Jamii yatakiwa kutunza mazingira kuzunguka mabwawa ya umeme.
Jamii yatakiwa kutunza mazingira kuzunguka mabwawa ya umeme.Na Timotheo Mathayo, Iringa.Jamii inayozunguka mradi wa bwawa la kufua umeme la Kihansi lililopo mkoani Iringa wametakiwa kulinda na kutunza mazingira ili mradi huo uwe endelevu kwa manufaa...
TPDC, Baker Botts waingia mkataba majadiliano LNG
Na Janeth MesomapyaSerikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kampuni ya Baker Botts (UK) LLP wamesaini Mkataba wa Huduma ya Ushauri wa Kitaalam na Kampuni ya Baker Botts (UK) LLP ya Uingere...
AfDB yatembelea Mradi wa Umeme wa Zuzu, yaipongeza Wizara ya Nishati
AfDB yatembelea Mradi wa Umeme wa Zuzu, yaipongeza Wizara ya NishatiMkurugenzi wa Maendeleo ya Benki ya Afrika nchini Tanzania, Amos Cheptoo ameipongeza Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) kwa kusimamia...
KATIBU MKUU NISHATI AFUNGUA RASMI KIKAO KAZI NGAZI YA MAKATIBU WAKUU
KATIBU MKUU NISHATI AFUNGUA RASMI KIKAO KAZI NGAZI YA MAKATIBU WAKUUKatibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amefungua rasmi kikao kazi ngazi ya Makatibu Wakuu na wakuu wa Taasisi wadau, kuhusu usimamizi na matumizi ya rasilimali maji...
MINISTER MAKAMBA CALLS ON INDIA TO INVEST IN ENERGY SECTOR
MINISTER MAKAMBA CALLS ON INDIA TO INVEST IN ENERGY SECTOR By Janeth MesomapyaMinister of Energy, Hon. January Yusuph Makamba has called upon the Government of India and its local investors to visit Tanzania and explore and invest in opportunities av...
MRADI WA JNHPP KUTEKELEZWA KWA WELEDI, UFANISI, WAKATI NA GHARAMA ZILIZOPANGWA – WAZIRI MAKAMBA
Waziri wa Nishati Mhe. January Yusuf Makamba amesema Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme wa maji la Julius Nyerere (JNHPP) unatekelezwa kwa weledi, ufanisi, wakati na gharama zilizopangwaWaziri Makamba ameyasema hayo tarehe 07 Novemba 2021, a...
MASHIRIKA YA KIGENI YAZIDI KUVUTIWA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA NISHATI TANZANIA
MASHIRIKA YA KIGENI YAZIDI KUVUTIWA KUWEKEZA KATIKA SEKTA YA NISHATI TANZANIAIdadi ya mashirika ya kigeni yanayovutiwa kuwekeza katika sekta ya Nishati nchini yameendelea kuongezeka ikiwemo katika sekta ndogo ya umeme na nishati Jadidifu. Waziri wa N...
Waziri Makamba akutana na Balozi wa Angola nchini Tanzania
Waziri Makamba akutana na Balozi wa Angola nchini Tanzania*Wajadili Maeneo ya UshirikianoWaziri wa Nishati Mhe. January Yusuf Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Angola nchini Tanzania Mhe. Sandro Renato Agostinho De Oliveira kwa len...
Usambazaji Gesi majumbani iwe ni kipaumbele-PAC
Usambazaji Gesi majumbani iwe ni kipaumbele-PACKamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, imetoa wito kwa Serikali kuwa, suala la usambazaji gesi majumbani liwe ni la kipaumbele.Wito huo umetolewa kupitia kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe.Nagh...
Waziri Makamba aanzisha Majadiliano Mradi wa LNG
Waziri Makamba aanzisha Majadiliano Mradi wa LNGWaziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ameanzisha majadiliano ya utekelezaji wa mradi wa gesi ya kimiminika (Liquefied Natural Gas-LNG) baina ya Serikali na Kampuni za Shell Tanzania ambao ni wawekezaj...
