TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA PETROLI WA AFRIKA MASHARIKI KWA MAFANIKIO
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA PETROLI WA AFRIKA MASHARIKI KWA MAFANIKIOSerikali ya Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa Nishati wameshiriki Maonesho na Mkutano wa Kumi (10) wa Petroli wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAPCE’23) ambapo Tanzania ilifani...
NISHATI SAFI YA KUPIKIA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI - WAZIRI MKUU
NISHATI SAFI YA KUPIKIA NI KIPAUMBELE CHA SERIKALI - WAZIRI MKUUWaziri Mkuu, Mhe.Kassim Majaliwa amesema kuwa, suala la upatikanaji wa nishati safi ya kupikia ni moja ya vipaumbele vya nchi na kwamba Serikali inahakikisha kuwa uandaaji wa Dira na Mpa...
Rasimu ya Muundo wa Mfuko wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia na Miongozo ya Nishati Safi ya Kupik...
Rasimu ya Muundo wa Mfuko wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia na Miongozo ya Nishati Safi ya Kupikia yajadiliwa na Makatibu WakuuMakatibu Wakuu kutoka Wizara mbalimbali zinazohusika na masuala ya Nishati Safi ya Kupikia wamefanya kikao ili kupitia ra...
Makamba akutana na Viongozi waandamiziwa Kampuni ya Kimataifa ya Uwekezaji ya Pertamina ya nchini I...
Makamba akutana na Viongozi waandamiziwa Kampuni ya Kimataifa ya Uwekezaji ya Pertamina ya nchini IndonesiaWaziri wa Nishati January Makamba amefanya mazungumzo na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania,Tri Yogo Jotmiko na Viongozi Waandamizi wa Kampuni...
TANZANIA NA JICA KUSHIRIKIANA KATIKA KUJENGA UWEZO WA MATUMIZI BORA YA GESI ASILIA
TANZANIA NA JICA KUSHIRIKIANA KATIKA KUJENGA UWEZO WA MATUMIZI BORA YA GESI ASILIAWizara ya Nishati pamoja Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) wamesaini makubaliano ya kutekeleza mradi wa kujengea uwezo Wataalam wa Wizara na Taasisi zak...
NAIBU KATIBU MKUU NISHATI AONGOZA SEMINA KWA KAMATI YA WATAALAMU WA KIKUNDI KAZI CHA TAIFA CHA NISH...
NAIBU KATIBU MKUU NISHATI AONGOZA SEMINA KWA KAMATI YA WATAALAMU WA KIKUNDI KAZI CHA TAIFA CHA NISHATI SAFI YA KUPIKIANaibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka ameongoza Semina kwa Kamati ya Wataalam ya Kikundi Kazi cha Taifa cha Nishati...
Kamati ya usimamizi JNHPP yakagua mradi.
Kamati ya usimamizi JNHPP yakagua mradi.Ujenzi wafikia asilimia 86.8Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) imekagua mradi huo na kutoa wito kwa watanzania kuendelea kuunga mkono utekelezaji wa mradi kwakuwa una faida ku...
Makamba afanya mazungumzo na kampuni zitakazotekeleza mradi wa LNG
Makamba afanya mazungumzo na kampuni zitakazotekeleza mradi wa LNGWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amekutana na Viongozi wa Kampuni zitakazotekeleza Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi ya Asilia (LNG).Makamba amekutana na viongozi hao ambao n...
Makatibu Wakuu wapitia maboresho ya rasimu Nishati Safi ya Kupikia
Makatibu Wakuu wapitia maboresho ya rasimu Nishati Safi ya KupikiaKikao cha Kamati ya Uongozi ngazi ya Makatibu Wakuu wamekutana kupitia maboresho yaliyofanywa katika rasimu ya Dira ya Taifa ya kuhamia katika matumizi ya Nishati safi ya kupikia 2033...
