DKT. BITEKO ATETA NA SPIKA WA BUNGE LA MOROCCO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe Dkt. Doto Biteko ametembelea Bunge la Morocco ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi nchini humo.Akiwa Bungeni hapo, Dkt. Biteko amefanya mazungumzo na Spika wa Bunge la nchi hiyo Mhe. Rachid Talbi El Alam...
TANZANIA, MOROCCO KUONGEZA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ufalme wa Morocco wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa matumizi ya teknolojia katika Sekta ya Nishati ili kuiwezesha sekta hiyo kuwa na mchango endelevu nchini.Hayo yamebainishwa leo Mei 14, 2025 na Naibu Waziri...
SERIKALI INAENDELEA KUTEKELEZA MIRADI YA UMEME KWENYE MAENEO YA KIMKAKATI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea kutekeleza mradi wa kupeleka umeme kwenyemaeneo ya kimkakati nchini ikiwemo maeneo ya migodi midogo,maeneo ya uvuvi, Viwanda nayanayochagiza shughuli za kiuchumi.Mhe. Kapinga ame...
DKT. BITEKO AWASILI NCHINI MOROCCO KWA ZIARA YA KIKAZI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi inayolenga kukuza na kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizi mbili katika Sekta ya Nishati.Akiwa nchini humo, Dkt. Biteko anatarajiwa kukutana n...
ZAIDI YA NYUMBA 800 MTWARA KUUNGANISHWA NA MFUMO WA GESI YA KUPIKIA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) inatarajia kuunganisha mfumo wa gesi ya kupikia katika nyumba takribani 865 mkoani Mtwara kwenye maeneo ambayo yana miundombinu ya bo...
SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA UMEME KIBITI KUONDOA CHANGAMOTO YA UMEME- KAPINGA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inatekeleza miradi mbalimbali ya matengenezo na ukarabati wa njia za kusafirisha na kusambaza umeme katika Wilaya ya Kibiti ili kuondokana na ta...
KANISA ANGLIKANA LASISITIZA UMUHIMU WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, Mhashamu Maimbo Mmdolwa amewahimiza Watanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 na kuongeza kuwa nchi inaweza kuingia katika mgogoro mbaya wa kikatiba kama watasikiliza watu wanaotaka kuahirisha...
SERIKALI ITAENDELEA KUIAMINI NA KUIUNGA MKONO RED CROSS - DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali itaendelea kuiamini na kukiunga Mkono Chama cha Msalaba mwekundu (RED CROSS) ili kiendelee kufanya kazi yake nzuri ya kuwahudumia Watanzania.Dkt. Biteko Amesema hayo Mei 1...
DKT. BITEKO ASHIRIKI TULIA MARATHON MBEYA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amempongezaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt. Tulia Ackson kwa mchango wake katika sekta za afya na elimu sambamba na kusaidia...
KAPINGA AZINDUA KITUO MAMA CHA GESI ASILIA ILIYOSHINDILIWA (CNG) JIJINI DAR ES SALAAM
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amezindua Kituo Mama cha Gesi Asilia iliyoshindiliwa (CNG) ambacho kina uwezo wa kujaza Gesi Asilia kwenye magari 1200 kwa siku huku kikifanya kazi kwa muda wa saa 24.Kapinga amezindua kituo hicho tarehe 9...
MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUFIKIA 75% MWAKA 2030 - DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikaliimeendelea kuboresha, kuimarisha, kurahisisha na kuwezesha upatikanaji wa umeme na nishati safi ya kupikia kwa gharama nafuu ili kupunguza athari za kiafya, mabadiliko...
TANZANIA YADHAMIRIA KUENDELEZA MAGEUZA YA KIDIGITALI KATIKA ELIMU: DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza wadau wa elimu barani Afrika kuendeleza mkakati na ushirikiano utakaowezesha mageuzi ya kidigitalikatika sekta ya elimu.Dkt. Biteko ametoa rai hiyo Mei 8, 2025 jijini Dar es sa...
SHULE 216 ZA SERIKALI ZATUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA-KAPINGA
Naibu Waziri Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema hadi kufikia mwezi Machi 2025 takribani Shule za Serikali 216 zimehamia katika matumizi ya nishati safi ya kupikia ambapo kati ya hizo, Sekondari 146 zinatumia gesi ya LPG.Mhe. Kapinga ameyasema hayo l...
DKT. BITEKO AWATAKA MAAFISA MAENDELEO JAMII WASIKUBALI KUACHWA NYUMA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza maafisa maendeo ya jamii nchini kushirikiana na kuhakikisha wanashirikishwa katika mipango ya nchi kuanzia ngazi za halmashauri na kuwezesha jamii kujiletea maendeleo endelevu...
WATAALAM AFRIKA MASHARIKI WAJADILI NISHATI SAFI YA KUPIKIA JIJINI ARUSHA
Leo tarehe 7 Mei, 2025 ambayo ni Siku ya Pili ya Kongamano, Wataalam kutoka Tanzania, Rwanda, Kenya, Burundi, Uganda na Malawwanaendelea na majadiliano kuhusu masuala mbalimbali ikiwemo mbinu bora za utekelezaji wa Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia,...
KONGAMANO LA KWANZA LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA AFRIKA MASHARIKI LAFANYIKA ARUSHA
Wadau mbalimbali kutoka Nchi za Afrika Mashariki wamekutana jijini Arusha katikaKongamano la kwanza Nishati Safi ya Kupikia la Afrika Mashariki linalolenga kujadili masuala mbalimbali yatakayowezesha Jumuiya hiyo kuondokana na matumizi ya Nishati isi...
GEREZA LA LILUNGU WAPONGEZWA KUTUMIA GESI ASILIA KUPIKIA
Imeelezwa kuwa matumizi ya nishati safi ya kupikia imepunguza nusu ya gharama iliyokuwa inatumika katika kuandaa chakula cha wafungwa katika magereza.Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Gereza Kuu la Lilungu, Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Magereza, Abdalla...
NYAMGUMA MAHAMUD AIBUKA MSHINDI HABARI ZA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Nyamguma Mahamud, Mwandishi wa Habari kutoka Mlimani FM ameibuka kidedea katika Tuzo za Uandishi wa Habari za Samia Kalamu Awards 2025 kupitia kipengele cha habari za Nishati Safi ya Kupikia ambapo Wizara ya Nishati imetambua mchango wake kwa kumpa z...
REB YARIDHISHWA MATUMIZI YA NISHATI SAFI GEREZA LA BUTIMBA
Wajumbe wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB) wamefanya ziara ya kutembelea Gereza Kuu la Butimba lililopo jijini Mwanza kwa lengo la kukagua utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa mifumo ya nishati safi ya kupikia katika taasisi hiyo.Ziara hiyo ni sehemu ya...
SEKTA YA NISHATI IPO SALAMA CHINI YA RAIS SAMIA - DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya umeme huku akisisitiza kuwa ni lazima Watanzan...