Aug 30, 2024
TAZAMA YATOA GAWIO BILIONI 4.35 KWA SERIKALI
Dkt. Biteko asema ni matokea ya ziara ya Rais Samia nchini Zambia Aitaka TAZAMA ijiendeshe kwa faida Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe....
Aug 30, 2024
TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME - DKT. BITEKO
Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha masoko cha kuuziana umeme Wanachama EAPP w...
Aug 30, 2024
WAKANDARASI MRADI WA TAZA (kV 400) WATAKIWA KUKAMILISHA KAZI KWA WAKATI
Leo Agosti 17, 2024 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio ameongoza kikao cha Tatu cha Kamati ya Uongozi ya Mradi wa usafirishaji...
Aug 30, 2024
TANZANIA MWENYEJI MKUTANO WA MAFUTA NA GESI MACHI 2025
Wadau Sekta ya Nishati zaidi ya 1000 kushirikiDkt. Biteko awataka wadau kushirikiana kuelekea mkutano huo Nishati Safi ya kupikia kupewa kipaumbele...
Aug 30, 2024
RAIS SAMIA AMEIBEBA AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KIMATAIFA - DKT. BITEKO
Ashiriki Kongamano la Nishati Safi ya kupikia ZanzibarAhamasisha ubunifu katika teknolojia za Nishati Safi ya Kupikia Apongeza ubunifu wa mita za kup...
Aug 30, 2024
WAKANDARASI, REA FANYENI KAZI KWA UADILIFU NA KUKAMILISHA KWA WAKATI - DKT. BITEKO
Awataka REA, Wakandarasi kuwajibika utekelezaji wa miradiMkataba wa Shilingi bilioni 362 wasainiwaVitongoji 3,060 kupelekewa umeme Wakandarasi wanaot...
Aug 30, 2024
WIZARA YA NISHATI YASHIRIKI TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR
Yatoa huduma moja kwa moja kwa Wananchi kupitia Taasisi zakeNishati safi ya kupikia, yawa ajenda ya kuvutia Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake...
Aug 30, 2024
SHILINGI BILIONI 4.6 KUPELEKA UMEME MAENEO YA MIGODI RUVUMA - KAPINGA
Asema Serikali itaendelea kupeleka umeme maeneo ya uwekezajiSerikali kuendelea kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judit...
Aug 30, 2024
RAIS SAMIA AMEFANYA UMEME KUWA SI ANASA- KAPINGA
Tanzania kufuta historia ya Vijiji kutokuwa na umemeKati ya Vijiji 12,318 bado Vijiji 151 tu kufikiwa na umemeWananchi watakiwa kutunza miundombinu ya...
Aug 30, 2024
RAIS SAMIA ATAKA WIZARA YA NISHATI KUONGEZA KASI USIMAMIZI WA MIRADI
Lengo ni kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati Aeleza umeme unavyochagiza shughuli za kiuchumi Vijiji 621 Morogoro vyafikiwa na umeme kati ya Vi...
Aug 30, 2024
GRIDI YA TAIFA INA UMEME WA KUTOSHA - RAIS SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mfumo wa gridi ya Taifa una umeme wa kutosheleza mahitaji ya kijamii na...
Aug 30, 2024
WIZARA YA NISHATI, MTIBWA WAJADILI UJENZI NJIA YA UMEME
Ni ya msongo wa kilovoti 132 Ni kufuatia ombi la Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kiwanda cha Mtibwa Bilioni 28 kutekeleza miradi ya umeme Vijij...
Aug 30, 2024
KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAAHIDI KUUPA MSUKUMO MRADI WA EACOP
Yampongeza Rais Samia kutekeleza miradi inayoleta mageuzi ya kiuchumi Dkt. Mataragio asema mradi umefikia asilimia 39.2 Tanzania kufaidika na shil...
Aug 15, 2024
MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA
MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTADkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34) Asema kitaongeza mapato ya Seri...
Aug 05, 2024
RAIS SAMIA ARIDHIA VITUO 75 VYA KUPOZA UMEME KUJENGWA NCHINI - KAPINGA
RAIS SAMIA ARIDHIA VITUO 75 VYA KUPOZA UMEME KUJENGWA NCHINI - KAPINGALengo ni kuimarisha upatikanaji umeme katika maeneo yote nchini Mradi kugharimu...
Aug 01, 2024
MRADI WA TAZA KUUNGANISHA UMEME AFRIKA
MRADI WA TAZA KUUNGANISHA UMEME AFRIKADkt. Biteko aweka Jiwe la MsingiAitaka TANESCO Kusimamia Mradi kikamilifuAtaka Wakandarasi wazembe Wachukuliwe H...
Jul 27, 2024
SEKTA YA NISHATI MANENO KIDOGO VITENDO ZAIDI-DKT.BITEKO
SEKTA YA NISHATI MANENO KIDOGO VITENDO ZAIDI-DKT.BITEKOAshiriki Bonanza la Nishati jijini DodomaAtaka Watumishi kupendana na kushirikianaAtunukiwa Nis...
Jul 23, 2024
TUNAO UMEME WA KUTOSHA;ASEMA MHE. RAIS SAMIA
TUNAO UMEME WA KUTOSHA; ASEMA MHE. RAIS SAMIARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema kuwa kwa sasa nchi inao umeme...
Jun 22, 2024
SERIKALI KUIMARISHA MAGHALA YA MAFUTA
SERIKALI KUIMARISHA MAGHALA YA MAFUTADkt. Biteko akaribisha uwekezaji wa uzalishaji wa dawa za mifugo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt...
Jun 21, 2024
SERIKALI YAONDOA HOFU YA UMEME KUTOFIKA VITONGOJI VYOTE NCHINI
SERIKALI YAONDOA HOFU YA UMEME KUTOFIKA VITONGOJI VYOTE NCHINI Kapinga asema vitongoji vyote vitasambaziwa umeme Vituo vya kupoza umeme kujengwa Kilos...