Waziri Ndejembi Awasili Mtwara Kukagua Miradi ya Umeme
Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi amewasili mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji wa miradi ya umeme. Akiwasili Machi 07, 2026 amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Kanali Donald MséngiMara baada ya kuwasili, Waziri...
Wachoma Nyama Dodoma Waanza Kuhamia Matumizi Ya Majiko Ya Gesi
Wizara ya Nishati kupitia Kitengo cha Nishati Safi ya Kupikia imefanya ziara ya kutembelea mjasiriamali anayejishughulisha na uchomaji wa nyama katika eneo la Maili Mbili, jijini Dodoma ili kujionea namna anavyonufaika na matumizi ya nishati safi ya...
MRADI WA MALAGARASI WAPELEKA UMEME KWA WANANCHI 750 KIGOMA
Takribani wananchi 750 wanaopitiwa na Mradi wa Uzalishaji Umeme wa Malagarasi (MW 49.5) unaotekelezwa mkoani Kigoma wamefaidika na mradi huo, ikiwa ni jitihada za Serikali kuhakikisha kuwa wananchi wanaopitiwa na miradi ya maendeleo wananufaika na mi...
MAGARI YA UMEME NAFUU KWA ASILIMIA 85 UKILINGANISHWA NA YA MAFUTA
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema utafiti unaonesha kuwa kuendesha gari la umeme nchini ni nafuu kwa takribani asilimia 85 kwa kila kilomita ikilinganishwa na gari linalotumia petroli au dizeli.Mramba ameyasema hayo Mac...
UMEME WA GRIDI KIGOMA UMEOKOA BILIONI 58 ZA MAFUTA NA MATENGENEZO –MHE. SALOME
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kusimamia na kukamilisha mradi wa kupeleka umeme wa gridi mkoani Kigoma na hivyo kuokoa takribani shilingi bilioni 58 zilizokuwa zikitumika kila mwaka k...
MHE. SALOME AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI TANESCO MKOA WA KIGOMA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Wafanyakazi wa TANESCO Mkoa wa Kigoma ambapo pamoja na kuwapongeza kwa kazi nzuri wanayofanya amewataka kuongeza nguvu katika utekelezaji wa mipango ya Serikali ya kubore...
MHE. SALOME AANZA ZIARA YA KIKAZI KIGOMA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Kigoma inayolenga kukagua miradi mbalimbali ya umeme ikiwemo mradi wa Malagarasi utakaozalisha megawati 49.5.Kabla ya kuanza ziara hiyo amekutana Kaimu Mkuu wa...
Matumizi ya Nishati Safi Yapunguza Ukataji wa Miti Mvomero
Wananchi wa Mvomero wamesema kuwa utekelezaji wa agizo la Serikali la kuhamasisha matumizi ya nishati safi umeanza kuleta matokeo chanya, ikiwemo kupungua kwa ukataji wa miti na uchomaji wa mkaa katika baadhi ya maeneo.Hayo yameelezwa na baadhi ya wa...
Mhe. Ndejembi Akutana na Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta (TAOMAC)
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta Tanzania (TAOMAC) kwa lengo la kuboresha na kukuza sekta ya mafuta nchini pamoja na kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali n...
Mradi wa Umeme Jua Kayenze Wazalisha MW 5; Waongeza Nguvu ya Umeme na Maendeleo Ushetu
Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Salome Makamba, amesema mradi wa umeme wa jua wa Kayenze uliopo katika Jimbo la Ushetu unazalisha megawati 5 za umeme ambazo zinaingizwa katika Gridi ya Taifa kupitia njia ya msongo wa kilo...
KIHONGOSI AIPONGEZA WIZARA YA NISHATI KWA MRADI WA UMEME JUA KAYENZE
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenan Kihongosi ameipongeza Wizara ya Nishati kwa utekelezaji wa mradi wa umeme jua wenye thamani ya shilingi bilioni 11 unaoingiza megawati tano (5) katika Gridi ya Taifa.Kihon...
Shule 43 Ruvuma Zatumia Nishati Safi ya Kupikia kwa Ushirikiano na Wadau
Mkoa wa Ruvuma umefanikiwa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia katika shule za sekondari 43 kati ya 153 zilizopo mkoani humo kupitia ushirikiano na wadau mbalimbali.Afisa Elimu Mkoa wa Ruvuma, Mwl. Edith Mpinzile, amesema mafanikio hayo y...
MAAFISA ELIMU WAPEWA MBINU KUIMARISHA MIUNDOMBINU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA SHULENI
Maafisa Elimu nchini wametakiwa kushirikiana kwa karibu na wadau mbalimbali wakiwemo sekta binafsi, mashirika yasiyo ya kiserikali na jamii ili kuwekeza na kuimarisha miundombinu ya nishati safi ya kupikia katika shule.Wito huo umetolewa Machi 4, 202...
Waziri Ndejembi Akutana na Wamiliki wa Kampuni za Mafuta, Atoa Uhakika wa Upatikanaji wa Mafuta Nchi...
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na wamiliki wa kampuni za mafuta nchini pamoja na viongozi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati zinazoshughulikia Sekta ndogo ya mafuta na gesi.Kikao hicho kimefanyi...
Waziri Ndejembi Akutana na Taasisi za Mafuta na Gesi Kuimarisha Ushirikiano wa Kisekta
Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi leo Machi 03, 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati zinazoshughulikia sekta ya mafuta na gesi katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es salaam.Kikao hicho kimehud...
UPATIKANAJI WA MAENEO YA UCHIMBAJI WA GESI.
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amelitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuongeza kasi katika utafiti wa upatikanaji wa maeneo mapya ya uchimbaji wa visima vipya vya gesi asilia ili kuongeza upatikanaji wa gesi kwa matumi...
NDEJEMBI: BOMBA LA GESI NTORYA–MADIMBA LIKAMILIKE IFIKAPO SEPTEMBA 2026
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amelitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kumsimamia kikamilifu Mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi asilia kutoka eneo la ugunduzi la Ntorya hadi Kiwanda ch...
KASI YA MRADI WA EACOP YAPONGEZWA NA WATUMISHI WIZARA YA NISHATI
Watumishi kutoka Wizara ya Nishati wamepongeza kasi ya utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ambao umefikia asilimia 81 huku ukifungua fursa nyingi kwa wananchi ikiwemo upatikanaji wa ajira na ujuzi..Akizungumza Fe...
WAZIRI NDEJEMBI AWASILI MTWARA KWA ZIARA YA KIKAZI
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amewasili Mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Abdallah Mwaipaya pamoja na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Serikali, leo tarehe 27 Februari 2026.Katika zi...
MHE. NDEJEMBI AITAKA PURA KUWAJENGEA UWEZO WATANZANIA KUSHIRIKI MRADI WA LNG
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratous Ndejembi, ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) kuimarisha mipango yake katika ukusanyaji wa data sahihi, tathmini ya vitalu vya utafiti, na maandalizi ya Watanzania kushiriki kikamilifu katik...