WATU MILIONI 300 AFRIKA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA IFIKAPO 2030- DKT. BITEKO
Benki ya Dunia na AfDB zaunga mkono Ajenda ya Nishati Safi ya KupikiaMkutano wa Marais Afrika kufanyika Tanzania; Ajenda ya Nishati Safi kupewa kipaumbeleTanzania yawa mfano Afrika mapinduzi Sekta ya NishatiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe...
SERIKALI YAWEKA MKAZO KUKUZA TASNIA YA UFUGAJI WA KUKU
Vijana Wahimizwa Kujiajiri Kupitia Ufugaji KukuDkt. Biteko Atoa Maagizo kwa Wizara ya Mifugo Kukuza Tasnia ya ufugaji wa KukuWatanzania Wahimizwa Kufuga Kibiashara sio Kitamaduni Mkutano wa Kwanza wa Tasnia ya Kuku na ndege wafugwao Kusini mwa Afrika...
SERIKALI IMEENDELEA KUJALI WALIMU KWA VITENDO
Waziri Mkuu Majaliwa Asisitiza Maboresho KitaalumaDkt. Biteko Awashukuru Walimu kwa Mchango WaoDkt. Biteko Aahidi Kuendelea Kushirikiana na Walimu NchiniWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Elimu, Sa...
DKT. BITEKO AONGOZA WANANCHI BUKOMBE KUJIANDIKISHA DAFTARI LA MPIGA KURA
Awahimiza Kujitokeza kwa Wingi KujiandikishaAwataka Kutumia Haki ya Kikatiba kuchagua Viongozi WaoNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi na kuji...
BUKOMBE WAUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS SAMIA, WAKABIDHIWA MITUNGI YA GESI
Mitungi ya Gesi 1500 Yatolewa BureDC Bukombe Ahimiza Wananchi Kutumia Nishati Safi ya Kupikia na Kutunza MazingiraMkuu wa Wilaya ya Bukombe, Mhe. Paskazi Muragili amesema kuwa Wilaya yake imeendelea kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungan...
RAIS SAMIA APONGEZWA MAGEUZI MAKUBWA SEKTA YA AFYA
Serikali Yawapongeza Wanaradiografia kwa Mchango wao kwa JamiiUwekezaji katika Sekta ya Afya Waokoa FedhaTanzania Nchi ya Nne Afrika kuwa na PET SCAN Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kuwek...
KONGAMANO LA WIKI YA MAFUTA AFRIKA LAFUNGULIWA NCHINI AFRIKA KUSINI
Masuala ya Gesi Asilia, Mafuta na Nishati Mbadala kujadiliwaKapinga aongoza ujumbe wa TanzaniaNaibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga ameshiriki ufunguzi wa Kongamano la Wiki ya Mafuta Afrika ( Afrika Oil Week 2024), lililofunguliwa rasmi na Wazi...
TANZANIA INA MKAKATI MADHUBUTI UTAKAOFANIKISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA - BALOZI CHANA
Atoa wito kwa Watanzania kuyaishi maono ya Rais SamiaWaziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali imeandaa mkakati madhubuti wa Nishati Safi ya Kupikia wenye lengokuwaondoa watanzania katika adha itokanayo na matumizi ya ni...
DKT. BITEKO AWAASA WANAJAMII KUTENDA MEMA, KUACHA ALAMA
Ashiriki Kumbukizi ya Askofu wa Kwanza AICTAsema Vikwazo Visiwavunje Moyo Viongoziwa DiniUandikishaji Daftari la Wapigakura Mwanza Oktoba 11 hadi 20 Mwaka HuuNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaasa wanajamii kutenda mat...
SERIKALI YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI
Dkt. Biteko Asema Matumizi ya Teknolojia na Nishati Safi katika Shughuli za Madini HayaepukikiSerikali Yendelea Kufanya Mapinduzi Makubwa katika Sekta ya MadiniMaonesho ya Madini Geita kuwa ya KimataifaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt...
MRAMBA AKAGUA JENGO LA WIZARA YA NISHATI MTUMBA
Asisitiza utekelezaji wa agizo la Dkt.Biteko la ufungaji mitambo ya umeme JuaJengo lafikia asilimia 84.3Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba leo ameongoza Menejimenti ya Wizara ya Nishati kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la...
