UTAFITI MIAMBA BONDE LA EYASI WEMBERE WATHIBITISHA UWEZEKANO WA UPATIKANAJI MAFUTA
Utafiti unaofanyika katika mradi wa kimkakati wa Eyasi Wembere unaolenga kutafuta mafuta na gesi katika bonde la ufa la Afrika Mashariki umeonesha matumaini makubwa ya kupatikana kwa Mafuta na Gesi katika bonde hilo.Hayo yamebainika wakati Naibu Kati...
MRADI WA KUZALISHA UMEME KUTUMIA JUA KATIKA KIJIJI CHA NGUNGA WILAYANI KISHAPU-SHINYANGA WAFIKIA 78....
Serikali imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa uzalishaji umeme unaotokana na jua katika Kijiji cha Ngunga, Kata ya Talaga, Wilayani Kishapu, Mkoani Shinyanga, baada ya kufikia asilimia 78.5 ya utekelezaji wa awamu ya kwanza.Mradi huu utazalisha Me...
SHULE ZINAZOTUMIA KUNI KAMA NISHATI YA DHARURA ZAELEKEZWA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.
Mkurugenzi wa Nishati safi ya kupikia, Wizara ya Nishati, Bw. Nolasco Mlay, ametoa wito kwa shule zote nchini kuhakikisha zinaachana na matumizi ya kuni na badala yake kuhamia kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia, ikiwemo gesi, majiko banifu, n...
WANUFAIKA WA MITAJI YA COOKFUND WAHIMIZWA KUWEKEZA KATIKA MITUNGI MIDOGO YA GESI
Wanufaika wa mitaji kupitia mradi wa CookFund ambao upo chini ya mpango wa kimataifa wa Integrated Approach to Sustainable Clean Cooking Solution unaotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Mitaji wa Umoja wa Mataifa (UNCDF) kwa kushirikiana na Umoja wa U...
WIZARA YA NISHATI YAENDELEA KUTOA ELIMU KUHUSU MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Wizara ya Nishati imeendesha mafunzo ya matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia kwa Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini DodomaMafunzo haya ni mwendelezo wa jitihada za Wizara ya Nishati katika kutekeleza Mkakati...
DKT. MATARAGIO AONGOZA WADAU UTOAJI MAONI MPANGO WA MATUMIZI YA GESI ASILIA NCHINI (NGUMP)
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amefungua warsha ya wadau iliyolenga kuchambua na kutoa maoni kuhusu Mpango Kabambe wa Matumizi ya Gesi Asilia nchini (NGUMP) kwa kipindi cha miaka 25 kuanzia sasa.Mpango huo utaonyesha kia...
WIZARA YA NISHATI YAKAGUA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA TAASISI ZINAZOLISHA WATU ZAIDI YA...
Mkurugenzi wa Nishati safi ya Kupikia, Nolasco Mlay pamoja na Wataalam kutoka Wizara ya Nishati wameanza ziara ya kikazi mkoani Mwanza kwa lengo la kukagua utekelezaji wa agizo la Serikali kwa Taasisi zinazolisha watu zaidi ya 100 kutumia Nishati Saf...
Baraza la Wafanyakazi Wizara ya Nishati lakutana
Baaraza la Wafanyakazi Wizara ya Nishati limefanya mkutano wa dharura ili kujadili rasimu ya miundo ya maendeleo ya utumishi kwa kada zilizo chini ya Wizara ya Nishati. Mkutano huo umeongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mr...
UTENDAJI KAZI WA WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE WAIMARIKA
Imeelezwa kuwa, utendaji kazi wa Wizara ya Nishati kupitia Taasisi inazosisimamia umezidi kuimarika na kufikia asilimia 96.16 katika kipindi cha robo nne ya mwaka 2024/2025.Hayo yamefahamika wakati wa kikao cha Tano cha Tathmini ya utendaji kazi wa W...
SERIKALI YASEMA MCHANGO WA WAHANDISI NI NGUZO YA MAENDELEO NCHINI
Tafiti zinaonesha kuwa, zaidi ya asilimia 70 ya ubunifu mpya wa teknolojia duniani unahusishwa moja kwa moja na taaluma ya uhandisi ambayo ndani yake hujumuisha masuala mbalimbali ikiwemo Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Nishati, viwanda...
