SERIKALI YAENDELEA KUSHUSHA GHARAMA ZA ULETAJI MAFUTA ILI KULETA AHUENI KWA WANANCHI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, juhudi zinazofanywa na Wizara ya Nishati, Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) zimepelekea gharama za ul...
Ziara ya Dkt. Biteko mkoani Mtwara yapelekea mitambo iliyosimama kuanza kuzalisha umeme
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Biteko mkoani Mtwara tarehe 14 na 15 Novemba 2023 imeleta matokea chanya kwani maagizo yote aliyoyatoa yameanza kufanyi...
DKT.BITEKO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MIWILI YA KIHISTORIA YA GESI ASILIA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo ameshuhudia uwekaji saini Mkataba wa Mauziano ya Gesi Asilia itakayozalishwa katika eneo la Ntorya Kitalu cha Ruvuma kilichopo mkoani Mtwara na uwekaji saini hati ya Makubaliano kwa aj...
Mhe. Kapinga akagua Ujenzi wa Flow Meter na Mapipa Mapya ya kuhifadhi mafuta Bandarini
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amekagua Maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ya Kupimia Mafuta yanayoingia na kutoka nchini Pamoja na Ujenzi wa Mapipa mapya ya Kuhifadhi Mafuta Bandarini.Mhe. Kapinga amefanya ziara hiyo Tarehe 9, Januari 2...
MHE. KAPINGA: TGDC ONESHENI MATOKEO CHANYA KWA KUZALISHA UMEME
Kampuni ya Uendelezaji wa Joto Ardhi Tanzania (TGDC) imetakiwa kuonesha Matokeo Chanya kwa kuzalisha Umeme kwa kutumia Rasilimali ya Jotoardhi ili kuunga Mkono Mpango wa Serikali wa kuwa na Nishati Safi na Endelevu.Agizo hilo limetolewa na Naibu Wazi...
DKT. BITEKO AFUNGUA JENGO LA AFISI MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amefungua Jengo la Afisi ya Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) lililoko eneo la Madema, Zanzibar na kupongeza mafanikio na ushindi wa kufanikisha miradi hiyo muhimu kwa maendeleo ya Zanzibar...
JUMUIYA YA WAZAZI TUMIENI RASILIMALI ZILIZOPO KUJENGA NA KUENEZA MAFANIKIO YA CCM-DKT.BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameitaka Jumuiya ya Wazazi ya CCM kutumia rasilimali walizonazo katika kukijenga na kukieneza Chama cha Mapinduzi (CCM) katika maeneo mbalimbali ya nchi na kuzungumza na wananchi kuhusu ka...
TUYAENZI NA KUYALINDA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR - DKT.BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Wananchi kuendelea kuyaenzi, kuyalinda na kuyaishi kwa dhamira ya dhati, Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwani Waasisi wa Nchi walifanya mapinduzi hayo ili kuwa na Taifa hur...
MHE. KAPINGA: TANOIL IMARISHENI UTENDAJI KAZI KULETA MATOKEO CHANYA
Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni Tanzu ya Mafuta (TANOIL) ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Menejimenti ya Kampuni hiyo wameaswa kuhakikisha kuwa wanaimarisha na kuleta matokeo chanya kiutendaji yanayofanywa na kampuni hiyo kwa wata...
WATANZANIA JITOKEZENI KUTOA MAONI YA MISWADA YA SHERIA YA UCHAGUZI NA VYAMA VYA SIASA - DKT.BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa Watanzania kushiriki katika kutoa maoni kuhusu muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, Muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi wa mwaka 2023...
DKT. BITEKO AWASHUKURU WALIMU BUKOMBE KWA KUONGEZA UFAULU NA KUWAJALI WANAFUNZI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewapongeza na kuwashukuru Walimu wote wanaofundisha shule za Msingi na Sekondari wilayani Bukombe kwa kuwajali wanafunzi na kuwafundisha kwa weledi na maarifa ambayo yamepelekea wilaya h...
DKT.BITEKO AMMWAGIA SIFA RAIS, DKT. SAMIA KWA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI BUKOMBE
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amepongeza jitihada kubwa zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kutekeleza kwa kasi miradi mba...
UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE (JNHPP) WAFIKIA ASILIMIA 94.78
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, utekelezaji wa mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha megawati 2,115 kwa sasa umefikia asilimia 94.78 huku mashine mbili za kuzalisha umeme zikiwa tayari zime...
DKT. BITEKO ASHIRIKI ROMBO MARATHON; APONGEZA UBUNIFU WAKE
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo ameshiriki mashindano ya Rombo Marathon yaliyohusisha mbio za Kilometa tano, kumi na 21 na kupongeza waandaaji kwa ubunifu wao uliopelekea marathon hiyo kuendelea kuimarika kila mwaka...
Kamati Ya PIC Yaitaka TANESCO na TRC kulinda Miundombinu ya Treni ya Kisasa (SGR)
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imeliagiza Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) na Shirika la Reli Nchini (TRC), kutunza Miundombinu ya mradi wa Treni ya Kisasa kwa serikali imetoa fedha nyinyi kutekeleza mradi huo na wao...
MRADI WA UMEME- RUSUMO (80 MW) WAFIKIA ASILIMIA 99.9
Tanzania, Rwanda na Burundi zaanza kupata umeme kutoka RusumoMradi kuzinduliwa mwezi Machi 2024Dkt. Biteko ataka ukamilike mapemaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa maporomoko ya umeme wa Rusumo wa meg...
UMOJA WA ULAYA WATOA MAGARI 21 KWA AJILI YA KUIMARISHA MIRADI YA NISHATI VIJIJINI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo, tarehe 12 Desemba, 2023 amepokea Magari 21 yenye thamani ya shilingili Bilioni 1.9 kutoka Umoja wa Ulaya (EU) kwa ajili ya ku...
TANZANIA YAPIGA HATUA UTEKELEZAJI WA AJENDA YA AFRIKA 2063, ASEMA DKT. BITEKO
Gaborone - BotswanaImeelezwa kuwa, Tanzania imepiga hatua kubwa kwenye utekelezaji wa makubaliano ya Ajenda 2063, ya kuifanya Afrika kuwa mahali pa ndoto yetu kuelekea Afrika tuitakayo. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. D...
Mhe. Kapinga; REA na TANESCO msibebe changamoto za Wakandarasi wabovu wachukulieni hatua
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amewataka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kutobeba changamoto za wakandarasi wabovu na wanaolegalega katika kutekeleza Miradi ya Usambazaji wa Umeme Vijijini badala yak...
Wizara ya Nishati yatoa lita 14,500 za Petroli na Diseli huko Katesh
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga, kwa Niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Doto Biteko amesema Wizara ya Nishati imetoa Mafuta Lita 14,500 ya Petroli na Dizeli kwa ajili ya kusaidia na kurahisisha shughuli zinazoendelea ka...