WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI
WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFINa Dorina G. Makaya na Ebeneza Mollel Dar-es-salaam.Waziri wa Nishati, January Yusuf Makamba, amewataka watanzania kuchangamkia fursa zitakazotokana na ujenzi wa bomba la mafuta...
WATUMISHI WA TANESCO WATAKIWA KUJIANDAA KUIJENGA TANESCO MPYA
WATUMISHI WA TANESCO WATAKIWA KUJIANDAA KUIJENGA TANESCO MPYANa Dorina G. Makaya – Dar-es-salaam. Watumishi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wamewatakiwa kuwa tayari kupokea mabadiliko, kufanya kazi kwa bidii na weledi na kutoa ushirikiano mzur...
WAZIRI MAKAMBA; WAKUU WA MIKOA WANA JUKUMU KUBWA MRADI WA EACOP
WAZIRI MAKAMBA; WAKUU WA MIKOA WANA JUKUMU KUBWA MRADI WA EACOP Na Dorina G. Makaya na Janeth Mesomapya - Tanga. Waziri wa Nishati, Mh. January Yusuf Makamba ameeleza kuwa Wakuu wa Mikoa minane (8) ambapo utapita mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la A...
MRADI WA UMEME RUSUMO KUUNGANISHA MIKOA YA KAGERA, KIGOMA, RUKWA NA KATAVI KWENYE GRIDI YA TAIFA -...
MRADI WA UMEME RUSUMO KUUNGANISHA MIKOA YA KAGERA, KIGOMA, RUKWA NA KATAVI KWENYE GRIDI YA TAIFA - MAJALIWAWaziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mradi wa kuzalisha umeme wa kikanda wa Rusumo utakuwa mkombozi kwa wananchi wa mikoa ya Kagera, Kigoma , Ru...
WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI
WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFINa Dorina G. Makaya na Ebeneza Mollel Dar-es-salaam.Waziri wa Nishati, Mhe. January Yusuf Makamba, amewataka watanzania kuchangamkia fursa zitakazotokana na ujenzi wa bomba la ma...
Makamba aanza kazi rasmi Wizara ya Nishati
Zuena Msuya na Hafsa Omari, DodomaWaziri wa Nishati, January Makamba, ameanza kazi rasmi katika wizara hiyo kwa kuwataka watendaji wa wizara hiyo pamoja na Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kufanya kazi kwa weledi wa uaminifu na uadilifu kwa maslah...
Tathmini ya upelekaji umeme mijini kwa sh.27,000 kufanyika ndani ya miezi mitatu
Tathmini ya upelekaji umeme mijini kwa sh.27,000 kufanyika ndani ya miezi mitatuNa Teresia Mhagama, SongweWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, amesema kuwa tathmini ya agizo la Serikali la kupeleka umeme mijini na vijijini kwa shilingi 27,000 ita...
Waziri wa Nishati azindua matumizi ya Gesi Asilia katika nyumba 300 Mtwara
Waziri wa Nishati azindua matumizi ya Gesi Asilia katika nyumba 300 MtwaraNa Teresia Mhagama,Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amezindua matumizi ya Gesi Asilia majumbani katika nyumba 300 ambazo zimeunganishwa na nishati hiyo wilayani Mtwara k...
Dkt. Kalemani apiga marufuku upandishaji wa bei ya gesi nchini
Dkt. Kalemani apiga marufuku upandishaji wa bei ya gesi nchiniHafsa Omar-DodomaWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewapiga marufuku wauzaji na wasambazaji wa Gesi za majumbani kupandisha bei ya bidhaa hiyo.Amepiga marufuku hiyo Agosti 18, 2021,...
Waliozembea ajali ya moto Msamvu wachukuliwe hatua kali_ Waziri Mkuu
Waliozembea ajali ya moto Msamvu wachukuliwe hatua kali_ Waziri MkuuWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, ameagiza kuwa, hatua kali zichukuliwe kwa Wataalam kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) waliozembea na kup...
