MALALAMIKO YA WANANCHI MSIMBATI YAPELEKEA DKT. BITEKO KUMUONDOA MENEJA MAWASILIANO TPDC
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameagiza kuondolewa kwa Meneja Mawasiliano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kutokana na kushindwa kutoa taarifa mbalimbali na kutofanya mikutano na wananchi wanaozunguka...
MHE.KAPINGA AZINDUA JUKWAA LA UZIDUAJI 2023
Asema vyanzo vya umeme hasa Sekta ya Gesi ina uhusiano wa moja kwa moja na Sekta ya UziduajiNaibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga asema kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme vina uhusiano wa moja kwa moja na Sekta ya Uziduaji hususan kwenye Sekta ya...
TANZANIA NA UGANDA ZATIA SAINI MKATABA MAHSUSI KWA AJILI YA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BOMBA LA GES...
DKT BITEKO ASEMA NI KIELELEZO CHA USHIRIKIANO WA NCHI HIZO MBILI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda zimetia saini mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi yakinifu wa Mradi wa Ujenzi wa Bo...
HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME YAIMARIKA.
Sasa upungufu wa umeme wabakia 218 MW kutoka 421 MW.Hali ya upatikanaji umeme nchini imeimarika na sasa upungufu wa umeme umebakia 218 MW.Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, tarehe 9 Novemba, 2023 Jijini Dodoma wakati aki...
DKT. BITEKO AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA BIASHARA WA KOREA KUSINI
Aahidi kuendeleza ushirikiano katika kukuza uchumiKorea Kusini yaahidi kuwekeza zaidi TanzaniaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Biashara kutoka nchini Korea Kusini, Mhe.Ahn Dukg...
EWURA ZINGATIENI MASLAHI YA NCHI KATIKA SHUGHULI ZA UDHIBITI WA MAFUTA NA MAJI - DKT. BITEKO
Awapongeza kwa kushusha gharama za uagizaji mafuta. Asisitiza EWURA kudhibiti vitendo vya urasimu na rushwa mahali pa kazi. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watendaji na Watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Hud...
UJENZI WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA LA HOIMA UNASHIRIKISHA WAZAWA MKOANI KAGERA
#Wakandarasi na watoa huduma 42 wapatiwa kaziDodomaImeelezwa kuwa ujenzi wa Mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani mkoani Tanga unashirikisha wakandarasi wazawa kutoka mkoani Kagera.Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nish...
REA ONGEZENI KASI YA KUUNGANISHIA UMEME WANANCHI KATIKA VIJIJI VYENYE UMEME - MHE. KAPINGA
# Ataka wasimamizi wa miradi ya REA kuongeza ufanisiNaibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewaagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme wananchi vijijini katika maeneo ambayo tayari yamefikiwa na miradi ya u...
NAIBU WAZIRI KAPINGA AFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WA KAMPUNI YA MUFINDI PAPER MILL
*Waeleza Mpango wa kuzalisha Umeme kwa kutumia mabaki ya Miwa.Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekutana na kufanya mazungumzo na watendaji wa Kampuni ya Mufindi Paper Mill inayomiliki mashamba ya miwa wilayani Kasulu mkoani Kigoma ambao...
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Kapinga akutana na Uongozi wa TANESCO
# Awataka kutatua changamoto Sugu zinazowakabili wananchi.# Asema Viongozi wa Chama na Serikali washirikishwe katika miradi iliyo katika maeneo yao.Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amekutana na Uongozi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na...
*TANESCO KUJENGA KITUO KIDOGO CHA UMEME USHETU*
*TANESCO KUJENGA KITUO KIDOGO CHA UMEME USHETU**#Kutumia shilingi Bilioni 12.* *Dodoma* Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) lina mpango wa kujenga kituo kidogo cha umeme (Switching Station) kwenye Wilaya ya Ushetu eneo la Nyamirangano ili kuboresha h...
BUNGE LARIDHIA KUJIUNGA NA MKATABA WA NISHATI JADIDIFU
Leo Oktoba 31, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Tanzania kujiunga na Mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (IRENA).Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Tanzania itanufaika na mkataba huo...
DKT. BITEKO AWASILISHA BUNGENI AZIMIO LA TANZANIA KURIDHIA MKATABA WA WAKALA WA KIMATAIFA WA NISHATI...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amewasilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania azimio la kujiunga na Mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (Statute of the International Renewable Energy Agency -...
DKT. BITEKO AFUNGA SEMINA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI KUHUSU MKATABA WA WAKALA...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefunga Semina ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ambayo ililenga kuwapa uelewa Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu Mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (IRENA) amb...
TaSUBa KITOVU CHA MAFUNZO TASNIA ZA SANAA NA UTAMADINI NCHINI - DKT. BITEKO
Imeelezwa kuwa, Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) ni kitovu cha mafunzo katika tasnia za Sanaa na Utamaduni nchini na Serikali imeendelea kuiboresha taasisi hiyo kwa kutoa fedha za kuboresha miundombinu na vifaa vya kufundishia na kujif...
SERIKALI YAWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU UPATIKANAJI WA MAFUTA NCHINI
Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa hali ya utoshelevu wa mafuta nchini kwa kipindi cha mwezi Julai hadi Septemba ni ya kuridhisha na Serikali kupitia Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) inaendelea kui...
CNG IPEWE KIPAUMBELE KUENDESHA MITAMBO NA MAGARI NCHINI - KAMATI YA BUNGE
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kuweka kipaumbele katika kusambaza Vituo vya Nishati ya Gesi Iliyoshindiliwa (CNG) inayotumika katika kuendesha mitambo na magari nchini ili kukabiliana na changamoto za upatikanaji w...
Rais Dkt. Samia apokea taarifa ya utekelezaji wa REA III Mzunguko wa Pili nchi nzima
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea taarifa ya utekelezaji wa Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili katika maeneo yote nchini.Dkt. Samia amepokea taarifa hiyo wakati akizungumz...
DKT.BITEKO AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KANDA BENKI YA DUNIA (WB)
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Benki ya Dunia (WB) ukiongozwa na Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika wa Benki hiyo, Wendy Hughes.Mazungumzo yamefanyika...
SINGIDA HAITASHUKA 97% UPATIKANAJI WA UMEME DESEMBA 2023 - RAIS SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo mwaka 2024 Mkoa wa Singida hautashuka 97 % ya upatikanaji wa umeme mkoani Singida.Mhe. Rais amesema hayo alipokuwa Mgeni Rasmi katika madhimisho ya Miaka 60 ya kua...