RAIS SAMIA ATAKA WIZARA YA NISHATI KUONGEZA KASI USIMAMIZI WA MIRADI
Lengo ni kuhakikisha miradi inakamilika kwa wakati Aeleza umeme unavyochagiza shughuli za kiuchumi Vijiji 621 Morogoro vyafikiwa na umeme kati ya Vijiji 669 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya...
GRIDI YA TAIFA INA UMEME WA KUTOSHA - RAIS SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mfumo wa gridi ya Taifa una umeme wa kutosheleza mahitaji ya kijamii na kiuchumi.Rais Samia ameyasema hayo leo Agosti 02, 2024 wilayani Gairo Mkoa wa Morogoro akiwa katika...
WIZARA YA NISHATI, MTIBWA WAJADILI UJENZI NJIA YA UMEME
Ni ya msongo wa kilovoti 132 Ni kufuatia ombi la Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kiwanda cha Mtibwa Bilioni 28 kutekeleza miradi ya umeme Vijijini Mvomero Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amesema, Wizara ya Nishati na Kiwanda cha sukari c...
KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAAHIDI KUUPA MSUKUMO MRADI WA EACOP
Yampongeza Rais Samia kutekeleza miradi inayoleta mageuzi ya kiuchumi Dkt. Mataragio asema mradi umefikia asilimia 39.2 Tanzania kufaidika na shilingi trilioni 2.3 kipindi cha ujenzi na uendeshaji EACOP yawezesha manunuzi ya Dola milioni 462 W...
MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA
MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTADkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34) Asema kitaongeza mapato ya Serikali Aipongeza GGM kuzipa kipaumbele kampuni za kizawa TANESCO kuingiza mapato ya sh.Bilioni 2 ha...
RAIS SAMIA ARIDHIA VITUO 75 VYA KUPOZA UMEME KUJENGWA NCHINI - KAPINGA
RAIS SAMIA ARIDHIA VITUO 75 VYA KUPOZA UMEME KUJENGWA NCHINI - KAPINGALengo ni kuimarisha upatikanaji umeme katika maeneo yote nchini Mradi kugharimu shilingi Trilioni 4.42 Vituo nane vyakamilika; sita vipo asilimia 97Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judit...
MRADI WA TAZA KUUNGANISHA UMEME AFRIKA
MRADI WA TAZA KUUNGANISHA UMEME AFRIKADkt. Biteko aweka Jiwe la MsingiAitaka TANESCO Kusimamia Mradi kikamilifuAtaka Wakandarasi wazembe Wachukuliwe HatuaTAZA kuiwezesha Rukwa kupata umeme wa gridiSerikali imesema kuwa mradi mkubwa wa usafirishaji um...
SEKTA YA NISHATI MANENO KIDOGO VITENDO ZAIDI-DKT.BITEKO
SEKTA YA NISHATI MANENO KIDOGO VITENDO ZAIDI-DKT.BITEKOAshiriki Bonanza la Nishati jijini DodomaAtaka Watumishi kupendana na kushirikianaAtunukiwa Nishani ya Uasisi Bonanza la NishatiEWURA yaibuka mshindi wa Jumla;Mkurugenzi Mkuu amshukuru Dkt.Biteko...
TUNAO UMEME WA KUTOSHA;ASEMA MHE. RAIS SAMIA
TUNAO UMEME WA KUTOSHA; ASEMA MHE. RAIS SAMIARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema kuwa kwa sasa nchi inao umeme wa kutosha kufuatia miradi mbalimbali ambayo Serikali imetekeleza ukiwemo ule wa JNHPP kwa kuwashwa...
SERIKALI KUIMARISHA MAGHALA YA MAFUTA
SERIKALI KUIMARISHA MAGHALA YA MAFUTADkt. Biteko akaribisha uwekezaji wa uzalishaji wa dawa za mifugo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali ina nia ya kuimarisha miundombinu ya maghala ya kuhifadhia mafut...
