WEKEZA KATIKA UTAFITI KUCHOCHEA MAENDELEO: DKT. BITEKO
WEKEZA KATIKA UTAFITI KUCHOCHEA MAENDELEO: DKT. BITEKOSerikali yatoa kipaumbele tafiti za kisayansi Vituo vya utafiti vyaaswa kushirikiana kuboresha utafitiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali inatambua...
WIZARA TAASISI ZAAGIZWA KUZINGATIA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Watanzania 80% Kutumia Nishati Safi ya Kupikia Ifikapo 2034Wakuu wa Mikoa na Wilaya Kusimamia Matumizi ya Nishati Safi ya KupikiaWizara, Taasisi, Mamlaka, wadau na sekta binafsi zimeagizwa kuzingatia matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda ma...
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA SARATANI NCHINI- DKT. BITEKO
SERIKALI KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA SARATANI NCHINI- DKT. BITEKOAzindua Kituo cha Matibabu ya Saratani cha Aga KhanAtaka utoaji huduma usiwe wa kibaguziAelekeza Aga Khan kushirikiana na Taasisi ya Ocean Road kutoa huduma za mionziDkt. Samia atoa s...
DKT. BITEKO ASISITIZA UMUHIMU WA ELIMU USALAMA MAHALI PA KAZI
DKT. BITEKO ASISITIZA UMUHIMU WA ELIMU USALAMA MAHALI PA KAZI Aipongeza OSHA kuboresha utendajikaziAsema ufasinisi sio kuwindana, kutozana faini Ahimiza hifadi ya mazingira kukabili mabadiliko ya tabianchiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe....
BAJETI YA MATENGENEZO MIUNDOMBINU YA UMEME KUENDELEA KUONGEZWA KILA MWAKA- MHE.KAPINGA
BAJETI YA MATENGENEZO MIUNDOMBINU YA UMEME KUENDELEA KUONGEZWA KILA MWAKA- MHE.KAPINGA Shilingi Bilioni 109.8 zatumika mwaka 2023/2024Naibu Waziri wa Nishati, Mhe, Judith Kapinga amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) itae...
DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA
DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMAAsema limepunguza athari za mafurikoAtoa pole kwa waathirika wa mafuriko RufijiAeleza jitihada za Serikali kwa waathirikaAzungumzia umuhimu wa Nishati Safi ya Kupikia, Bei ya GesiNaibu Waziri...
DKT. BITEKO AFUNGUA RASMI MAONESHO YA WIKI YA NISHATI 2024
DKT. BITEKO AFUNGUA RASMI MAONESHO YA WIKI YA NISHATI 2024Amshukuru Rais Dkt. Samia kwa nyenzo na maelekezoAhadi ya Rais ya umeme wa kutosha yatimizwa, sasa hakuna mgawo wa umemeAziwashia taa nyekundu kampuni tanzu za TANESCOAtaka Wataalam kutumia ma...
NAIBU WAZIRI MKUU AKAGUA MATENGENEZO YA MASHINE ZA KUFUA UMEME KIDATU
NAIBU WAZIRI MKUU AKAGUA MATENGENEZO YA MASHINE ZA KUFUA UMEME KIDATU Ni kufuatia hitilafu ya umeme kwenye mfumo wa Gridi Aigaza TANESCO kutafuta mwarobaini wa tatizo la kufeli kwa Gridi mara kwa mara Awataka kufanya ukarabati wa vituo vya kufua u...
DKT. BITEKO AAGIZA KUVUNJWA BODI YA ETDCO
Menejimenti ETDCO nayo isukwe upyaNi kufuatia Wizi, Utendaji mbovu na kusuasua kwa miradiAwataja baadhi ya Watumishi wanaohusika na vitendo hivyoWaliobainika kufanya wizi hatua za kisheria zachukuliwa dhidi yaoAtoa onyo kwa wanaotumia vifaa vya TANES...
DKT. BITEKO AZINDUA KIWANDA CHA KUWEKA MIFUMO YA UPASHAJI NA UTUNZAJI JOTO MABOMBA YA EACOP
Asema Rais Samia anatoa fedha za mradi kwa wakatiTanzania imetoa asilimia 87 ya fedha za utekelezaji EACOPAsisitiza kampuni za wazawa kupewa kipaumbeleKampuni zilizofanya udanganyifu zafutwaWaziri wa Nishati Uganda ampa kongole Rais, Dkt. SamiaNaibu...