SERIKALI YAONDOA VAT KWA VITUO VYA GESI ASILIA ILIYOSHINDILIWA (CNG)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba amesema Serikali imeondoa kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa vituo vyote vya Gesi iliyoshindiliwa (CNG) nchini ili kuhamasisha matumizi ya gesi asilia kwenye vyombo vya moto kupitia uwepo wa...
TANZANIA YANG’ARA UWEKEZAJI KATIKA ELIMU KWA RASILIMALI ZA NDANI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopiga hatua katika matumizi ya rasilimali za ndani na kuwekeza katika sekta ya elimu kwa maendeleo endelevu.Amesema hayo leo Septemba 24, 2025 ji...
UJENZI MRADI WA TAZA WAFIKIA ASILIMIA 58 KWA UPANDE WA TANZANIA
Ujenzi wa mradi wa usafirishaji umeme wa msongo wa kilovoti 400 unaounganisha Tanzania na Zambia( TAZA) umefikia asilimia 58 ya uekelezaji wake kwa upande wa Tanzania.Hayo yameelezwa na Mwakilishi wa Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Sa...
KATIBU MKUU MRAMBA AKUTANA NA KAMPUNI YA NYUKLIA YA CHINA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba ameongoza ujumbe wa Serikali ya Tanzania katika kikao na Shirika la Taifa la Nyuklia la China (China National Nuclear Corporation – CNNC), kujadili fursa za ushirikiano katika kuanzisha na kuend...
WATUMISHI WIZARA YA NISHATI WAPATIWA ELIMU YA MATUMIZI SAHIHI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.
Watumishi wa Wizara ya Nishati leo wamepata elimu ya matumizi bora na sahihi ya majiko yanayotumia umeme kidogo (Induction cookers) baada ya kukabidhiwa majiko hayo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko hivi karibuni.Dkt. B...
SERIKALI YA AUSTRIA KUFADHILI MIRADI YA UMEME TANZANIA
Serikali ya Austria kupitia Benki ya UniCredit imeahidi kuipatia fedha Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kiasi cha Euro Milioni 20 sawa na takribani Shilingi bilioni 60 kwa ajili ya Utekelezaji wa miradi ya kuzalisha umeme kwa kutumia jua...
MHANDISI MRAMBA ASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA NGUVU ZA ATOMIKI NCHINI AUSTRIA
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mha.Felchesmi Mramba ameshiriki mkutano wa 69 wa Shirika la Kimataifa la Nguvu za Atomiki -IAEA jijini Vienna Austria ambao unawashirikisha wadau mbalimbali wanaotumia nishati ya nyuklia kama chanzo cha umeme.Mha. Mramba...
DKT. MATARAGIO: MRADI WA TAZA NI UTEKELEZAJI WA MPANGO MAHSUSI WA NISHATI (MISSION 300)
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Dkt.James Mataragio amesema kuwa utekelezaji wa Mradi wa TAZA unachangia kwa kiwango kikubwa utekelezaji wa Mpango Mahususi wa Nishati (MISSION 300) uliokubaliwa katika Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afr...
MFUMO WA UFUATILIAJI NA TATHMINI NI NYENZO YA UTENDAJI KAZI FANISI SERIKALINI- DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amehitimisha Kongamano la Nne la Kitaifa la Ufuatiliaji, Tathmini na Kujifunza lililofanyika Jijini Mwanza akiweka mkazo kuwa mfumo wa ufuatiliaji na tathmini ni nyenzo muhimu katika kuhak...
RUZUKU YA SH. MILIONI 250 YATOLEWA KWA WABUNIFU WA MATUMIZI BORA YA NISHATI
Serikali kupitia Wizara ya Nishati kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya (EU) na Mpango wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa (UNDP), imetoa ruzuku ya jumla ya Shilingi milioni 250 kwa wabunifu kumi waliofanya vizuri katika Mashindano ya Ubunifu na Ufanisi w...