SERIKALI YAONDOA HOFU YA UMEME KUTOFIKA VITONGOJI VYOTE NCHINI
SERIKALI YAONDOA HOFU YA UMEME KUTOFIKA VITONGOJI VYOTE NCHINI Kapinga asema vitongoji vyote vitasambaziwa umeme Vituo vya kupoza umeme kujengwa Kilosa, Mbinga na Hanang Vitongoji 33,000 vyafikiwa na huduma ya umeme Wakandarasi kuendelea kusimamiwa k...
RAIS SAMIA AFUNGUA NCHI KIMATAIFA
RAIS SAMIA AFUNGUA NCHI KIMATAIFA Diplomasia ya Kiuchumi yainadi Tanzania kimataifa Marekani yasaka fursa uwekezaji Sekta ya Nishati Dkt. Biteko ataja maono ya Rais Dkt. Samia kiini cha ujio wa wawekezaji Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri...
DKT. BITEK0 AIAGIZA TANESCO KUJENGA LAINI MPYA YA UMEME USHIROMBO
DKT. BITEK0 AIAGIZA TANESCO KUJENGA LAINI MPYA YA UMEME USHIROMBO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kujenga laini mpya ya Umeme kutoka Nyakanazi-Ushirombo na Kahama Bongwe hadi...
ZAIDI YA SH.BILIONI 80 ZASAMBAZA UMEME VIJIJINI MKOANI SINGIDA
ZAIDI YA SH.BILIONI 80 ZASAMBAZA UMEME VIJIJINI MKOANI SINGIDA Kapinga apeleka shangwe za umeme Maswauya na Mdilu Singida Kaskazini Asema hayo ni matokeo ya uchapakazi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan Mbunge apongeza Serikali kwa miradi ya maendeleoNaibu...
TANZANIA KINARA AFRIKA KWA USAMBAZAJI WA UMEME KWA WANANCHI
Tanzania na Benki ya Dunia kushirikiana katika miradi ya nishatiBenki ya Dunia yaisadia Tanzania dola milioni 300 kuendelea kuimarisha sekta ya nishati nchiniTanzania yapongezwa kufanya vizuri usambazi wa umeme kwa wananchiTanzania imepongezwa na Ben...
REA YAWANOA WABUNGE KUHUSU UPATIKANAJI MIKOPO YA MAFUTA VIJIJINI
Lengo ni kuhamasisha Wananchi wengi zaidi vijijini kuchangamkia fursa Wabunge wapongeza kwa fursa ya mitaji kwa wananchi vijijini Kapinga asema Serikali inaangalia namna bora ya kuiendeleza mikopo husikaWakala wa Nishati Vijijini (REA), umetoa elimu...
DKT. BITEKO AZINDUA KITUO CHA KUPOZA UMEME IFAKARA
DKT. BITEKO AZINDUA KITUO CHA KUPOZA UMEME IFAKARAKuimarisha upatikanaji umeme Kilombero, Ulanga na MalinyiKuchochea viwanda vya uongezaji thamani Mazao, MadiniDkt.Biteko asema Serikali inachukulia kwa uzito mkubwa suala la upatikanaji wa NishatiAsis...
WATENDAJI WIZARA YA NISHATI NA TAASISI WAPATA MAFUNZO YA MFUMO WA PEPMIS NA PIPMIS
Wakurugenzi, Wakuu wa Idara watakiwa kusimamia vema mfumo wa PEPMISWatendaji wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake leo 22 Mei,2024 wamepata mafunzo ya upimaji utendaji kazi kutoka kwa Wataalam wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma ili kubor...
NISHATI SAFI YA KUPIKIA IMEBEBA AJENDA KUBWA YA MAZINGIRA- KAPINGA
Ampongeza Rais Samia kinara nishati safi Awataka wananchi wa Msomera kubeba ajenda ya nishati safi Matumizi ya kuni sasa basi Msomera Serikali yagawa majiko banifu na gesi, yagharimu zaidi ya milioni 200 Naibu Waziri wa Nishati Mhe.Judith Kap...
KAMATI YA BUNGE YAPONGEZA KASI YA UJENZI KITUO CHA KUPOZA UMEME CHALINZE
Mradi wafikia asilimia 93.7Ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka JNHPP wafikia 99.5%Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa kwake na kasi ya ujenzi wa mradi wa kituo cha kupoza umeme cha Chalinze unaojumuisha ujenzi w...