EWURA ZINGATIENI MASLAHI YA NCHI KATIKA SHUGHULI ZA UDHIBITI WA MAFUTA NA MAJI - DKT. BITEKO
Awapongeza kwa kushusha gharama za uagizaji mafuta. Asisitiza EWURA kudhibiti vitendo vya urasimu na rushwa mahali pa kazi. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watendaji na Watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Hud...
UJENZI WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA LA HOIMA UNASHIRIKISHA WAZAWA MKOANI KAGERA
#Wakandarasi na watoa huduma 42 wapatiwa kaziDodomaImeelezwa kuwa ujenzi wa Mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani mkoani Tanga unashirikisha wakandarasi wazawa kutoka mkoani Kagera.Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nish...
REA ONGEZENI KASI YA KUUNGANISHIA UMEME WANANCHI KATIKA VIJIJI VYENYE UMEME - MHE. KAPINGA
# Ataka wasimamizi wa miradi ya REA kuongeza ufanisiNaibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewaagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme wananchi vijijini katika maeneo ambayo tayari yamefikiwa na miradi ya u...
NAIBU WAZIRI KAPINGA AFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WA KAMPUNI YA MUFINDI PAPER MILL
*Waeleza Mpango wa kuzalisha Umeme kwa kutumia mabaki ya Miwa.Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekutana na kufanya mazungumzo na watendaji wa Kampuni ya Mufindi Paper Mill inayomiliki mashamba ya miwa wilayani Kasulu mkoani Kigoma ambao...
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Kapinga akutana na Uongozi wa TANESCO
# Awataka kutatua changamoto Sugu zinazowakabili wananchi.# Asema Viongozi wa Chama na Serikali washirikishwe katika miradi iliyo katika maeneo yao.Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amekutana na Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na...
*TANESCO KUJENGA KITUO KIDOGO CHA UMEME USHETU*
*TANESCO KUJENGA KITUO KIDOGO CHA UMEME USHETU**#Kutumia shilingi Bilioni 12.* *Dodoma* Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) lina mpango wa kujenga kituo kidogo cha umeme (Switching Station) kwenye Wilaya ya Ushetu eneo la Nyamirangano ili kuboresha h...
BUNGE LARIDHIA KUJIUNGA NA MKATABA WA NISHATI JADIDIFU
Leo Oktoba 31, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Tanzania kujiunga na Mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (IRENA).Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Tanzania itanufaika na mkataba huo...
DKT. BITEKO AWASILISHA BUNGENI AZIMIO LA TANZANIA KURIDHIA MKATABA WA WAKALA WA KIMATAIFA WA NISHATI...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amewasilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania azimio la kujiunga na Mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (Statute of the International Renewable Energy Agency -...
DKT. BITEKO AFUNGA SEMINA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI KUHUSU MKATABA WA WAKALA...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefunga Semina ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ambayo ililenga kuwapa uelewa Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu Mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (IRENA) amb...
TaSUBa KITOVU CHA MAFUNZO TASNIA ZA SANAA NA UTAMADINI NCHINI - DKT. BITEKO
Imeelezwa kuwa, Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) ni kitovu cha mafunzo katika tasnia za Sanaa na Utamaduni nchini na Serikali imeendelea kuiboresha taasisi hiyo kwa kutoa fedha za kuboresha miundombinu na vifaa vya kufundishia na kujif...
SERIKALI YAWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU UPATIKANAJI WA MAFUTA NCHINI
Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa hali ya utoshelevu wa mafuta nchini kwa kipindi cha mwezi Julai hadi Septemba ni ya kuridhisha na Serikali kupitia Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) inaendelea kui...
CNG IPEWE KIPAUMBELE KUENDESHA MITAMBO NA MAGARI NCHINI - KAMATI YA BUNGE
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kuweka kipaumbele katika kusambaza Vituo vya Nishati ya Gesi Iliyoshindiliwa (CNG) inayotumika katika kuendesha mitambo na magari nchini ili kukabiliana na changamoto za upatikanaji w...
Rais Dkt. Samia apokea taarifa ya utekelezaji wa REA III Mzunguko wa Pili nchi nzima
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea taarifa ya utekelezaji wa Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili katika maeneo yote nchini.Dkt. Samia amepokea taarifa hiyo wakati akizungumz...
DKT.BITEKO AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KANDA BENKI YA DUNIA (WB)
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Benki ya Dunia (WB) ukiongozwa na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Benki hiyo, Wendy Hughes.Mazungumzo yamefanyika...
SINGIDA HAITASHUKA 97% UPATIKANAJI WA UMEME DESEMBA 2023 - RAIS SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo mwaka 2024 Mkoa wa Singida hautashuka 97 % ya upatikanaji wa umeme mkoani Singida.Mhe. Rais amesema hayo alipokuwa Mgeni Rasmi katika madhimisho ya Miaka 60 ya kua...
VIJIJI 6 PEKEE VYASALIA KUUNGANISHWA UMEME JIMBO LA SINGIDA
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema katika Jimbo la Singida Kaskazini Vijiji 6 vimesalia kuunganishwa na umeme kati ya vijiji 84 vya jimbo hilo.Amesema hayo wakati akisalimia wananchi katika Kijiji cha Sagara, wakati wa ziara ya Rais...
NAWAAHIDI WAWEKEZAJI KUWA SERIKALI ITAWAPA USHIRIKIANO - DKT. BITEKO
Imeelezwa kuwa, Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wenye Viwanda, Wafanyabiashara na Wawekezaji kushiriki katika ukuzaji wa uchumi hususan kwenye Sekta ya Viwanda.Hayo yamebainishwa leo Oktoba 15, 2023 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa...
SERIKALI KUSHUGHULIKIA CHANGAMOTO YA UMEME KWA HARAKA
Serikali imeahidi kushughulikia changamoto ya umeme iliyopo nchini kwa kasi kubwa ili tatizo hilo liweze kuisha katika kipindi kifupi kuanzia sasa.Hayo yameelezwa leo Oktoba 11, 2023 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko katika M...
RAIS SAMIA AMEIBEBA KWA DHATI AJENDA YA MATUMIZI NISHATI MBADALA – NAIBU WAZIRI KAPINGA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameibeba kwa dhati ajenda ya matumizi ya nishati mbadala kutokana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi.Mhe. Kapinga amesem...
Kapinga asema Vijana tumieni Fursa kuwekeza kwenye Nishati
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amewataka Vijana kuchangamkia fursa ya kuomba mikopo ili kuwekeza katika sekta ya Nishati inayotolewa na Wakala wa Nishati Vijijini(REA) kwa nchi nzima.Mhe. Kapinga amesema hayo wakati wa semina iliyoandali...