Tanzania kuendeleza vyanzo vya Nishati Jadidifu
Tanzania kuendeleza vyanzo vya Nishati JadidifuHafsa Omar-Dar es SaalamWaziri wa Nishati, January Makamba amesema Tanzania itaendelea kuendeleza vyanzo vya umeme wa Upepo na umeme wa Jua (solar) ili kuwa na vyanzo vingi vya uzalishaji wa umeme nchini...
Makamba : Matumizi ya Nishati safi ya kupikia kuwa suluhisho la uharibifu wazingira
Makamba : Matumizi ya Nishati safi ya kupikia kuwa suluhisho la uharibifu wazingiraHafsa Omar-Dar es Saalam Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa mradi wa kuboresha njia endelevu za matumizi ya Nishati safi ya kupikia utasaidia kulinda mazi...
Makamba azishukuru Norway, Sweden na Saud Arabia
Makamba azishukuru Norway, Sweden na Saud ArabiaHafsa Omar-Dar es SaalamWaziri wa Nishati, January Makamba amezishukuru nchi za Norway, Sweden na Saud Arabia kwa mchango mkubwa unayoipatia Tanzania katika kuendeleza sekta ya Nishati.Ameyasema hayo, N...
Waziri Makamba akutana na Balozi wa Uganda
MAKAMBA AKUTANA NA BALOZI WA UGANDAHafsa Omar-Dar Es SaalamWaziri wa Nishati, January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Balozi Richard Kabonero. Mazungumzo hayo, yamefanyika Novemba 15, 2021 katika ofisi nd...
HOTUBA YA WAZIRI WA NISHATI MHE. JANUARY MAKAMBA WAKATI WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI AKIELEZEA...
HOTUBA YA WAZIRI WA NISHATIMHE. JANUARY MAKAMBA WAKATI WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI AKIELEZEA MAFANIKIO NA MAENDELEO YA SEKTA YA NISHATI KATIKAMIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA BARANdugu Wanahabari,Sekta ya Nishati ina historia ndefu kuanzia kipindi...
Kampuni ya CNOOC yasaini Mkataba wa Wanahisa wa EACOP
Kampuni ya CNOOC yasaini Mkataba wa Wanahisa wa EACOPHatua hii itawezesha Kampuni ya Mradi kuundwaKampala, UgandaKampuni ya Mafuta ya Taifa ya China (CNOOC) ambayo ni mmoja kati ya wanahisa wanne wanaotekeleza mradi wa EACOP, ametia saini mkataba wa...
Waziri wa Nishati afanya mazungumzo na TotalEnergies
Waziri wa Nishati afanya mazungumzo na TotalEnergiesWaziri wa Nishati, January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo watendaji wa kampuni ya TotalEnergies ambayo hujishughulisha uzalishaji na uuzaji wa nishati ulimwenguni.Watendaji hao wakiongozwa...
TAASISI YA UTAFITI YATAKIWA KUISHIRIKISHA SERIKALI
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali ameitaka Taasisi inayojishughulisha na utafiti ya (Natural Resource Governance Institute) kuishirikisha Serikali kwenye tafiti zinazohusu Serikali ili kuwa na usahihi wa takwimu zinazotolewa.Ameya...
WATALAAM KUTOKA BARA NA ZANZIBAR WAKUTANA
Wataalam kutoka Wizara ya Nishati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na wa kutoka katika Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wamefanya kikao cha Ushirikiano kwa ngazi ya wataalam.Kikao hicho cha Ushirikiano baina ya...
Waziri Makamba awasilisha ujumbe wa Rais Samia kwa Serikali ya Algeria
Waziri Makamba awasilisha ujumbe wa Rais Samia kwa Serikali ya AlgeriaAsisitiza juu ya ushirikiano katika Sekta ya NishatiAlgiers. Algeria,Ziara ya Waziri wa Nishati, January Makamba nchini Algeria imezidi kufungua fursa za ushirikiano baina ya Tanza...