPINGA
Naibu Waziri Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema hadi kufikia mwezi Machi 2025 takribani Shule za Serikali 216 zimehamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo kati ya hizo, Sekondari 146 zinatumia gesi ya LPG.Mhe. Kapinga ameyasema hayo l...