SERIKALI YATHAMINI MCHANGO WA VIONGOZI WA DINI KWENYE MAENDELEO
Dkt. Biteko Ashiriki Jubilei ya Miaka 25 ya Padre Dkt. Faustine KamugishaAsisitiza Tofauti ya Dini si Tatizo, Watanzania Waendelee Kuishi kwa Umoja na AmaniNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt Doto Biteko amesema kuwa Serikali inathamini...
KATIBU MKUU NISHATI ASISITIZA UFANISI UTOAJI HUDUMA SEKTA YA NISHATI
Azungumza na Watumishi Wizara ya NishatiAtaka weledi kazinikuchochea ukuaji Sekta ya NishatiKatibu Mkuu Wizara ya Nishati Mha.Felchesmi Mramba ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi katika Wizara hiyo amekutana na kuzungumza na Watumishi kwa a...
WIZARA YA NISHATI NA UNDP ZAWANOA WATAALAM MATUMIZI BORA YA NISHATI
Ni Taasisi zinazosimamia Matumizi Bora na Sahihi ya Nishati nchiniWataalam kuja na andiko la kusimamia ubora wa bidhaa za NishatiUNDP yaahidi kuendeleza ushirikiano matumizi sahihi ya NishatiWizara ya Nishati kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo...
WATAALAMU WA MAABARA TOENI MAJIBU SAHIHI KUWASAIDIA WATANZANIA - DKT. BITEKO
WATAALAMU WA MAABARA TOENI MAJIBU SAHIHI KUWASAIDIA WATANZANIA - DKT. BITEKOSerikali Yafanya Mageuzi Makubwa Sekta ya Afya Nchini ataalam wa Maabara za Binadamu Wasisitizwa Kulinda Taaluma YaoTanzania ya Tatu Barani Afrika kwa Huduma Bora za MaabaraN...
DKT. BITEKO awataka Wananchi Kulinda Miundombinu ya Shule kuleta Maendeleo
DKT. BITEKO Awataka Wananchi Kulinda Miundombinu ya Shule kuleta MaendeleoNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kutumia fursa ya miundombinu ya shule inayojengwa kwa ushirikiano wa Serikali n...
MRAMBA AZIKARIBISHA KAMPUNI ZA UINGEREZA KUWEKEZA KWENYE NISHATI JADIDIFU
MRAMBA AZIKARIBISHA KAMPUNI ZA UINGEREZA KUWEKEZA KWENYE NISHATI JADIDIFU üAsema Serikali imeamua Gridi iwe na umeme mwingi unaotokana na Nishati Jadidifu üAsisitiza Tanzania kuendana na mipango ya Dunia ya uzalishaji umeme kwa kutumia nishati safi...
MKAKATI WA MATUMIZI YA MAJI KWA KUZINGATIA MAHITAJI YA KILA SEKTA UMELETA MAFANIKIO- KAPINGA.
MKAKATI WA MATUMIZI YA MAJI KWA KUZINGATIA MAHITAJI YA KILA SEKTA UMELETA MAFANIKIO- KAPINGA. Ampongeza Dkt.Biteko kutoa muongozo matumizi endelevu ya maji Asema JNHPP ni kielelezo cha matumizi bora ya maji Asisitiza Taasisi za Serikali kuendelea kus...
TUUNGE MKONO KWA VITENDO MKAKATI WA TAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA- MHE.KATIMBA
TUUNGE MKONO KWA VITENDO MKAKATI WA TAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA- MHE.KATIMBA* Asisitiza Watanzania kuwa sehemu ya Mkakati Aeleza athari za matumizi ya Nishati isiyo safiNaibu Waziri Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mhe. Zainabu Katimba ametoa rai kwa wa...
DKT. BITEKO AAGIZA KIGOMA KUINGIZWA KWENYE GRIDI KABLA YA 2025
Ataka TANESCO kuongeza kasi utekelezaji miradi ya umeme wa gridiAagiza majenereta ya umeme wa mafuta Kigoma kuzimwa mwishoni mwa 2024Azindua ujenzi mradi wa umeme Malagarasi 49.5MWAtoa neno kuhusu uchaguzi Serikali za MitaaNaibu Waziri Mkuu na Waziri...