TANZANIA NA KENYA ZASAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI.
Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi na Waziri wa Nishati na Petroli wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Opiyo Wandayi wamesaini makubaliano ya ushirikiano ya kuanza mauziano ya umeme baina ya Tanzania na Kenya pamoja na upembuzi yakinifu wa mradi wa uje...
WANANCHI WA DODOMA WAPONGEZA JUHUDI ZA SERIKALI MKAKATI WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.
Wananchi wa Dodoma wamepongeza juhudi za Serikali kupitia mkakati wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, wakieleza kuwa mkakati huo unasaidia kuboresha afya, kuokoa muda na kulinda mazingira.Hayo yamejiri Mei 4, 2026 katika Soko la Mavun...
KAMISHNA LUOGA NA MAKAMU BALOZI WA NEW ZEALAND WAJADILI MAENDELEO YA MRADI WA JOTOARDHI.
Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mha. Innocent Luoga amekutana na Naibu Balozi wa New Zealand nchini, Nicholas Meehan ambapo wamejadiliana kuhusu ushirikiano katika miradi ya kuzalisha umeme kwa kutumia rasilimali ya jotoardhi.Kikao hicho kimef...
DKT.SAMIA ASISITIZA HAKI NA MASLAHI YA WAFANYAKAZI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesisitiza umuhimu wa kulinda haki za wafanyakazi na kuboresha maslahi yao ili kuongeza tija na maendeleo ya taifa.Akihutubia katika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (...
WAZIRI NDEJEMBI NA WAZIRI DKT. RAMOKGOPA WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA NISHATI.
Waziri wa Nishati wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amefanya mazungumzo na Waziri wa Umeme na Nishati wa Afrika Kusini, Dkt. Kgosientsho Ramokgopa, mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika wanaoshughu...
RAIS SAMIA ATAMBULIWA KUWA KINARA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA AFRIKA.
Umoja wa Afrika umetambua juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ndani na nje ya nchi, na kumpendekeza kutangazwa rasmi kuwa kinara wa Umo...
TANZANIA NA JAPAN KUFUNGUA MILANGO MIPYA YA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NISHATI.
Ushirikiano kati ya Tanzania na Japan katika sekta ya nishati unaingia hatua mpya, huku juhudi zikielekezwa zaidi katika kuvutia uwekezaji wa sekta binafsi na teknolojia za kisasa za uzalishaji umeme.Hatua hiyo imebainishwa jijini Dar es Salaam April...
MHE. SALOME ASHIRIKI MKUTANO WA 21 WA MAWAZIRI WA NISHATI AFRIKA MASHARIKI.
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano wa 21 wa Baraza la Mawaziri wa Nishati wa Ukanda wa Mashariki mwa Afrika, uliofanyika Aprili 29, 2026 jijini Cairo, Misri, ukiwa na lengo la kuimarisha ushirikiano wa...
SERIKALI YAIMARISHA HATUA ZA KUDHIBITI BEI ZA MAFUTA.
Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kudhibiti mwenendo wa bei za mafuta nchini, ikiwa ni jitihada za kulinda uchumi wa wananchi na kuhakikisha upatikanaji wa mafuta unaendelea kuwa wa uhakika.Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ni...
MHE. SALOME ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MISRI.
Naibu Waziri wa Nishati,Mhe. Salome Makamba ametembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Misri, ambapo alipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini humo, Mej. Gen. Richard Makanzo.Katika mazungumzo yao, Balozi Makanzo alieleza majukumu mbalimbali yanayotekelez...
WAZIRI NDEJEMBI AKUTANA NA VIONGOZI WA KAMPUNI ZA SHELL NA EQUINOR KUHARAKISHA MRADI WA GESI KUSINI.
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shell Exploration and Production Tanzania Ltd pamoja na Equinor Tanzania kujadili utekelezaji na uendelezaji wa Mradi wa Kuchakata Gesi Asilia kuwa Kimiminika...
TANZANIA YAJINADI KIMATAIFA KATIKA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.
Tanzania imeendelea kujinadi Kimataifa kwa kuwasilisha mafanikio yake katika Matumizi ya Nishati safi ya kupikia, ambapo hadi kufikia mwaka 2025, asilimia 28.6 ya Wananchi wana nishati safi ya kupikia, hatua inayoonesha ongezeko kubwa la matumizi hay...
TANZANIA NA CANADA KUIMARISHA USHIRIKIANO WA NISHATI.
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Canada nchini, Emily Burns kwa lengo la kuimarisha na kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na Canada katika sekta ya nishati.Mazungumzo hayo yamefanyika leo,...
KAMPENI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAZIDI KUSAMBAA MAENEO MBALIMBALI JIJINI DODOMA.
Wafanyabiashara wa soko la Mavunde Chang’ombe, Jijini Dodoma, wamepatiwa elimu kuhusu matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni inayoendelea kutekelezwa katika maeneo mbalimbali ya Jiji hilo.Kampeni hiyo imelenga ku...
KAMISHNA LUOGA AONGOZA WATAALAMU KUTOKA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA AU KUHUSU NISHATI NA UCHUKUZI.
Wizara ya Nishati na Wizara ya Uchukuzi za Tanzania zimeshiriki katika Mkutano wa 5 wa mwaka wa Kamati Maalum ya Wataalamu ya Umoja wa Afrika kuhusu Uchukuzi na Nishati (Specialised Technical Committee (STC) on Transport and Energy), unaofanyika Jiji...
MHE. SALOME AUNGANA NA WATANZANIA CAIRO KUSHEREHEKEA MUUNGANO.
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Salome Makamba ameshiriki katika maadhimisho ya sherehe za Muungano zilizoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Misri, Jijini Cairo April 26, 2026.Mhe. Salome amepata wasaa wa kukutana na viongozi mbalimbali ikiwa ni pam...
NCHIMBI: MALKIA WA NGUVU TUMIENI MAJUKWAA YENU KUHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewataka waandaaji wa tamasha la Malkia wa Nguvu kutumia majukwaa yao kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini ili kuwafikia wanawake wengi zaidi na...
NISHATI SAFI YAINGIA SOKONI: WAMACHINGA WAPEWA MAFUNZO MUHIMU.
Wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga wanaofanyia shughuli zao katika Soko la Machinga Complex jijini Dodoma wamepatiwa elimu ya matumizi sahihi ya Nishati Safi ya Kupikia, ikiwa ni hatua muhimu katika kuboresha afya zao na kulinda mazingira...
NDEJEMBI AONGOZA KIKAO CHA KUWEKA MIKAKATI YA UTEKELEZAJI WA BAJETI NA HOJA ZA WABUNGE.
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba wamekutana na Viongozi wa Wizara pamoja na Taasisi zilizo chini ya Wizara kuweka mikakati mahsusi ya kuanza utekelezaji wa hoja na mapendekezo yaliyot...
NDEJEMBI: TUTATIMIZA MAONO YA RAIS SAMIA YA KUZALISHA MW 8,000.
Wizara ya Nishati imesisitiza kuwa ipo katika mkakati madhubuti wa kutimiza maono ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kufikisha uzalishaji wa umeme Megawati 8,000 ifikapo mwaka 2030.Kauli hiyo ilitolewa bungeni na Waziri wa Nishati,Mhe. Deogratius Ndejemb...