UJENZI BWAWA LA NYERERE WAFIKIA 67%, KAZI USIKU NA MCHANA
UJENZI BWAWA LA NYERERE WAFIKIA 67%, KAZI USIKU NA MCHANAWaziri wa Nishati, January Makamba amesema ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha megawati 2,115 umefikia asilimia 67.Makamba alieleza hayo 8/8/2022, mbele y...
Milango iko wazi kuwekeza Zanzibar
Milango iko wazi kuwekeza ZanzibarSerikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema milango ya uwekezaji iko wazi kwa Wawekezaji, kuwekeza katika Sekta ya Nishati, hasa Mafuta na Gesi.Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Hemed Suleiman Abd...
Serikali kuendelea kuimarisha Sekta ya Nishati ili kuvutia wawekezaji zaidi
Serikali kuendelea kuimarisha Sekta ya Nishati ili kuvutia wawekezaji zaidiWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema kuwa Serikali itaendelea kusimamia kikamilifu na kuimarisha zaidi Sekta ya Nishati nchini ili kuvutia...
Mgawo wa umeme katika vijiji 20 Ludewa wapatiwa ufumbuzi na Makamba
Mgawo wa umeme katika vijiji 20 Ludewa wapatiwa ufumbuzi na MakambaWaziri wa Nishati, Mhe Januari ametoa ufumbuzi wa changamoto ya miaka mingi ya mgawo wa umeme wa masaa 12 kwa vijiji 20 katika Wilaya ya Ludewa ambavyo vimekuwa vikipata umeme kutoka...
Tumeamua kutekeleza mradi mkubwa wa umeme wa Rumakali - MAKAMBA
Tumeamua kutekeleza mradi mkubwa wa umeme wa Rumakali - MAKAMBAWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameeleza kuwa, Serikali imeamua kutekeleza mradi wa umeme wa maji ya Rumakali (MW 222) wenye thamani ya shilingi Trilioni 1.4 uliopo wilayani Maket...
HATUPELEKI UMEME VIJIJINI KUWASHA TAA PEKEE - Makamba
HATUPELEKI UMEME VIJIJINI KUWASHA TAA PEKEE - MakambaWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema kuwa, Serikali haisambazi umeme vijijini kwa ajili ya kuwasha taa peke yake bali kuchagiza pia shughuli za kiuchumi ikiwemo uanzishaji wa viwanda.Ame...
MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME WA TANZANIA-ZAMBIA KUKAMILIKA JANUARI 2025
MRADI MKUBWA WA KUSAFIRISHA UMEME WA TANZANIA-ZAMBIA KUKAMILIKA JANUARI 2025 Kuimarisha upatikanaji umeme katika mikoa mitano nchini Imeelezwa kuwa, mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umemeyakV 400 kutoka Iringa-Tanzania hadi nchini Zambia (TAZA)...
Wananchi Nkasi waiomba Serikali nishati safi na salama ya kupikia
Wananchi Nkasi waiomba Serikali nishati safi na salama ya kupikiaWananchi mbalimbali katika Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wameiomba Serikali kuwapatia nishati safi na salama ya kupikia ili waweze kufanya shughuli za kuwaingizia kipato ikiwemo ukaangaj...
Ujenzi wa Kiwanda cha kutayarisha mabomba mradi wa EACOP kukamilika Desemba 2022
Ujenzi wa Kiwanda cha kutayarisha mabomba mradi wa EACOP kukamilika Desemba 2022Ujenzi wa Kiwanda cha kuwekea mifumo ya upashwaji joto mafuta pamoja na plastiki itakayozuia upotevu wa joto kwenye mabomba yatakayotumika kwenye mradi wa Bomba la Mafuta...
Wabunge wa Uganda wajifunza usafirishaji wa mafuta ghafi TAZAMA
Wabunge wa Uganda wajifunza usafirishaji wa mafuta ghafi TAZAMANa Zuena Msuya, DSMSerikali kupitia Wizara ya Nishati imepokea Ujumbe kutoka nchini Uganda waliokuja nchini, kuona na kujifunza mambo mbalimbali kuhusu sekta ya Mafuta hasa usafirishaji w...
