DKT. BITEKO AKUTANA NA KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI ZAMBIA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati wa Zambia (anayeshughulikia Huduma za Kiufundi), Peter Mumba (wa Pili kushoto) mara baada ya kikao chao kilichol...
RAIS SAMIA HATAKI MISUKOSUKO KWA WAFANYABIASHARA- DKT. BITEKO
Ataka Watendaji Warasimu wajionee aibu;watimize wajibuWatumishi wakumbushwa shughuli za Serikali kufanyika DodomaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amejipambanua kama mlezi wa Se...
MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAANZA RASMI- DKT. BITEKO
Agawa mitungi ya Gesi na Majiko Banifu kwa Wajasiriamali Dar es SalaamAtaka Taasisi kuachana matumizi ya kuni na mkaaAhimiza wadau kuunga mkono juhudi za SerikaliBaadhi ya Wajasiriamali wafungukaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto...
UTAMADUNI NA UTU WA MTANZANIA USIDHALILISHWE – DKT. BITEKO
Awapongeza Wasanii kwa kutopuuza utamaduni wa MtanzaniaAmpongeza Dkt. Samia kwa kuufufua Mfuko wa UtamaduniAtaka Wasanii kuhamasisha Uchaguzi wa Serikali za MitaaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Watanzania wana ki...
UCHORONGAJI VISIMA VYA JOTOARDHI KUANZA APRILI 2024- DKT. BITEKO
Lengo ni kuwa na vyanzo mchanganyiko vya umemeKampuni ya KenGen ya Kenya na TGDC kushirikiana katika uhakikiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa kazi ya uchorongaji wa visima vya Jotoardhi nchini Tanzania itaanza...
NCHI WANACHAMA EAPP ZAKUBALIANA KUIPA MSUKUMO MIRADI YA UMEME
Dkt. Biteko asema suala la kuwapa nishati wananchi sio hiariAsisitiza miradi ya usafirishaji umeme EAPP kukamilika kwa wakatiVyanzo vipya vya umeme kuendelezwa kukidhi mahitajiBaraza la Mawaziri wanaohusika na mfumo wa pamoja wa umeme kwa nchi za Mas...
HISTORIA YAANDIKWA; JNHPP YAINGIZA MEGAWATI 235 GRIDI YA TAIFA
Serikali yatekeleza ahadi kabla ya siku tatuMegawati 235 nyingine kuingizwa Machi, 2024Uzinduzi rasmi kufanyika mwezi Machi mwaka huuDkt. Biteko asema hakuna kulala; vyanzo vipya kutekelezwaMkandarasi apongeza usimamizi wa Dkt.BitekoNaibu Waziri Mkuu...
SERIKALI IBORESHE MFUMO WA SCADA KUDHIBITI UPOTEVU WA MAFUTA-KAMATI YA BUNGE
Wataka mfumo wa SCADA uwe chini ya SerikaliWaagiza flowmeter kuwekewa uzioKamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kupitia kwa Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa pamoja (PBPA) kuufanyia maboresho mfumo wa SCADA ambao umebuniwa...
DKT. BITEKO AENDELEA NA UKAGUZI WA VYANZO VYA UMEME NCHINI
Akagua mabwawa ya Kihansi na KidatuAkuta mabwawa yamejaa maji, asema changamoto ya umeme ipo ukingoniAkataza Likizo kwa watendaji kipindi cha changamoto za umemeAmshangaa Meneja aliyeenda likizo kipindi cha changamotoAweso awataka watendaji waondokan...
VIJIJI VYOTE 360 IRINGA VYAPATA UMEME
Zaidi ya asilimia 64 ya vitongoji vyote vina umemeDkt. Biteko ataka kasi ya usambazaji iendane na mahitajiAtuma Salamu uchaguzi Serikali za MitaaUsambazaji umeme vijijini mkoani Iringa umefanyika kwa asilimia 100 ambapo vijiji vyote 360 mkoani humo v...
MRADI WA RUMAKALI (222MW) SASA UNAANZA KUTEKELEZWA - DKT. BITEKO
Asema ni maagizo ya Rais, Dkt. Samia Suluhu HassanNi mradi mkubwa wa umeme baada ya JNHPPUpembuzi yakinifu wakamilikaRuhudji (358 MW) nayo haijasahaulikaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa umeme wa maj...
WAZALISHAJI WADOGO WA UMEME WAPATA TUMAINI JIPYA
Waishukuru Serikali kwa uwezeshajiSerikali yaahidi kuendelea kutatua changamoto zaoDkt. Biteko awataka kujiamini, Serikali inawathaminiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Wazalishaji wadogo...
DKT. BITEKO ATAKA MIUNDOMBINU YA UMEME KUBORESHWA KWA WAKATI
Aagiza kituo cha kupoza umeme kujengwa Wanging'ombe Asema JNHPP imefikia asilimia 97 Ataka kigezo cha mavazi kisikwamishe watoto kwenda shuleVijiji vyote 108 Wanging'ombe vyapata umemeNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amew...
MIRADI YA UMEME WA JOTOARDHI IENDELEZWE- DKT. BITEKO
Ataka TGDC kuchagiza mafanikioAkagua miradi ya Jotoardhi Kiejo-Mbaka na NgoziAsema Dkt.Samia anataka huduma bora kwa wananchiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kwa dhati kuendeleza vyanzo vya umeme...
DKT. BITEKO AWASILI MBEYA KWA ZIARA YA KIKAZI
Aeleza jitihada za Serikali kupunguza changamoto ya umemeAipongeza Mbeya kwa utekelezaji miradi ya maendeleoAsisitiza siasa zisiwagawe wananchiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko, leo amewasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikaz...
MKUTANO WA 16 BARAZA LA MAWAZIRI LA KISEKTA LA NISHATI AFRIKA MASHARIKI WAHITIMISHWA JIJINI ARUSHA
Waweka mikakati ya kutatua changamoto za Nishati EACBajeti za Nishati EAC zatakiwa kuongezekaTanzania yapitishwa kuwa Mwenyeji wa Kongamano la Petroli la Afrika MasharikiMkutano wa 16 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Nishati Jumuiya ya Afrika Mash...
SERIKALI YATIMIZA AHADI YA KUPELEKEA UMEME WA UHAKIKA LINDI NA MTWARA
Mtambo wa Megawati 20 wawasili mkoani MtwaraWabunge wapongezaSerikali imeendelea kutekeleza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika katika mikoa ya Lindi na Mtwara ambapo leo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba ameongoza mapokezi y...
VYANZO VIPYA VYA UMEME KUANZISHWA KUKIDHI ONGEZEKO LA MAHITAJI
Dkt. BITEKO ashuhudia utiaji saini mkataba Mradi wa Umeme Malagarasi (49.5) Aagiza TANESCO kuondokana na urasimu kwenye miradi ya umeme Wabunge KIGOMA wapongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua ku...
WAFANYABIASHARA YA MAFUTA ZINGATIENI MAISHA YA WANANCHI-DKT BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta nchini (TAOMAC) ambapo amewataka wafanyabiashara hao pamoja na faida wanayoipata wazingatie masl...
AfDB KUENDELEZA USHIRIKIANO SEKTA YA NISHATI NCHINI
Dkt. Biteko apongeza utayari wa Benki hiyoMaeneo mapya yaainishwaNishati safi ya kupikia yapigiwa chapuo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (...