Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Ministry of Energy

News

Sep 08, 2022
​SERIKALI KUANZISHA OFISI MAALUM YA MRADI WA LNG. MAZUNGUMZO KUKAMILIKA DISEMBA - WAZIRI MAKAMBA.*
SERIKALI KUANZISHA OFISI MAALUM YA MRADI WA LNG. MAZUNGUMZO KUKAMILIKA DISEMBA - WAZIRI MAKAMBA.*Waziri wa Nishati, January Makamba, ametembelea ofisi...
Sep 07, 2022
​*WAZIRI MAKAMBA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MKUTANO WA VIONGOZI WA DUNIA WA MABADILIKO YA TABIANC...
*WAZIRI MAKAMBA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MKUTANO WA VIONGOZI WA DUNIA WA MABADILIKO YA TABIANCHI KWA AFRIKA *Mhe. January Y. Makamba, Waziri wa N...
Sep 05, 2022
​WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA, SINGAPORE.
WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA MABALOZI WA UINGEREZA, SINGAPORE.Na Mwandishi WetuWaziri wa Nishati Mhe. January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na...
Aug 29, 2022
​WAZIRI MAKAMBA MWENYEKITI MPYA MRADI WA UMEME WA RUSUMO
WAZIRI MAKAMBA MWENYEKITI MPYA MRADI WA UMEME WA RUSUMONa Dorina Makaya - Rusumo, Kagera.Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, tarehe 20 Agosti, 20...
Aug 17, 2022
​TANZANIA NA OMAN KUSHIRIKIANA KUKUZA SEKTA YA NISHATI
TANZANIA NA OMAN KUSHIRIKIANA KUKUZA SEKTA YA NISHATIWaziri wa Nishati, Mhe..January Makamba amekutana na Balozi wa Oman nchini Tanzania Mhe.Saud Hila...
Aug 11, 2022
​MAKABIDHIANO YA DATA ZA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA KWA VITALU VYA ZANZIBAR
MAKABIDHIANO YA DATA ZA UTAFUTAJI WA MAFUTA NA GESI ASILIA KWA VITALU VYA ZANZIBARMheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa...
Aug 10, 2022
​UJENZI BWAWA LA NYERERE WAFIKIA 67%, KAZI USIKU NA MCHANA
UJENZI BWAWA LA NYERERE WAFIKIA 67%, KAZI USIKU NA MCHANAWaziri wa Nishati, January Makamba amesema ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyere...
Aug 09, 2022
​Milango iko wazi kuwekeza Zanzibar
Milango iko wazi kuwekeza ZanzibarSerikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema milango ya uwekezaji iko wazi kwa Wawekezaji, kuwekeza katika Sekta ya Nishat...
Aug 09, 2022
​Serikali kuendelea kuimarisha Sekta ya Nishati ili kuvutia wawekezaji zaidi
Serikali kuendelea kuimarisha Sekta ya Nishati ili kuvutia wawekezaji zaidiWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema ku...
Aug 09, 2022
​Mgawo wa umeme katika vijiji 20 Ludewa wapatiwa ufumbuzi na Makamba
Mgawo wa umeme katika vijiji 20 Ludewa wapatiwa ufumbuzi na MakambaWaziri wa Nishati, Mhe Januari ametoa ufumbuzi wa changamoto ya miaka mingi ya mgaw...
Aug 09, 2022
​Tumeamua kutekeleza mradi mkubwa wa umeme wa Rumakali - MAKAMBA
Tumeamua kutekeleza mradi mkubwa wa umeme wa Rumakali - MAKAMBAWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameeleza kuwa, Serikali imeamua kutekeleza mrad...
Aug 09, 2022
​HATUPELEKI UMEME VIJIJINI KUWASHA TAA PEKEE - Makamba
HATUPELEKI UMEME VIJIJINI KUWASHA TAA PEKEE - MakambaWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema kuwa, Serikali haisambazi umeme vijijini kwa ajil...
Aug 09, 2022
​MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME WA TANZANIA-ZAMBIA KUKAMILIKA JANUARI 2025
MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME WA TANZANIA-ZAMBIA KUKAMILIKA JANUARI 2025 Kuimarisha upatikanaji umeme katika mikoa mitano nchini Imeelezwa kuwa, m...
Aug 09, 2022
Wananchi Nkasi waiomba Serikali nishati safi na salama ya kupikia
Wananchi Nkasi waiomba Serikali nishati safi na salama ya kupikiaWananchi mbalimbali katika Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wameiomba Serikali kuwapatia...
Aug 09, 2022
​Ujenzi wa Kiwanda cha kutayarisha mabomba mradi wa EACOP kukamilika Desemba 2022
Ujenzi wa Kiwanda cha kutayarisha mabomba mradi wa EACOP kukamilika Desemba 2022Ujenzi wa Kiwanda cha kuwekea mifumo ya upashwaji joto mafuta pamoja n...
Jul 22, 2022
​Wabunge wa Uganda wajifunza usafirishaji wa mafuta ghafi TAZAMA
Wabunge wa Uganda wajifunza usafirishaji wa mafuta ghafi TAZAMANa Zuena Msuya, DSMSerikali kupitia Wizara ya Nishati imepokea Ujumbe kutoka nchini Uga...
Jul 22, 2022
​Mradi mkubwa wa umeme Jua Shinyanga kuanza Novemba 2022
Mradi mkubwa wa umeme Jua Shinyanga kuanza Novemba 2022Mradi mkubwa wa uzalishaji umeme kwa kutumia Jua wa kiasi cha megawati 150 utaanza kutekelezwa...
Jul 20, 2022
Wachimbaji wadogo Wisolele kupata umeme ifikapo Oktoba
Wachimbaji wadogo Wisolele kupata umeme ifikapo OktobaWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba ameahidi kupeleka umeme kwenye migodi ya wachimbaji wadog...
Jul 20, 2022
Mradi wa Rusumo kuongeza uhakika wa umeme Kanda ya Ziwa
Mradi wa Rusumo kuongeza uhakika wa umeme Kanda ya ZiwaImeelezwa kuwa, kukamilika kwa mradi wa umeme wa Rusumo wa megawati 80 kutaimarisha hali ya upa...
Jul 20, 2022
Migodi 336 kupelekewa umeme na Wakala wa Nishati Vijijini
Migodi 336 kupelekewa umeme na Wakala wa Nishati VijijiniSerikali imepanga kupeleka umeme katika migodi 336 nchini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini...