MHANDISI MRAMBA NA JICA WAJADILI UTEKELEZAJI WA MIRADI YA NISHATI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amekutana na Wataalam kutoka Shirika la Maendeleo la Japan (JICA) ili kujadili hali ya utekelezaji wa miradi ya Nishati inayofadhiliwa na shirika hilo kwa lengo la kuhakikisha kuwa miradi hi...
DKT. BITEKO AHIMIZA WANAMICHEZO KUCHUNGUZA AFYA ZAO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa rai kwa wanamichezo kufanya uchunguzi wa afya zao kwa kuhusisha vipimo vyote muhimu ikiwemo vya moyo, damu na viungo vyote vya mwili ili kuhakikisha usalama wa Afya zao.Ameliomba Sh...
TIMU YA NETIBOLI NISHATI YATINGA KUMI NA SITA BORA MASHINDANO YA SHIMIWI
Wakati mashindano yaliyoandaliwa na Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) yakishika kasi jijini Mwanza kwa hatua za awali, Wizara ya Nishati imetinga katika hatua ya 16 bora katika mchezo wa Netiboli kwa kuwa na jumla ya alam...
SHIMIWI NI MAHALA PA KAZI – Bi ZIANA MLAWA
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Wizara ya Nishati, Bi. Ziana Mlawa leo amesema kushiriki michezo mbali mbali inasaidia katika kujenga afya ya mwili na akili hivyo mtumishi anapopata nafasi ya kushiriki michezo yeyote aitumie ipasavyo pia hus...
NISHATI SAFI YA KUPIKIA SIO GESI NA UMEME PEKEE-BW. MLAY
Mkurugenzi wa Nishati safi ya kupikia kutoka Wizara ya Nishati Bw. Nolasco Mlay amesema kuwa nishati safi ya kupikia sio gesi na umeme pekee bali ni zaidi ambapo ameeleza uwepo wa kuni smart,pamoja na teknolojia mbalimbali zinazotumika katika kupikia...
SERIKALI YAIMARISHA MIUNDOMBINU YA CNG KATIKA HARAKATI ZA KULETA MAPINDUZI YA NISHATI
Katika juhudi za kuiwezesha Tanzania kupiga hatua katika matumizi ya gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) kwa ajili ya magari, Serikali kupitia Wizara ya Nishati inaendelea kuimarisha upatikanaji wa miundombinu muhimu, ikiwemo ujenzi wa vituo vipya vya...
DKT. BITEKO AZINDUA TEKNOLOJIA YA KUONDOA UVIMBE MWILINI BILA UPASUAJI
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameziindua teknolojia ya kuondoa uvimbe mwilini bila upasuaji inayofahamika kama High-Intensity Focused Ultrasound (HIFU) katika Hospitali ya Kairuki ikiwa ni mara ya kwanza kwa huduma hiy...
DKT. BITEKO AHIMIZA UTEKELEZAJI WA MAAZIMIO VIKAO VYA KIMKAKATI VYA WENYEVITI WA BODI NA WAKUU WA T...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza Wenyeviti na Wakuu wa Taasisi za Umma nchini kusimamia utekelezaji wa maazimio ya kimkakati yanayofikiwa katika vikao kazi wanavyofanya kwa kutambua kuwa wamebeba dhamana ya ku...
AHADI YA SERIKALI KUFIKISHA UMEME WA GRIDI KAGERA YATEKELEZWA
Ahadi ya Serikali ya kufikisha umeme wa gridi ya taifa katika Wilaya zote za Mkoa wa Kagera imetekelezwa baada ya Serikali kusaini mikataba ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220 kutoka Benako, Ngara hadi Kyaka wilayani Mise...
DKT. BITEKO ATAKA WATUMISHI WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE KUWA MFANO WA MATUMIZI NISHATI SAFI Y...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amewataka watumishi katika Wizara ya Nishati na Taasisi zilizochini ya wizara hiyo kuwa mfano katika matumizi ya Nishati Safi ya kupikia ili kuitekeleza kwa vitendo ajenda iliyoasisiswa n...
