WATUMISHI WAHIMIZWA KUJENGA MAKAZI KABLA YA KUSTAAFU
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, amewahimiza watumishi wa umma kutumia fursa zilizopo katika taasisi za kifedha kwa ajili ya kujiimarisha kiuchumi, ikiwemo kujenga makazi yao binafsi kabla ya kustaafu.Ushauri huo umetolewa...
KASI NDOGO YA UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME WA CHALINZE- DODOMA YAMKASIRISHA DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekagua mradi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Zuzu Dodoma na kueleza kutoridhishwa kwake na utekelezaji wa mradi huo ambao ulipaswa kuwa umefi...
MWANAMKE NI MSUKUMO WA MAENDELEO KATIKA JAMII - DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Wanawake ni chanzo cha msukumo wa maendeleo katika Jamii hivyo Serikali itaendelea kuhakikisha kuwa kila mwanamke nchini awe mama au mtoto wa kike anapata haki na heshima anayostah...
WIZARA YA NISHATI YAJIVUNIA UTEKELEZAJI WA MIRADI SABA KATI YA 17 NCHINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba amesema kuwa katika miradi ya kimkakati inayotekelezwa nchini Wizara ya Nishati inatekeleza takribani miradi saba.Mhandisi Mramba ameyasema hayo Agosti 17, 2025 wakati wa uzinduzi wa Mpango wa U...
DKT.BITEKO AZINDUA MRADI UTAKAOWAKWAMUA VIJANA KIUCHUMI KATIKA MAENEO YANAYOPITIWA NA BOMBA LA MAFU...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua Mpango wa Uwezeshaji wa vijana Kiuchumi (YEE) ambao unagusa maeneo yanayopitiwa na mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ikiwa ni jitihada za Serikali kuhakik...
TUKITUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA TUTAOKOA HEKTA 400,000 ZA MISITU ZINAZOTEKETEA KWA MWAKA-MJIOLOJIA...
Imeelezwa kuwa matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia si tu yanahatarisha afya bali pia yanachochea uharibifu wa mazingira ambapo takribani hekta 400,000 za misitu hupotea kila mwaka nchini kutokana na ukataji wa miti kwa ajili ya kuni na mkaa, ja...
ELIMU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAWAFIKIA WANAWAKE MKOANI MBEYA
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia na kutumia nishati safi ya kupikia kama vile umeme na gesi ikiwa ni njia pia ya kulinda afya, mazingira na kuimarisha uchumi wa kaya.Wit...
UZALISHAJI UMEME KWA KUTUMIA NISHATI JADIDIFU UMEFIKIA ASILIMIA 67- KAMISHNA LUOGA
Tanzania imeendelea kuongeza vyanzo vya kuzalisha umeme kwa kutumia nishati jadidifu hadi kufikia asilimia 67, hii ikijumuisha matumizi ya nishati ya maji na Jua.Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi I...
MHANDISI MRAMBA AFUNGUA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA YA NISHATI JUA KWA WATAALAM
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba amefungua mafunzo ya wataalam kutoka taasisi mbalimbali nchini yanayohusu usanifu, utengenezaji na ufungaji wa mifumo ya Nishati ya Jua na matumizi yake.Matumizi hayo ni kuchemsha, kupika, kupoz...
CLEAN COOKING MARATHON YAHAMASISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA ARUSHA.
Mbio hizo ambazo ni za msimu wa pili zimeandaliwa na Jumuiya ya Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TABWA) kwa uratibu wa Kitengo cha Nishati Safi ya Kupikia katika Wizara ya Nishati.Mkurugenzi wa Nishati safi ya Kupikia kutoka Wizara ya Nishati Bw. N...
RAIS SAMIA AIPA NEEMA MIRADI YA KUZALISHA UMEME IRINGA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha shilingi bilioni 15 kwenye mradi wa kuzalisha umeme wa Mwenga Hydro Ltd uliopo Wilaya ya mufindi mkoani Iringa.Hayo yamebainishwa leo Julai 31, 2025 wakati wa zia...
PROF. MWANDOSYA KINARA WA MATIBABU YA SARATANI NCHINI - DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemuelezea Prof. Mark Mwandosya kuwa ni Shujaa wa Saratani ya Damu (Multiple Myeloma) ambaye ameishi na Saratani kwa zaidi ya miaka 14.Dkt. Biteko amesema hayo (Julai 29) jijini Dar es Sa...
DKT MATARAGIO AITAKA EACOP KUONGEZA KASI UTEKELEZAJI MiRADI YA KIJAMII KWA WANANCHI WANAOPITIWA NA...
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Sekta ya Mafuta na Gesi Wizara ya Nishati, Dkt James Mataragio, ameelekeza kampuni ya ujenzi wa bomba la mafuta -EACOP kuhakikisha inaongeza kasi ya utekelezaji wa miradi ya huduma za kijamii (Csr activities) kwa ku...
WANANCHI KIJIJI CHA NDEBWE CHAMWINO WAPATIWA MAJIKO BANIFU 310
Shirika la Offgridsun wakishirikiana na Shirika la Action for Community care leo tarehe 29 Julai 2025 wamegawa majiko banifu 310 kwa wananchi wa Kijiji cha Ndebwe wilayani Chamwino mkoani Dodoma ikiwa ni uungaji mkono juhudi za Serikali katika kuhama...
MASLAHI MAPANA YA NCHI YANAZINGATIWA UTEKELEZAJI WA MRADI WA EACOP-DKT. MATARAGIO
Naibu Katibu Mkuu anayeshughulikia Sekta ya Mafuta na Gesi Wizara ya Nishati, Dkt James Mataragio, amesema utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) unazingatia maslahi mapana ya nchi ikiwemo upatikanaji wa ajira kwa w...
TUNAWEZA KUZUIA ASILIMIA 80 YA VIFO NCHINI TUKIBADILI MTINDO WA MAISHA-DKT.BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa asilimia 80 ya vifo nchini vinaweza kuzuilika endapo Watanzania wataamua kubadili mtindo wa maisha ikiwemokuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi ya mara kwa mara. Amesema hayo t...
DKT. BITEKO ATOA WITO VYOMBO VYA HABARI KUELIMISHA JAMII KUHUSU MASHUJAA
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa vyombo vya habari kushirikiana na Serikali katika kuelimisha jamii kuhusu historia ya mashujaa nchini.Dkt. Biteko ametoa wito huo Julai 24, 2025 katika Uwanja na Mnara wa M...
VITUO VIWILI VYA KUPUNGUZA KASI YA MAFUTA GHAFI EACOP KUJENGWA NCHINI
Jumla ya vituo viwili vya kupunguza kasi ya mafuta ghafi yanayotoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani- Tanga vinatarajia kujengwa ili kusaidia upunguzaji wa kasi ya mafuta ghafi yanayosafirishwa sambamba na kulinda miundombinu ya bomba hilo la maf...
LUKUVI AIPONGEZA WIZARA YA NISHATI KUTEKELEZA AZMA YA SERIKALI YA KUHAMIA KATIKA MJI WA SERIKALI MTU...
Wizara ya Nishati imepongezwa kwa kuhamia rasmi katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ambapo Idara na Vitengo vyote vya Wizara sasa vimeshahamia katika jengo la Wizara lililopo katika Mji huo wa Serikali.Pongezi hizo zimetolewa na Waziri wa Nch...
BENKI YA DUNIA KUJENGA MRADI WA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME WA KV 400 KUTOKA UGANDA HADI TANZANIA
Benki ya Dunia (WB) imeeleza kuwa itatoa fedha za utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo mkubwa wa kilovolti 400 kutoka nchini Uganda hadi Tanzania.Hayo, yameelezwa na Mtaalam wa Nishati kutoka Ofisi ya Benki ya Dunia n...