Dkt. Yonazi aongoza Kikao cha Makatibu Wakuu cha Nishati Safi ya Kupikia
Dkt. Yonazi aongoza Kikao cha Makatibu Wakuu cha Nishati Safi ya KupikiaKatibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) Dkt. Jim Yonazi ameongoza Kikao cha Kamati ya Uongozi ngazi ya Makatibu Wakuu kilicholenga kupitia utekelezaji wa mabor...
NAIBU WAZIRI WA NISHATI AZINDUA MPANGO WA MIAKA MINNE WA MASUALA YA JINSIA WA TANESCO
NAIBU WAZIRI WA NISHATI AZINDUA MPANGO WA MIAKA MINNE WA MASUALA YA JINSIA WA TANESCONaibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amezindua Mpango wa miaka minne wa masuala wa jinsia wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambao utawezesha masuala...
DOLA BILIONI 1.9 KUIMARISHA GRIDI YA TAIFA NCHINI
DOLA BILIONI 1.9 KUIMARISHA GRIDI YA TAIFA NCHINIWaziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa Serikali imetenga fedha kiasi cha Dola za Marekani bilioni 1.9 kwa ajili ya miradi ya kuimarisha gridi ya Taifa kwa kipindi cha miaka minne.Makamba amese...
Wawekezaji kutoka Uganda waonyesha nia ya kuwekeza katika miradi ya umeme Tanzania
Wawekezaji kutoka Uganda waonyesha nia ya kuwekeza katika miradi ya umeme TanzaniaWaziri wa Nishati Mhe. January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uganda nchini Tanzania pamoja na wawekezaji kutoka nchini humo wamemweleza Waziri ni...
DIRA YA TAIFA YA KUHAMIA KATIKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUZINDULIWA MWEZI JUNI
DIRA YA TAIFA YA KUHAMIA KATIKA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KUZINDULIWA MWEZI JUNIWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameeleza kuwa, mwezi Juni mwaka huu utafanyika uzinduzi wa kitaifa wa Dira ya Taifa ya kuhamia katika matumizi ya nishati safi ya ku...
Naibu Katibu Mkuu Nishati aongoza kikao cha Kikundi Kazi cha Taifa cha Nishati Safi ya Kupikia
Naibu Katibu Mkuu Nishati aongoza Kikao kazi cha Kikundi Kazi cha Taifa cha Nishati Safi ya Kupikia Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Athumani Mbuttuka ameongoza kikao cha wataalam wa Kikundi Kazi cha Taifa cha Nishati Safi ya Kupikia ili kupitia...
Mradi wa kufua umeme wa Kakono kuanza
Mradi wa kufua umeme wa Kakono kuanzaShilingi Bilioni 750 za kuendeleza mradi zasainiwa Mradi wa kufua umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Kagera (Kakono) wenye uwezo wa MW 87.8 utaanza kutekelezwa hivi karibuni baada ya kusainiwa kwa mkopo w...
Serikali, WFP, UNCDF kuwezesha 80% ya watanzania kutumia Nishati Safi ya Kupikia
Serikali, WFP, UNCDF kuwezesha 80% ya watanzania kutumia Nishati Safi ya KupikiaSerikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Chakula Duniani (WFP), Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Mitaji (UNCDF) na wadau wengine wa maendeleo ndani na...
KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA JAPAN NCHINI
KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI MPYA WA JAPAN NCHINIKatibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na kufanya mazunguzo na Balozi Mpya wa Japan nchini Tanzania, Yasushi Misawa kuhusu kuendelea kushirikian...
UJENZI WA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME KATIKA MRADI WA JNHPP YAFIKIA ASILIMIA 92
UJENZI WA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME KATIKA MRADI WA JNHPP YAFIKIA ASILIMIA 92Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha umeme kut...
MAJADILIANO MRADI WA KUCHAKATA NA KUSINDIKA GESI ASILIA (LNG) YAKAMILIKA
MAJADILIANO MRADI WA KUCHAKATA NA KUSINDIKA GESI ASILIA (LNG) YAKAMILIKAWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, amesema kuwa, majadiliano yanayohusu Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia baina ya Serikali ya Tanzania na wawekezaji Kampuni ya S...