Makatibu Wakuu waridhishwa na mradi JNHPP, ujenzi wafikia 54%
Makatibu Wakuu waridhishwa na mradi JNHPP, ujenzi wafikia 54%Zuena Msuya, PwaniKamati ya Uongozi ya Mradi wa Julius Nyerere inayoundwa na Makatibu Wakuu wa Wizara 15, imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa mradi huo.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishat...
ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 42 KUBORESHA UMEME TABORA – BYABATO
ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 42 KUBORESHA UMEME TABORA – BYABATOZaidi ya shilingi bilioni 42 zimetengwa na Serikali kwa ajili ya kuboresha kituo cha kupozea na kusambaza umeme cha Kiloleni, wilayani Tabora mjini, mkoani Tabora ili kuimarisha huduma ya u...
Mkandarasi ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme mradi wa JNHPP aanza kazi
Mkandarasi ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme mradi wa JNHPP aanza kaziNa Teresia Mhagama, DSM Imeelezwa kuwa, Mkandarasi atakayejenga njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kV 400 kutoka eneo la mradi wa umeme wa Julius Nyerere ( JNHPP), Rufiji mk...
Kituo cha kupoza Umeme kujengwa Kongwa
Kituo cha kupoza Umeme kujengwa Kongwa Na Zuena Msuya, DodomaWaziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amesema Serikali itajenga kituo kikubwa cha kupoza Umeme katika Wilaya ya Kongwa ili kumaliza tatizo la kukatika umeme mara kwa mara na kuboresha upat...
Wizara ya Fedha yaridhishwa na maboresho ya Kituo cha umeme Zuzu
Wizara ya Fedha yaridhishwa na maboresho ya Kituo cha umeme ZuzuWizara ya Fedha na Mipango imeeleza kuridhishwa kwake na maboresho yanayoendelea kufanyika katika Kituo cha Umeme cha Zuzu mkoani Dodoma ambacho kimeongezewa uwezo kutoka megawati 48 had...
TUMIENI FURSA YA UMEME KWA SHUGHULI ZA MAENDELEO - NAIBU WAZIRI BYABATO
TUMIENI FURSA YA UMEME KWA SHUGHULI ZA MAENDELEO - NAIBU WAZIRI BYABATONaibu Waziri Nishati, Mhe. Wakili Stephen Byabato amefanya uzinduzi wa Mradi wa kusambaza umeme vijijini Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili kimkoa mkoani Simiyu katika kijiji cha Igwa...
VIONGOZI WAKUU WASTAAFU WATEMBELEA MRADI WA JULIUS NYERERE
VIONGOZI WAKUU WASTAAFU WATEMBELEA MRADI WA JULIUS NYEREREHafsa Omar- RufijiViongozi Wakuu wa Kitaifa Wastaafu, Waheshimiwa Marais na Mawaziri Wakuu wametembelea mradi wa Bwawa la Kufua Umeme wa Maji la Julius Nyerere(JNHPP) katika Mto Rufiji kwa len...
WATANZANIA WATAKIWA KUTUMIA FURSA ZA UJENZI BOMBA LA MAFUTA
WATANZANIA WATAKIWA KUTUMIA FURSA ZA UJENZI BOMBA LA MAFUTAHafsa Omar-KageraWaziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewataka Wananchi watakaopitiwa na ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kujitokeza na kuzitumia fursa mbalimba...
VIJIJI 192 VILIVYOBAKI MKOA WA LINDI KUFIKIWA NA UMEME
VIJIJI 192 VILIVYOBAKI MKOA WA LINDI KUFIKIWA NA UMEMENaibu Waziri wa Nishari Mhe. Wakili Stephen Byabato amesema, jumla ya vijiji 192 kati ya vijiji 524 vilivyopo mkoani Lindi,vinakwenda kupatiwa huduma ya umeme,baada ya kuzinduliwa kwa Mradi Kabamb...
BAJETI YA WIZARA YA NISHATI KWA MWAKA 2021/2022
http://www.nishati.go.tz/uploads/documents/en-1622628440-HOTUBA%20WAZIRI%20WA%20NISHATI%20MWAKA%202021_22%20(1).pdf