KAPINGA ASEMA MAFANIKIO KATIKA SEKTA YA NISHATI YANATOKANA NA JITIHADA ZA RAIS SAMIA
Ni wakati akitoa mchango Bungeni kuhusu Mpango wa Taifa wa MaendeleoAtaja kuongezeka kwa kiasi cha umeme katika Gridi ya TaifaAeleza usambazaji umeme vijijini ulivyofanyika kwa mafanikio; Vijiji 78 Tu vyasaliaAeleza jitihada zilizofanyika Sekta ya Ma...
SERIKALI YAELEZA JITIHADA INAZOCHUKUA KUWEZESHA MATUMIZI YA GESI KWENYE MAGARI
Kapinga ataja msamaha wa kodi asilimia 25 kwa injini za magari yanayotumia gesi asilia iliyotolewa 2023/2024Aeleza Serikali ilivyojidhatiti kupeleka umeme kwenye maeneo yote nchiniNaibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema kupitia Bajeti Kuu...
SERIKALI INAENDELEA KUTEKELEZA MRADI WA KUPELEKA UMEME WA GRIDI MTWARA NA LINDI- MHE.KAPINGA
Lengo ni kuimarisha upatikanaji wa umemeFidia kulipwa kwa wanaopisha mradiNaibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi naumeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tund...
SERIKALI KUJA NA MRADI WA KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME VITONGOJINI- MHE. KAPINGA
Kuhusisha transfoma za kVA50, 100 na 200Vitongoji ambavyo havijapata umeme kufikiwaNaibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali inatarajia kuanza mradi mpya wa upelekaji umemevitongojini utakaohusisha ujenzi wa njia za kati na ndogo z...
KAPINGA ATOA MAAGIZO TANESCO
Ni kuhusu Vijiji vinavyolipia gharama ya mijini kuunganisha umemeMaboresho kituo cha Mbagala kuimarisha upatikanajiumeme Kigamboni, Mbagala na Ukanda wa PwaniNaibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nish...
WADAU SEKTA YA UZIDUAJI WATAKIWA KUJADILIANA, KUAMBIZANA UKWELI
Dkt. Biteko afungua Jukwaa la uziduaji mwaka 2024Awataka washiriki kutafakari ongezeko la matishio ya duniaWachimbaji wadogo kuchangia shilingi trilioni moja Mfuko Mkuu wa Serikali kwa mwakaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Bitek...
TANZANIA KUWA MWENYEJI MKUTANO WA KIMATAIFA WA MATUMIZI BORA YA NISHATI
Wadau 400 kukutana ArushaKuhusisha majadiliano, kubadilishana uzoefu, fursa za uwekezajiDkt.Doto Biteko kuwa mgeni rasmiUfanisi wa Tanzania Matumizi Bora ya Nishati wapelekea EU kuongeza muda wa ufadhili Imeelezwa kuwa, Tanzania kwa kushirikiana na U...
JENERALI MUSUGURI AMEACHA ALAMA YA UZALENDO NA KUJITOA KWA AJILI YA TAIFA: DKT. BITEKO
Serikali itaenzi na kuthamini mchango wakeAsema Jenerali Musuguri alijitolea kuhakikisha Tanzania inabaki na amani na usalamaAsema alikuwa mstari wa mbele kuliokoa TaifaAiasa jamii kuacha alama katika maisha ya kila sikuDkt. Biteko aongoza mamia ya w...
Dkt. Biteko ahimiza upendo, amani na ushirikiano Sengerema
Asisitiza wananchi kushiriki Uchaguzi Wa Serikali za Mitaa kwa amaniAsema Sengerema inahitaji maendeleo na si maneno Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amehimiza upendo, amani na ushirikiano miongoni mwa wananchi wa Sengere...
SERIKALI IMETEKELEZA MIRADI MINGI SEKTA YA AFYA-DKT. BITEKO
Azindua Jengo la Kisasa la Upasuaji Sengerema DDH na Mradi wa Umeme wa JuaAhimiza wananchi kutunza miundombinu ya hospitaliAtaja mageuzi makubwa yaliyofanywa katika sekta ya afyaAlipongeza Kanisa Katoliki, awashukuru wafadhili wa miradiNaibu Waziri M...
