DKT. BITEKO AAGIZA KUVUNJWA BODI YA ETDCO
Menejimenti ETDCO nayo isukwe upyaNi kufuatia Wizi, Utendaji mbovu na kusuasua kwa miradiAwataja baadhi ya Watumishi wanaohusika na vitendo hivyoWaliobainika kufanya wizi hatua za kisheria zachukuliwa dhidi yaoAtoa onyo kwa wanaotumia vifaa vya TANES...
DKT. BITEKO AZINDUA KIWANDA CHA KUWEKA MIFUMO YA UPASHAJI NA UTUNZAJI JOTO MABOMBA YA EACOP
Asema Rais Samia anatoa fedha za mradi kwa wakatiTanzania imetoa asilimia 87 ya fedha za utekelezaji EACOPAsisitiza kampuni za wazawa kupewa kipaumbeleKampuni zilizofanya udanganyifu zafutwaWaziri wa Nishati Uganda ampa kongole Rais, Dkt. SamiaNaibu...
DKT. BITEKO AAGIZA MPANGO MKAKATI KUIMARISHA HUDUMA AFYA YA MSINGI
Asisitiza kutoa elimu ya afya kwa jamiiAupongeza Mfumo wa M-mama uliobuniwa na WatanzaniaJumla ya vituo 2,799 vimejengwa na vingine kufanyiwa ukarabati kuanzia mwaka 2017 hadi 2024Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema...
DKT. BITEKO AAGIZA WIZARA YA MAJI KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA MAJI SAFI NA SALAMA
Asisitiza Wananchi kutoa maoni utunzaji wa mazingira katika Dira 2050Ataka Bodi za Mabonde ya Maji/NEMC kudhibiti uchafuzi wa mazingiraUvunaji wa Maji ya Mvua wasisitizwa ngazi ya Kaya, Taasisi hadi TaifaAmtaja Rais Dkt. Samia kinara wa kumtua Mama n...
DKT. BITEKO AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA NISHATI
Aagiza kuanzishwa kwa Kitengo cha Nishati Safi ya KupikiaLengo ni kutekeleza Ajenda ya Rais ya Nishati Safi ya KupikiaAagiza Matumizi ya CNG kupewa kipaumbeleAtaka huduma bora kwa wananchiAkumbusha vyeo visiwe sababu ya kiburi na majivuno kwa watenda...
DKT. BITEKO ASHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMWOMBEA HAYATI DKT. JOHN POMBE MAGUFULI CHATO
Asema Rais, Dkt. Samia anatekeleza kwa kasi kubwa misingi iliyowekwa na Hayati MagufuliDkt. Samia ajenga Makumbusho ya Hayati Magufuli ChatoFamilia ya Magufuli, Mbunge Chato wamshukuru RaisNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko...
DKT. BITEKO AAGIZA VIONGOZI WA SERIKALI KUTATUA KERO SI KUZICHUKUA
Akerwa na viongozi Mwanza kutofanyia kazi agizo la Makamu wa RaisAmwagiza Waziri wa Ardhi kwenda jijini Mwanza kutatua kero ya muda mrefuAweka jiwe la Msingi ujenzi wa Makao Makuu AICTNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amew...
KAMATI YA BUNGE YAKAGUA VITUO VYA GESI JIJINI DAR ES SALAAM
Yashauri vituo vya kujazia gesi kwenye magari visambae mikoaniWananchi wachangamkia ujazaji gesi kwenye magariMhe. Kapinga akaribisha wawekezaji kwenye CNGWajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua vituo vya gesi iliyoshindili...
KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI MRADI WA UMEME MKOANI ARUSHA
Mradi wagharimu takribani Dola milioni 258Kunufaisha nchi zipatazo 13Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara Mkoani Arusha kukagua mradi wa ujenzi wa njia kuu ya umeme wenye msongo wa kilovoti 400 katika eneo la Lemugur mkoani A...
UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA ELIMU LAZIMA UMGUSE MWALIMU – DKT. BITEKO
Azindua programu ya Kuboresha Kada ya Ualimu nchini (GPETSP)Ataja ongezeko la ajira kwa Walimu, madaraja na Bajeti ya ElimuAeleza vipaumbele 8 kuendeleza Kada ya UalimuAtaka Walimu wawe na Siku Maalum ya MotishaJK atoa neno kuhusu Taasisi ya GPENaibu...
KAMATI YA BUNGE YAKAGUA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA NISHATI MTUMBA
Yapongeza Wizara kushirikisha Taasisi za Umma kwenye ujenziYataka mkandarasi kuongeza kasi ya ujenziUjenzi wafikia asilimia 75Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Wizara ya Nishati kwa kushirikisha Taasisi za Umma katika utekele...
NAIBU KATIBU MKUU NISHATI AWASILI RASMI OFISINI
Apokelewa na Katibu Mkuu na Wafanyakazi wa WizaraAahidi kushirikiana na wadau kumsaidia Mhe. Rais kufikia malengoNaibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Dkt. James Mataragio amewasili rasmi ofisini na kuahidi kumsaidia Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan kut...
DKT. BITEKO AKUTANA NA KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI ZAMBIA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati wa Zambia (anayeshughulikia Huduma za Kiufundi), Peter Mumba (wa Pili kushoto) mara baada ya kikao chao kilichol...
RAIS SAMIA HATAKI MISUKOSUKO KWA WAFANYABIASHARA- DKT. BITEKO
Ataka Watendaji Warasimu wajionee aibu;watimize wajibuWatumishi wakumbushwa shughuli za Serikali kufanyika DodomaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amejipambanua kama mlezi wa Se...
MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAANZA RASMI- DKT. BITEKO
Agawa mitungi ya Gesi na Majiko Banifu kwa Wajasiriamali Dar es SalaamAtaka Taasisi kuachana matumizi ya kuni na mkaaAhimiza wadau kuunga mkono juhudi za SerikaliBaadhi ya Wajasiriamali wafungukaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto...
UTAMADUNI NA UTU WA MTANZANIA USIDHALILISHWE – DKT. BITEKO
Awapongeza Wasanii kwa kutopuuza utamaduni wa MtanzaniaAmpongeza Dkt. Samia kwa kuufufua Mfuko wa UtamaduniAtaka Wasanii kuhamasisha Uchaguzi wa Serikali za MitaaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Watanzania wana ki...
UCHORONGAJI VISIMA VYA JOTOARDHI KUANZA APRILI 2024- DKT. BITEKO
Lengo ni kuwa na vyanzo mchanganyiko vya umemeKampuni ya KenGen ya Kenya na TGDC kushirikiana katika uhakikiNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa kazi ya uchorongaji wa visima vya Jotoardhi nchini Tanzania itaanza...
NCHI WANACHAMA EAPP ZAKUBALIANA KUIPA MSUKUMO MIRADI YA UMEME
Dkt. Biteko asema suala la kuwapa nishati wananchi sio hiariAsisitiza miradi ya usafirishaji umeme EAPP kukamilika kwa wakatiVyanzo vipya vya umeme kuendelezwa kukidhi mahitajiBaraza la Mawaziri wanaohusika na mfumo wa pamoja wa umeme kwa nchi za Mas...
HISTORIA YAANDIKWA; JNHPP YAINGIZA MEGAWATI 235 GRIDI YA TAIFA
Serikali yatekeleza ahadi kabla ya siku tatuMegawati 235 nyingine kuingizwa Machi, 2024Uzinduzi rasmi kufanyika mwezi Machi mwaka huuDkt. Biteko asema hakuna kulala; vyanzo vipya kutekelezwaMkandarasi apongeza usimamizi wa Dkt.BitekoNaibu Waziri Mkuu...
SERIKALI IBORESHE MFUMO WA SCADA KUDHIBITI UPOTEVU WA MAFUTA-KAMATI YA BUNGE
Wataka mfumo wa SCADA uwe chini ya SerikaliWaagiza flowmeter kuwekewa uzioKamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kupitia kwa Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa pamoja (PBPA) kuufanyia maboresho mfumo wa SCADA ambao umebuniwa...