AGIZO LA MINADA YOTE NCHINI KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA LAANZA KUTEKELEZWA
Agizo la Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha kuwa minada yote nchini inakuwa na miundombinu itakayowawezesha Wachoma nyama, Mama Lishe na Baba Lishe kutumia nishati Safi ya Ku...
WATUMISHI WAHIMIZWA KUJENGA MAKAZI KABLA YA KUSTAAFU
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba, amewahimiza watumishi wa umma kutumia fursa zilizopo katika taasisi za kifedha kwa ajili ya kujiimarisha kiuchumi, ikiwemo kujenga makazi yao binafsi kabla ya kustaafu.Ushauri huo umetolewa...
KASI NDOGO YA UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME WA CHALINZE- DODOMA YAMKASIRISHA DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekagua mradi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovolti 400 kutoka Chalinze hadi Zuzu Dodoma na kueleza kutoridhishwa kwake na utekelezaji wa mradi huo ambao ulipaswa kuwa umefi...
MWANAMKE NI MSUKUMO WA MAENDELEO KATIKA JAMII - DKT. BITEKO
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Wanawake ni chanzo cha msukumo wa maendeleo katika Jamii hivyo Serikali itaendelea kuhakikisha kuwa kila mwanamke nchini awe mama au mtoto wa kike anapata haki na heshima anayostah...
WIZARA YA NISHATI YAJIVUNIA UTEKELEZAJI WA MIRADI SABA KATI YA 17 NCHINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba amesema kuwa katika miradi ya kimkakati inayotekelezwa nchini Wizara ya Nishati inatekeleza takribani miradi saba.Mhandisi Mramba ameyasema hayo Agosti 17, 2025 wakati wa uzinduzi wa Mpango wa U...
DKT.BITEKO AZINDUA MRADI UTAKAOWAKWAMUA VIJANA KIUCHUMI KATIKA MAENEO YANAYOPITIWA NA BOMBA LA MAFU...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amezindua Mpango wa Uwezeshaji wa vijana Kiuchumi (YEE) ambao unagusa maeneo yanayopitiwa na mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ikiwa ni jitihada za Serikali kuhakik...
TUKITUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA TUTAOKOA HEKTA 400,000 ZA MISITU ZINAZOTEKETEA KWA MWAKA-MJIOLOJIA...
Imeelezwa kuwa matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia si tu yanahatarisha afya bali pia yanachochea uharibifu wa mazingira ambapo takribani hekta 400,000 za misitu hupotea kila mwaka nchini kutokana na ukataji wa miti kwa ajili ya kuni na mkaa, ja...
ELIMU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAWAFIKIA WANAWAKE MKOANI MBEYA
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi kuachana na matumizi ya nishati isiyo safi ya kupikia na kutumia nishati safi ya kupikia kama vile umeme na gesi ikiwa ni njia pia ya kulinda afya, mazingira na kuimarisha uchumi wa kaya.Wit...
UZALISHAJI UMEME KWA KUTUMIA NISHATI JADIDIFU UMEFIKIA ASILIMIA 67- KAMISHNA LUOGA
Tanzania imeendelea kuongeza vyanzo vya kuzalisha umeme kwa kutumia nishati jadidifu hadi kufikia asilimia 67, hii ikijumuisha matumizi ya nishati ya maji na Jua.Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi I...
MHANDISI MRAMBA AFUNGUA MAFUNZO YA TEKNOLOJIA YA NISHATI JUA KWA WATAALAM
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba amefungua mafunzo ya wataalam kutoka taasisi mbalimbali nchini yanayohusu usanifu, utengenezaji na ufungaji wa mifumo ya Nishati ya Jua na matumizi yake.Matumizi hayo ni kuchemsha, kupika, kupoz...