Ni SIKU YA NANE SABASABA: WIZARA YA NISHATI TUPO HAPA KUKUHUDUMIA.
Ikiwa ni siku ya nane ya Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), Wizara ya Nishati inaendelea kuwakaribisha wananchi kutembelea banda lake katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.Katika banda hilo,...
KAIMU MENEJA MKUU TGDC ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA NISHATI SABASABA.
Kaimu Meneja Mkuu wa Kampuni ya Uendelezaji Jotoardhi Tanzania (TGDC), Mha. Shakiru Idrissa Kajugus, ametembelea banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalim...
SERIKALI KUTEKELEZA MRADI WA UMEME JUA KATIKA VISIWA SABA MUSOMA.
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imetenga shilingi milioni 273.6 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kusambaza umeme wa jua katika visiwa saba vya Wilaya ya Musoma ikiwemo Nyasaungu, Muroba, Kagongo, Nyamasanje, Rukuba na Iriga, ikiwa ni sehemu ya ute...
MJI WA SERIKALI MTUMBA KUWA MFANO WA MATUMIZI YA NISHATI SAFI KUPITIA GESI ASILIA.
Imeelezwa kuwa Serikali inaendelea na maandalizi ya kuufanya Mji wa Serikali Mtumba, uliopo jijini Dodoma, kuwa mfano kwenye matumizi ya nishati safi kupitia mradi wa usambazaji wa gesi asilia.Miundombinu hiyo itaunganisha gesi asilia katika majengo...
MADAFTARI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAPELEKA FURAHA FAHARI ELITE.
Ikiwa zimebaki siku chache kabla ya kuanza kwa muhula mpya wa masomo, wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Fahari Elite iliyopo Mvuti, jijini Dar es Salaam, wamepata fursa ya kujifunza kuhusu matumizi ya nishati safi ya kupikia na kukabidhiwa mad...
WIZARA YA NISHATI YAWAHAMASISHA WATOTO KUWA MABALOZI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA.
Watoto wameaswa kuwa mabalozi wa matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kuunga mkono juhudi za Serikali za kulinda mazingira, kupunguza athari za kiafya zitokanazo na matumizi ya nishati zisizo safi na kufanikisha lengo la Taifa la kuhakikisha asili...
MHE. SALOME: WANANCHI WANAOPITIWA NA MIUNDOMBINU YA UMEME WAUNGANISHIWE HUDUMA KWA SH. 27,000.
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Salome Makamba, amesema Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeelekeza kuwa wananchi wote ambao wamepitiwa na miundombinu ya umeme lakini bado hawajaunganishiwa huduma hiyo w...
WIZARA YA NISHATI YAENDELEA KUTOA HUDUMA KWA WANANCHI KATIKA BANDA LAKE SABASABA.
Wizara ya Nishati na taasisi zake inaendelea kuwahudumia wananchi wanaotembelea banda lake katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.Julai 3,...
ZAWADI KWA WANAFUNZI NA WAZAZI ZINAENDELEA KUTOLEWA KATIKA BANDA LA WIZARA YA NISHATI.
Usikose fursa hii! Tembelea Banda la Wizara ya Nishati na upate elimu sahihi kuhusu sekta ya nishati kupitia wataalamu wetu walio tayari kukuhudumia na kujibu maswali yako yote.Watoto wanapata elimu kwa njia rahisi na ya kuvutia, huku wazazi wakipata...
WANAFUNZI NA WAZAZI TULIWAITA… NA WAMEITIKA!
Banda la Wizara ya Nishati linaendelea kupokea watoto na wazazi wanaofika kujifunza, kuburudika na kupata uzoefu wa kipekee kuhusu sekta ya nishati.Nawe mlete mwanao apate elimu kuhusu nishati kwa njia rahisi na ya kuvutia, aondoke na zawadi yake, pa...
TAASISI 300 KUFUNGIWA MIFUMO YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2026/2027.
Katika juhudi za kuhakikisha kuwa Tanzania inafikia asilimia 80 ya matumizi ya nishati safi ya kupikia ifikapo 2034, Serikali katika mwaka wa fedha 2026/2027 itasambaza mifumo ya nishati safi ya kupikia katika taasisi 300 zinazolisha watu zaidi ya 10...
MRADI WA NJIA YA UMEME CHALINZE - DODOMA WAFIKIA ASILIMIA 89.
Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovoti 400 kutoka Chalinze hadi Dodoma wenye urefu wa kilometa 345 umefikia asilimia 89 ya utekelezaji na unatarajiwa kukamilika ifikapo Agosti 21, 2026. Kukamilika kwa mradi huo kutaimarish...
MLETE MWANAO BANDA LA WIZARA YA NISHATI.
Watoto ni viongozi wa kesho, na kujenga uelewa wao kuhusu masuala ya nishati kunaanza leo.Mlete mwanao atembelee Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), ambapo atapata elimu kwa njia rahi...
BADO HUJACHELEWA!
Tabasamu, huduma bora na elimu sahihi vinakusubiri katika Banda la Wizara ya Nishati kwenye Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba).Fika uzungumze moja kwa moja na wataalamu wetu, upate majibu ya maswali yako, ujifunze kuh...
SIKU 4: SABASABA YA DHAHABU.
Ni siku njema tena katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba)Leo, Julai 1, 2026, Banda la Wizara ya Nishati limeanza siku kwa kumpokea mgeni wake wa kwanza, Bi. Ester Mashaka Msengi, mkazi wa Kibaha Mjini, mkoani Pwani...
SERIKALI KUTUMIA SH. BILIONI 22 KUJENGA VITUO VYA CNG VINAVYOHAMISHIKA.
Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imetenga sh.bilioni 22.06 katika mwaka wa fedha 2026/2027 kwa ajili ya kujenga vituo vinavyohamishika vya kusambaza gesi asilia iliyoshindiliwa (Mobile CNG Stations).Lengo la kujenga vi...
WAZIRI NDEJEMBI: EACOP YAZALISHA AJIRA 7,500 KWA WATANZANIA, KAMPUNI 200 ZA NDANI ZANUFAIKA NA KANDA...
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amepongeza kiwango kikubwa cha ushiriki wa Watanzania katika utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), akisema mradi huo umeendelea kuwa chachu ya ajira, uhamishaji wa ujuz...
KENYA, NIGERIA, POLAND, CONGO DRC NA RWANDA KATIKA BANDA LA NISHATI SABASABA.
Ujumbe unaojumuisha nchi mbalimbali ikiwemo Poland, Nigeria, Kenya, Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umetembelea Banda la Wizara ya Nishati katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam.Katika Banda la Wizara y...
ELIMU YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA YAFIKIA WANAFUNZI SABASABA.
Wizara ya Nishati imeendelea kutoa elimu ya Nishati Safi ya Kupikia kwa makundi mbalimbali katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara (SABASABA) yanayoendelea katika Viwanja vya Mwl. Nyerere jijini Da es Salaam.Wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya St...
WIZARA YA NISHATI YAANZA KUTOA HUDUMA MAONESHO YA SABASABA.
Wizara ya Nishati pamoja na taasisi zake zimeanza kutoa huduma kwa wananchi wanaoshiriki Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba).Maonesho hayo yameanza Juni 28, 2026 na yatahitimishwa 13 Julai 2026 katika Viwanja vya Mwl.N...