Mradi mkubwa wa umeme Jua Shinyanga kuanza Novemba 2022
Mradi mkubwa wa umeme Jua Shinyanga kuanza Novemba 2022Mradi mkubwa wa uzalishaji umeme kwa kutumia Jua wa kiasi cha megawati 150 utaanza kutekelezwa mwezi Novemba mwaka huu wilayani Kishapu mkoa wa Shinyanga na kuingizwa katika gridi ya Taifa.Hayo y...
Wachimbaji wadogo Wisolele kupata umeme ifikapo Oktoba
Wachimbaji wadogo Wisolele kupata umeme ifikapo OktobaWaziri wa Nishati, Mhe.January Makamba ameahidi kupeleka umeme kwenye migodi ya wachimbaji wadogo katika Kijiji cha Wisolele ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu ikiwa ni utekelezaji wa moja ya vipaumbe...
Mradi wa Rusumo kuongeza uhakika wa umeme Kanda ya Ziwa
Mradi wa Rusumo kuongeza uhakika wa umeme Kanda ya ZiwaImeelezwa kuwa, kukamilika kwa mradi wa umeme wa Rusumo wa megawati 80 kutaimarisha hali ya upatikanaji umeme katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ambapo kumekuwa na changamoto ya kuwepo kwa umeme pungu...
Migodi 336 kupelekewa umeme na Wakala wa Nishati Vijijini
Migodi 336 kupelekewa umeme na Wakala wa Nishati VijijiniSerikali imepanga kupeleka umeme katika migodi 336 nchini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa gharama ya takriban shilingi Bilioni Sita ili kazi za uchimbaji wa madini nchini zifanyike...
WAZIRI MAKAMBA ATATUA CHANGAMOTO YA UMEME SENGEREMA
Waziri wa Nishati, Mhe.January Makamba ametatua changamoto ya muda mrefu ya kutopata umeme wa uhakika wilayani Sengerema kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kukatika kwa laini iliyokuwa ikipeleka umeme wilayani humo kutokea Mwanza ambako kulisababi...
MRAMBA: MWEZI AGOSTI 2022 TUNAWASHA UMEME WA GRIDI KIGOMA
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amewahakikishia wakazi wa Mkoa wa Kigoma kuwa Mwezi wa Agosti mwaka huu, mkoa huo utaanza kutumia umeme wa Gridi ya Taifa.Mramba alisema hayo baada ya kukagua na kuona maendeleo ya ujenzi wa Ki...
UJENZI WA KIWANDA CHA KUWEKA PLASTIKI KATIKA MABOMBA YA CHUMA YA KUSAFIRISHA MAFUTA WAANZA
Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba wamewataka watanzania kuchangamkia fursa zinazojitokeza wakati wa utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoim...
MRADI WA RUSUMO KUKAMILIKA NOVEMBA 2022, UJENZI WAFIKIA 95%
Mradi wa kuzalisha Umeme kwa kutumia nguvu ya maji ya Mto Kagera wa RUSUMO MW 80 utakamilika mwezi Novemba 2022 na kuanza kuzalisha Umeme utakaounganishwa na Gridi ya Taifa baada ya ujenzi wa mradi huo kukamilika kwa 95% hadi sasa.Hayo yameelezwa Kat...
SHILINGI BILIONI 75 KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME SIMIYU
SHILINGI BILIONI 75 KUIMARISHA UPATIKANAJI UMEME SIMIYUWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, ameeleza kuwa changamoto ya upatikanaji wa umeme wa uhakika mkoani Simiyu imefanyiwa kazi na Serikali na sasa mkoa huo umepelekewa mradi wa shilingi Bilio...
BEI YA UMEME KUTOKA MIRADI MIDOGO YA UMEME SASA NI SHILINGI 1600
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba, amesema kuwa, shilingi 1600 itakuwa bei mpya ya umeme kwa unit katika miradi midogo ya umeme iliyo nje ya Gridi ambayo itaanza kutumika tarehe 1 Agosti, 2022 ili kufanya wananchi kupata umeme wa uhakika na waw...