DKT. BITEKO AAGIZA MPANGO MKAKATI KUIMARISHA HUDUMA AFYA YA MSINGI
Asisitiza kutoa elimu ya afya kwa jamiiAupongeza Mfumo wa M-mama uliobuniwa na WatanzaniaJumla ya vituo 2,799 vimejengwa na vingine kufanyiwa ukarabati kuanzia mwaka 2017 hadi 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema...
DKT. BITEKO AAGIZA WIZARA YA MAJI KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA MAJI SAFI NA SALAMA
Asisitiza Wananchi kutoa maoni utunzaji wa mazingira katika Dira 2050Ataka Bodi za Mabonde ya Maji/NEMC kudhibiti uchafuzi wa mazingiraUvunaji wa Maji ya Mvua wasisitizwa ngazi ya Kaya, Taasisi hadi TaifaAmtaja Rais Dkt. Samia kinara wa kumtua Mama n...
DKT. BITEKO AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA NISHATI
Aagiza kuanzishwa kwa Kitengo cha Nishati Safi ya KupikiaLengo ni kutekeleza Ajenda ya Rais ya Nishati Safi ya KupikiaAagiza Matumizi ya CNG kupewa kipaumbeleAtaka huduma bora kwa wananchiAkumbusha vyeo visiwe sababu ya kiburi na majivuno kwa watenda...
DKT. BITEKO ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMWOMBEA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI CHATO
Asema Rais, Dkt. Samia anatekeleza kwa kasi kubwa misingi iliyowekwa na Hayati MagufuliDkt. Samia ajenga Makumbusho ya Hayati Magufuli ChatoFamilia ya Magufuli, Mbunge Chato wamshukuru RaisNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko...
DKT. BITEKO AAGIZA VIONGOZI WA SERIKALI KUTATUA KERO SI KUZICHUKUA
Akerwa na viongozi Mwanza kutofanyia kazi agizo la Makamu wa RaisAmwagiza Waziri wa Ardhi kwenda jijini Mwanza kutatua kero ya muda mrefuAweka jiwe la Msingi ujenzi wa Makao Makuu AICTNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amew...
KAMATI YA BUNGE YAKAGUA VITUO VYA GESI JIJINI DAR ES SALAAM
Yashauri vituo vya kujazia gesi kwenye magari visambae mikoaniWananchi wachangamkia ujazaji gesi kwenye magariMhe. Kapinga akaribisha wawekezaji kwenye CNGWajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua vituo vya gesi iliyoshindili...
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI MRADI WA UMEME MKOANI ARUSHA
Mradi wagharimu takribani Dola milioni 258Kunufaisha nchi zipatazo 13Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara Mkoani Arusha kukagua mradi wa ujenzi wa njia kuu ya umeme wenye msongo wa kilovoti 400 katika eneo la Lemugur mkoani A...
UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA ELIMU LAZIMA UMGUSE MWALIMU – DKT. BITEKO
Azindua programu ya Kuboresha Kada ya Ualimu nchini (GPETSP)Ataja ongezeko la ajira kwa Walimu, madaraja na Bajeti ya ElimuAeleza vipaumbele 8 kuendeleza Kada ya UalimuAtaka Walimu wawe na Siku Maalum ya MotishaJK atoa neno kuhusu Taasisi ya GPENaibu...
KAMATI YA BUNGE YAKAGUA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA NISHATI MTUMBA
Yapongeza Wizara kushirikisha Taasisi za Umma kwenye ujenziYataka mkandarasi kuongeza kasi ya ujenziUjenzi wafikia asilimia 75Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Wizara ya Nishati kwa kushirikisha Taasisi za Umma katika utekele...
NAIBU KATIBU MKUU NISHATI AWASILI RASMI OFISINI
Apokelewa na Katibu Mkuu na Wafanyakazi wa WizaraAahidi kushirikiana na wadau kumsaidia Mhe. Rais kufikia malengoNaibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amewasili rasmi ofisini na kuahidi kumsaidia Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan kut...