DKT. BITEKO AZITAKA MAMLAKA ZA MAJI KUPUNGUZA UPOTEVU WA MAJI
📌 Azindua taarifa ya Utendaji wa Mamlaka za maji mwaka 2023/24📌 Upotevu wa maji wasababisha hasara ya shilingi bilioni 114.12📌 Maganzo yaibuka kidedea, Rombo yavuta mkia utoaji wa huduma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Bitek...
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YARIDHISHWA NA HATUA ZA UTEKELEZAJI MRADI WA TAZA
📌Zaidi ya Bilioni 20 kulipa fidia waliopisha mradi📌Serikali yasema utakamilika kwa wakatiKamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa Mradi wa Umeme wa Tanzania na Zambia (TAZA) unaohusisha njia ya kusafir...
HONGERA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutimiza miaka minne madarakani
WANANCHI NJOMBE WAIOMBA TANESCO, REA KUONGEZA KASI YA KUWAUNGANISHIA UMEME
📌 Hamasa ya kuunganishiwa umeme yatokana na kasi ya maendeleo katika sehemu zenye huduma ya umeme📌Kapinga asema ifikapo 2030 Wananchi wote watakuwa wamefikiwa na huduma ya umemeWananchi wa Mkoa wa Njombe ambao bado hawajafikiwa na huduma ya umeme w...
KAMATI YA BUNGE YAITAKA REA, TANESCO KUBANDIKA BEI ZA UUNGANISHAJI UMEME KATIKA OFISI ZA SERIKALI ZA...
📌 Lengo ni kila Mwananchi kufahamu gharama halisi za kuunganisha umeme📌Kapinga awataka Mameneja REA, TANESCO kuongeza kasi uhamasishaji wananchi kuunganisha umeme*📌 Awahamasisha Wananchi kupiga namba 180 wanapopata changamoto ya umemeKamati ya Kud...
NI MAONO YA DKT.SAMIA WANANCHI WOTE WAPATE UMEME
📌 Asema wakati Serikali ya Awamu ya Sita inaingia madarakani Vijiji 4000 havikuwa na umeme.📌 Aitaka TANESCO na REA kuendelea kutoa elimu ya kuunganisha umeme.📌 Nishati ya umeme yauongezea ufanisi Zahanati ya Mang'otoNaibu Waziri Nishati, Mhe. Judi...
BILIONI 60 KULIPA FIDIA WANANCHI WALIOPITIWA MRADI WA RUHUDJI NA RUMAKALl
*📌Serikali ya Awamu ya Sita yapongezwa kupelekea Umeme Maeneo Korofi mwambao wa ziwa Nyasa**📌Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini yaipongeza REA na TANESCO *📌Zaidi ya asilimia 98 ya Vijiji vyote Njombe vina umeme*Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nisha...
UMEME WA JOTOARDHI KUUNGANISHWA KWENYE GRIDI YA TAIFA IFIKAPO 2030 - MRAMBA
Mikoa 16 kunufaika na Nishati ya JotoardhiSEforALL yatakiwa kuwekeza katika utafiti na ubunifuTanzania imelenga kuunganisha nishati ya jotoardhi kwenye gridi ya taifa ifikapo mwaka 2030 ili kuwa na umeme wa uhakika unaotokana na nishati jadidifu kuel...
SEforALL KUIMARISHA USHIRIKIANO UPATIKANAJI NISHATI ENDELEVU
Dkt. Biteko asema Nishati Safi ya Kupikia ni ajenda endelevuRais wa Sierra Leone asema ukombozi wa maeneo ya vijijini ni muhimu kufikia maendeleoWaziri Mkuu wa Barbados apendekeza ushirikiano wa kimataifa kumaliza changamotoza nishatiViongozi mbalimb...
KAPINGA AZINDUA NAMBA YA BURE YA HUDUMA KWA WATEJA WA TANESCO
Awapongeza TANESCO kutekeleza agizo la Mhe. Dkt. Biteko kuwataka kuanzisha namba ya huduma kwa wateja bure Asema namba hii ya 180 ya bure kwa wateja kuimarisha huduma kwa wateja na kutatua changamoto zaoAwaagiza Mameneja wa Mikoa na wilaya wa TANESCO...
