TUNAFANYA KILA JITIHADA KUPUNGUZA MAKALI YA UMEME NCHINI-DKT. DOTO BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Wizara ya Nishati inafanya jitihada mbalimbali ili kupunguza makali ya umeme nchini na hivyo kuwaondolea wananchi matatizo ya umeme wanayoyapata kwa sasa.Amesema hayo tarehe 02 Ok...
Kapinga: TANESCO boresheni mfumo wa utoaji huduma kwa wateja kupunguza malalamiko
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kuboresha mfumo wa utoaji huduma kwa wateja ili kupunguza malalamiko na kuwapatia wananchi hao huduma ya umeme kwa wakati.Mhe. Kapinga ametoa maelekezo hayo...
VIONGOZI NENDENI MKASIKILIZE WANANCHI-DKT. DOTO BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka viongozi wa ngazi mbalimbali nchini kwenda kwenye maeneo ya wananchi kwa ajili ya kutoa huduma, kusikiliza kero zao na kuzitatua.Amesema hayo tarehe 28 Septemba, 2023 katika Kijiji ch...
Katibu Mkuu Kiongozi atembelea Mradi wa JNHPP, asema watanzania wanahitaji umeme
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, amesema kuwa watanzania wanahitaji kupata huduma ya umeme wa uhakika na kwamba ameridhishwa na kazi kubwa ya utekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme wa Julius Nyerere (JNHPP).Balozi Kusiluka ameeleza h...
Kapinga : Mwanzoni mwa Octoba 2023 tunaanza kuwalipa fidia Waliopisha mradi wa Kituo kusambaza Umeme...
Serikali imesema itaanza kuwalipa fidia ya shilingi milioni 399 kwa wananchi 496 waliopisha Mradi wa Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha Uhuru kilichopo katika Kijiji cha Vumilia Wilayani Urambo Mkoani Tabora.Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith K...
Kazi ya kusambaza umeme vijijini mwisho Desemba 2023 - Mhe. Kapinga
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, amesema kuwa ifikapo mwezi Desemba mwaka huu, utekelezaji wa Mradi wa Kusambaza Umeme Vijijini wa Awamu ya Tatu mzunguko wa Pili katika vijiji vyote utakamilika na hivyo kupelekea kuanza utekelezaji wa mradi w...
Naibu Waziri wa Nishati akagua uzalishaji wa umeme katika Vituo vya Ubungo I na Ubungo II
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amewapa saa sita Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuirejesha katika hali ya kawaida ya uzalishaji mitambo iliyopata hitilafu katika kituo cha Ubungo I.Kapinga amesema hayo wakati wa ziara ya kukagua hali ya u...
DKT.BITEKO AANZA ZIARA YA KIKAZI BUKOMBE MKOANI GEITA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Biteko ameanza ziara ya kikazi katika jimbo hilo lililoko mkoani Geita ikiwa ni ziara ya kwanza kufanyikakutoka ateuliwe na kuapishwa na Rais, Dkt. Samia Sulu...
NWN Kapinga aweka historia, awasha Umeme Ikindwa kwa mara ya kwanza tangu nchi kupata uhuru
NWN Kapinga aweka historia, awasha Umeme Ikindwa kwa mara ya kwanza tangu nchi kupata uhuruMkandarasi apewa siku 7 kuwalipa Vijana waliofanya kaziNaibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ameweka historia kwa kuwasha umeme kwa mara ya kwanza katika Kij...
MAJALIWA: TUNATAKA TUWE WAZALISHAJI WAKUBWA WA NISHATI
MAJALIWA: TUNATAKA TUWE WAZALISHAJI WAKUBWA WA NISHATIWAZIRI MKUU, Mhe. Kassim Majaliwa leo Septemba 20, 2023 amefungua Kongamano la Tano la Nishati Tanzania ambapo amesema Serikali imedhamiria kuwawezesha Wazalishaji na Wajasiriamali katika Sekta ya...
NAIBU WAZIRI MKUU AIELEKEZA REA KUTUMIA MUDA MWINGI VIJIJINI
NAIBU WAZIRI MKUU AIELEKEZA REA KUTUMIA MUDA MWINGI VIJIJININaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ameiagiza Menejimenti ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kutumia muda mwingi zaidi wa kazi vijijini na muda mchache ofisini ili waend...
Tanzania yaunga mkono Ajenda ya AU 2063- Dkt Biteko.
Tanzania yaunga mkono Ajenda ya AU 2063- Dkt. Biteko.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Tanzania itaendelea kuunga mkono Ajenda ya Maendeleo ya Mwaka 2063 iliyowekwa na Nchi Wanachama wa Umoja wa Afrika- AU ambayo in...
Serikali Kutumia Miezi 18 Kumaliza Adha ya Umeme Masasi
Serikali Kutumia Miezi 18 Kumaliza Adha ya Umeme MasasiSerikali imeendelea na jitihada zake za kutatua adha ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika Mkoa wa Mtwara ili kuongeza ushiriki wa wananchi katika shughuli mbalimbali za maendeleo.Akizungumz...
Dkt. Biteko afanya ziara JNHPP
Dkt. Biteko afanya ziara JNHPP Asema changamoto ya kukosekana umeme wa uhakika ni ya muda mfupiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaeleza watanzania kuwa changamoto ya kukosekana umeme wa uhakika ni ya muda mfupi kwa sab...
Dkt. Biteko aipongeza Timu ya Serikali ya Majadiliano kuhusu mradi wa kuchakata na kusindika Gesi A...
Dkt. Biteko aipongeza Timu ya Serikali ya Majadiliano kuhusu mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (GNT)Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amekutana na Timu ya Serikali ya Majadiliano ya mradi wa kuchakata na kusindika Ges...
Balozi wa Marekani apongeza uteuzi wa Dkt. Biteko.
Balozi wa Marekani apongeza uteuzi wa Dkt. Biteko.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Michael Battle, alipomtembelea leo, Septemba 13, 2023 kati...
TANESCO, Watanzania wanataka Umeme- Dkt. Biteko
TANESCO, Watanzania wanataka Umeme- Dkt. Biteko.*Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema watanzania wanataka umeme na hivyo kuwataka Viongozi na Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kufanya kila jitihada za ku...
Dkt.Biteko aiagiza Wizara ya Ardhi Kupanga, Kupima na Kumilikisha ardhi kwa ufanisi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Doto Biteko ameiagiza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kufanyia kwa ufanisi majukumu yake ya msingi ambayo ni kupanga, kupima na kumilikisha ardhi ili kuondoa migogoro ya ardhi inayotokea nch...
Katibu Mkuu Kiongozi atembelea Mradi wa JNHPP, asema watanzania wanahitaji umeme.
Katibu Mkuu Kiongozi atembelea Mradi wa JNHPP, asema watanzania wanahitaji umeme. Ujenzi wafikia zaidi ya 90%Apongeza kazi kubwa iliyofanyika, awasisitiza wataalamu kukamilisha mradi kwa wakatiKatibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, amesema...
VIJIJI VYOTE TANZANIA BARA KUFIKIWA NA UMEME- MHE. KAPINGA AELEZA
VIJIJI VYOTE TANZANIA BARA KUFIKIWA NA UMEME- MHE. KAPINGA AELEZANaibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga ameeleza kuwa, Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini inatekeleza Mradi wa Kusambaza Umeme Vijijini wa Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili a...