DKT.BITEKO ATAKA UMOJA, USHIRIKIANO NA UBUNIFU TAASISI ZA NISHATI
Asema Rais Samia anataka Ubunifu ili kusogeza huduma bora kwa wananchiAsisitiza utendaji kazi umuangalie Mtanzania wa kawaida anayeitegemea Serikali kubadili maishaAagiza kila Taasisi kuwa na Vigezo vya Upimaji Utendaji KaziAtaka Watendaji waache ala...
KONGAMANO LA JOTOARDHI AFRIKA KULETA UWEKEZAJI NA UBUNIFU MPYA TANZANIA-KADUARA
Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Shaibu Kaduara amesema Kongamano la Kimataifa la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) lililofanyika nchini kuanzia tarehe 21 Oktoba 2024 litaleta uwekezaji na ubunifu mpya katika uende...
DKT.MPANGO ATAKA AFRIKA KUUNGANISHA NGUVU UENDELEZAJI WA JOTOARDHI
Aeleza umuhimu wa Sekta Binafsi kuhusishwa uendelezaji Jotoardhi Akaribisha uwekezaji katika vyanzo vya Jotoardhi Tanzania Kapinga amshukuru Dkt.Samia kwa Dira inayoiimarisha Sekta ya Nishati Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amesema B...
TUNAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI NA MIUNDOMBINU YA NISHATI ILI KUFIKISHA HUDUMA KWA WOTE- DKT.MAT...
Asisitiza nia ya Serikali ni kutoa huduma stahiki bila kuangalia umbali au kipatoApongeza kampuni ya Puma Energy Tanzania kushirikiana na Serikali uhamasishaji Nishati Safi ya Kupikia Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesem...
SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKISHA WAWEKEZAJI UENDELEZAJI NISHATI JADIDIFU- DKT.MATARAGIO
Asema maeneo yenye vyanzo vya Nishati Jadidifu yameshatambuliwaMikoa 16 yatajwa kuwa na rasilimali ya Jotoardhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amesema Serikali itaendelea kuwashirikisha wawekezaji katika maeneo yenye ni...
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA UTENDAJI KAZI WIZARA YA NISHATI
Yakoshwa na ETDCO kuongeza ufanisi wa kaziKapinga asema Serikali itaendelea kuboresha upatikanaji wa Nishati safi ya Kupikia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa kwake na majukumu yanayotekelezwa na Wizara ya Nishati n...
TANZANIA NA SINGAPORE KUIMARISHA UHUSIANO WAKE
Tanzania na Singapore Kuongeza Kiwango cha Ufanyaji BiasharaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa uhusiano wa Tanzania na Singapore ni wa muda mrefu na kuwa nchi hizo zinatakiwa kuangalia sababu za uwepo wa uhusia...
Dkt. Biteko afanya mazungumzo na Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko Oktoba 21, 2024 akiwa nchini Singapore amekutana na kufanya mazungunzo na Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania nchini humo, Bw. Teo Siong Seng ambaye pia ni mwenyekiti mwenza wa Kampuni ya Pa...
Kongamano la Kimataifa la Jotoardhi laanza kwa mafanikio Dar es Salaam
Lahusisha nchi 21 na Washiriki 800Kuangazia Sera, fursa za masoko na uwekezaji Kamishna Luoga asema lengo ni kuendeleza nishati ya Jotoardhi nchini UNEP yaipongeza Tanzania kwa maandalizi Kongamano la 10 la Jotoardhi Afrika (ARGeo-C10) limeanza kw...
DKT. BITEKO AKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA NISHATI
Ataja Mikakati ya Serikali Kuimarisha Sekta ya NishatiAeleza Namna Tanzania Inavyojiandaa Kuuza Umeme nchi Jirani na Uwepo wa Soko la UhakikaAsema Ushiriki wa Sekta Binafsi ni Muhimu kwa Maendeleo ya NchiAshiriki Wiki ya Kimataifa ya Nishati Singapor...