Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania

Ministry of Energy

News

Nov 10, 2023
TANZANIA NA UGANDA ZATIA SAINI MKATABA MAHSUSI KWA AJILI YA UPEMBUZI YAKINIFU UJENZI WA BOMBA LA GES...
DKT BITEKO ASEMA NI KIELELEZO CHA USHIRIKIANO WA NCHI HIZO MBILI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda zimet...
Nov 09, 2023
HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME YAIMARIKA.
Sasa upungufu wa umeme wabakia 218 MW kutoka 421 MW.Hali ya upatikanaji umeme nchini imeimarika na sasa upungufu wa umeme umebakia 218 MW.Hayo yameele...
Nov 09, 2023
DKT. BITEKO AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA BIASHARA WA KOREA KUSINI
Aahidi kuendeleza ushirikiano katika kukuza uchumiKorea Kusini yaahidi kuwekeza zaidi TanzaniaNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto B...
Nov 08, 2023
EWURA ZINGATIENI MASLAHI YA NCHI KATIKA SHUGHULI ZA UDHIBITI WA MAFUTA NA MAJI - DKT. BITEKO
Awapongeza kwa kushusha gharama za uagizaji mafuta. Asisitiza EWURA kudhibiti vitendo vya urasimu na rushwa mahali pa kazi. Naibu Waziri Mkuu na Waz...
Nov 08, 2023
UJENZI WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA LA HOIMA UNASHIRIKISHA WAZAWA MKOANI KAGERA
#Wakandarasi na watoa huduma 42 wapatiwa kaziDodomaImeelezwa kuwa ujenzi wa Mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani mkoan...
Nov 08, 2023
REA ONGEZENI KASI YA KUUNGANISHIA UMEME WANANCHI KATIKA VIJIJI VYENYE UMEME - MHE. KAPINGA
# Ataka wasimamizi wa miradi ya REA kuongeza ufanisiNaibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amewaagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza...
Nov 08, 2023
NAIBU WAZIRI KAPINGA AFANYA MAZUNGUMZO NA WATENDAJI WA KAMPUNI YA MUFINDI PAPER MILL
*Waeleza Mpango wa kuzalisha Umeme kwa kutumia mabaki ya Miwa.Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekutana na kufanya mazungumzo na watendaj...
Nov 03, 2023
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Kapinga akutana na Uongozi wa TANESCO
# Awataka kutatua changamoto Sugu zinazowakabili wananchi.# Asema Viongozi wa Chama na Serikali washirikishwe katika miradi iliyo katika maeneo yao.Na...
Nov 02, 2023
​*TANESCO KUJENGA KITUO KIDOGO CHA UMEME USHETU*
*TANESCO KUJENGA KITUO KIDOGO CHA UMEME USHETU**#Kutumia shilingi Bilioni 12.* *Dodoma* Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) lina mpango wa kujenga kit...
Oct 31, 2023
BUNGE LARIDHIA KUJIUNGA NA MKATABA WA NISHATI JADIDIFU
Leo Oktoba 31, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Tanzania kujiunga na Mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (IRENA).Nai...
Oct 31, 2023
DKT. BITEKO AWASILISHA BUNGENI AZIMIO LA TANZANIA KURIDHIA MKATABA WA WAKALA WA KIMATAIFA WA NISHATI...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amewasilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania azimio la kujiunga na Mkatab...
Oct 31, 2023
DKT. BITEKO AFUNGA SEMINA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI KUHUSU MKATABA WA WAKALA...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefunga Semina ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ambayo ililenga kuwapa...
Oct 30, 2023
TaSUBa KITOVU CHA MAFUNZO TASNIA ZA SANAA NA UTAMADINI NCHINI - DKT. BITEKO
Imeelezwa kuwa, Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) ni kitovu cha mafunzo katika tasnia za Sanaa na Utamaduni nchini na Serikali imeendele...
Oct 20, 2023
SERIKALI YAWATOA HOFU WANANCHI KUHUSU UPATIKANAJI WA MAFUTA NCHINI
Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa hali ya utoshelevu wa mafuta nchini kwa kipindi cha mwezi Julai hadi Septemb...
Oct 19, 2023
CNG IPEWE KIPAUMBELE KUENDESHA MITAMBO NA MAGARI NCHINI - KAMATI YA BUNGE
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kuweka kipaumbele katika kusambaza Vituo vya Nishati ya Gesi Iliyoshindiliwa (CNG)...
Oct 18, 2023
Rais Dkt. Samia apokea taarifa ya utekelezaji wa REA III Mzunguko wa Pili nchi nzima
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea taarifa ya utekelezaji wa Mradi wa Usambazaji wa Umeme Vijijini Awamu y...
Oct 18, 2023
DKT.BITEKO AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA KANDA BENKI YA DUNIA (WB)
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe wa Benki ya Dunia (WB) ukiongozwa na Mkur...
Oct 17, 2023
SINGIDA HAITASHUKA 97% UPATIKANAJI WA UMEME DESEMBA 2023 - RAIS SAMIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ifikapo mwaka 2024 Mkoa wa Singida hautashuka 97 % ya upatikanaji wa um...
Oct 16, 2023
VIJIJI 6 PEKEE VYASALIA KUUNGANISHWA UMEME JIMBO LA SINGIDA
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema katika Jimbo la Singida Kaskazini Vijiji 6 vimesalia kuunganishwa na umeme kati ya vijiji 84 vya j...
Oct 16, 2023
NAWAAHIDI WAWEKEZAJI KUWA SERIKALI ITAWAPA USHIRIKIANO - DKT. BITEKO
Imeelezwa kuwa, Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wenye Viwanda, Wafanyabiashara na Wawekezaji kushiriki katika ukuzaji wa uchumi husus...