DKT. BITEKO AWASILI BARBADOS KUNADI NISHATI SAFI KIMATAIFA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili nchini Barbados kushiriki Mkutano wa Kimataifa kuhusu matumizi ya Nishati endelevu utakaofanyika katika jiji la Bridgetown kuanzia tarehe 12 hadi 14 Machi, 2025.Katika Uwanja wa...
MHA. MRAMBA: BIASHARA YA KUUZIANA UMEME KUINUFAISHA TANZANIA
Afafanua kuuuza na kununua umeme ni jambo la kawaida kwa nchiAsisitiza kununua umeme kwa Mikoa ya Kaskazini kunamanufaa kwa Mikoa husikaAsema kukamilika kwa Mradi wa TAZA kutainufaisha Tanzania na biashara ya umemeKatibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mha...
DKT.MWINYI AZIHAMASISHA NCHI ZA EAC KUANZISHA MIFUKO YA MAENDELEO YA PETROLI
Asema lengo ni kuwa na uhakika wa kuendeleza Sekta ya Mafuta na Gesi AsiliaAfunga Kongamano na Maonesho ya Petroli ya Afrika MasharikiAtaka Rasilimali na Mafuta na Gesi Asilia kuchangia maendeleo ya Sekta nyingineRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bar...
DKT.MPANGO ATAKA AFRIKA KUBUNI NJIA BORA UENDELEZAJI RASILIMALI ZA NISHATI ILI KUKIDHI MAHITAJI
Asema upatikanaji wa Nishati Afrika bado ni mdogo kulinganisha na Mabara mengineAsisitiza uendelezaji wa vyanzo vya Nishati uzingatie mustakabali wa vizazi vijavyoAfungua Kongamano na Maonesho ya Petroli kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAPCE’25)Maka...
SERIKALI KUJENGA MTANDAO MKUBWA WA MABOMBA YA GESI-DKT.BITEKO
Asema lengo ni kurahisisha huduma kwa wananchiAfanya mazungumzo na kampuni Rashal Energies inayojenga Bomba la Gesi Kisemvule-MbagalaAikaribisha kampuni ya CNOOC kushiriki Duru a Tano Vitalu vya Mafuta na Gesi Asilia Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa N...
AFRIKA TUNAYAPA KIPAUMBLE MATUMIZI YA NISHATI SAFI ILI KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIA NCHI-DKT....
Asema Sera na Sheria zinazowekwa zinahimiza matumizi ya Nishati Safi Afungua Mkutano wa Awali EAPCE'25 Ataka utumike kujadili na kuweka mipango itakayowezesha matumizi ya Nishati Safi Ataka mkazo kuwekwa kwenye Nishati Safi ya Kupikia kwani matumi...
KOROGWE WAIPONGEZA SERIKALI UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME
Ni katika ziara ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan mkoani TangaVijiji vyote 118 vyafikishiwa umemeNaibu Waziri Kapinga ashiriki ziaraWananchi wa Wilaya ya Korogwe wameipongeza Serikali kwa utekelezaji wa miradiya umeme Vijijini ambapo katika wilaya hi...
SERIKALI, SEKTA BINAFSI KUIMARISHA HUDUMA ZA FEDHA NCHINI
Dkt. Biteko afungua tawi la Exim Benki KahamaExim yachangia vifaa vya matibabu vya shilingi milioni 25 Hospitali ya Wilaya KahamaUzinduzi wa tawi la Exim Bank Kahama ni uthibitisho wa ukuaji wa sekta ya benki, ushirikiano wa sekta binafsi na Serikali...
SERIKALI IMEIMARISHA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA UONGOZI NA SHUGHULI ZA KIUCHUMI-KAPINGA
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani atoa wito wa kushikamanaNaibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema kuwa Serikali imeboresha mazingira ya wanawake nchini ili waweze kushiriki kikamilifu kwenye shughuli za kiuchumi, maendeleo ya Tanzania na ku...
UJENZI KITUO CHA KUPOZA UMEME HANDENI KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME- RAIS SAMIA
Kituo kugharimushilingi bilioni 50Zaidi ya Shillingi billioni 98 kutekeleza mradi wa gridi imara KilindiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema utekelezaji wa ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Hand...